Mpasuko Chadema waibukia mkutanoni

wakuu naomba mnielekeze namna ya kuchangia chadema nikiwa nje ya nchi kupitia ile namba yao walioizindua
 
chadema ni chama binafsi, na huo mpasuko upo, tena mk sana, sema huyo mchungaji wao dkt slaa anamuogopa zitto, kauli za zitto ni za kinafiki maana huwezi kusema eti utamuunga mkono mgombea mwingine hata kama chadema wakisimamisha mgombea. Inamaanisha ataenda kumnadi kafulila huko kgoma, na uongozi wa chadema huko kigoma nao watamuunga mkono nani..mgombea wao au wa zitto. Chadema humu ndani mmejaa na mtaongea chochote tu kuitetea, kama zitto angeamua kumuunga mkono mrema huko vunjo wote mngekuja juu wana chadema.

Ukweli ni kwamba uongozi unamuogopa zitto na ndicho kinachompa kiburi, na uhakukka hata slaa anajuta kwanini alimvua kafulila uongozi wake, hakutegemea kama hii tamthilia ingekuwa na twist and turns, wao wanakausha tu kwasababu chadema inajipanga towards the election in october. Zitto kashaleta mpasuko in and out chadema na wakimuendeleza atakipasua chadema kati kati. Na mama yake zitto atamuunga mwanae mkono so asituletee unafiki hapa jf, maana nauhakika yeye hua anmshauri zitto mara kwa mara.

Zitto anataka uenyekiti, mama yake katibu mkuu, mbowe na mchungaji slaa hawaelewi
wapinzani wanatakiwa wagawane majimbo ya kufanya uchaguzi kulingana na nana anakubalika zaidi kulingana na kura za maono . Sio kusimamisha tuu ili wapate pesa ya ruzuku
 
Michango yetu kwa vyama vya upinzani imefanikisha vyama hivyo kuibuka videdea katika chaguzi, na hata OBAMA alifanikiwa kwa sababu ya michango yetu, safari hii tumeamua kuiweka chadema juu kupitia michango yetu.binadamu yeyote asiyependa mabadiliko hana tofauti na mnyama
 
CHADEMA itakuwa imara daima na pia hata kama kuna mitazamo tofauti sisi wote ni binadamu na pia ndio siasa zenyewe hizo hivyo kutakuwa ni vyama mfu kama hakuna mawazo ya aina mbalimbali kama ilivyo kuwa ndani ya CHADEMA
 
Tumaini nadhani ana matatizo makubwa na Chadema na uongozi wa Chadema na hili linamfanya aonekane hayawani .
 
Tumaini nadhani ana matatizo makubwa na Chadema na uongozi wa Chadema na hili linamfanya aonekane hayawani .

Siku nilipogundua hulka yake siku hizi hanisumbui sana yeye mpeleke hasa kwenye mambo ya Uislam na Ukristo, halafu ni anti-Chadema piga ua hata utoe hoja gani hakubali mtaishia kutukanana. Mimi sioni ubaya wowote yeye kuwa anti-Chadema ndiyo demokras tunayotaka where we dare to talk openly lakini ubaya unakuja pale anapoanza matusi ambayo hayasaidii kitu.
 
Wishful thinking..keep on dreaming!

Chama imara chama imara? chadema imara hapa JF tu lakini kwenye ground hali yake ni mbaya subiri matokeo 2010.

Resources walizotumia na matokeo yake ni vitu viwili tofauti kabisa, ugomvi wake baada ya uchaguzi utakuwa maradufu...

Achana na chama letu weye,chama imara kweli kweli mbinu zote za kijinga zimeshinswa kuvuruga chadema na zitaendelea kushindwa.
Kwa taarifa yako chama ambacho kimetumia resources zake na zimelipa. Angalia katika chaguzi ndogo ndogo latest utaona kuwa pamoja na ccm kushinda kwa margin ndogo lakini walilazimika kutumia billion of shilings kuhonga na vurugu zote.
 
Siku nilipogundua hulka yake siku hizi hanisumbui sana yeye mpeleke hasa kwenye mambo ya Uislam na Ukristo, halafu ni anti-Chadema piga ua hata utoe hoja gani hakubali mtaishia kutukanana. Mimi sioni ubaya wowote yeye kuwa anti-Chadema ndiyo demokras tunayotaka where we dare to talk openly lakini ubaya unakuja pale anapoanza matusi ambayo hayasaidii kitu.

Oh! Kweli chadema ni sifuri, siwezi kukubaliana na askofu na meneja wa bar kuwa kiongozi wangu..daima..

Uwongo kwamba mimi natukana..unaweza kuthibitisha ila nyinyi pro...chadema mkipingwa matusi mengi utafikiri ..ni dhambi poleni

Uislam na ukristo umefikaje hapa ..naona ni offpoint
 
Tumaini nadhani ana matatizo makubwa na Chadema na uongozi wa Chadema na hili linamfanya aonekane hayawani .

aagh! pro-chadema hakuna hoja lazima mtukane..ndio sera zenu. ni ukweli kwamba lazima tuwapinga penda msipenda.
 
Achana na chama letu weye,chama imara kweli kweli mbinu zote za kijinga zimeshinswa kuvuruga chadema na zitaendelea kushindwa.

Kwa taarifa yako chama ambacho kimetumia resources zake na zimelipa. Angalia katika chaguzi ndogo ndogo latest utaona kuwa pamoja na ccm kushinda kwa margin ndogo lakini walilazimika kutumia billion of shilings kuhonga na vurugu zote.
wala sina mpango na chadema maisha yangu yote...labda wabadilishe viongozi huko mbeleni as for now...NO NO big NO.
 
Oh! Kweli chadema ni sifuri, siwezi kukubaliana na askofu na meneja wa bar kuwa kiongozi wangu..daima..

Meneja wa Bar? hivi wewe Tumain unaujua ukoo wa Mbowe au unausikia redioni tu wale ni mamilionea toka enzi za baba yao sidhani kama wewe na ukoo wako mnawafikia hata robo, sijui ni mameneja wangapi wa bar unawazidi kiuchumi hata kibusara mimi nawaheshimu sana wanajitafutia hata akiwa mama ntilie. Wewe leta hoja hapa za uwezo wake Mbowe kiutendaji tutajibu kwa hoja na si kuingilia biashara zake zisizokuhusu.

Uwezo wa kiongozi hautegemei kazi gani anafanya mababu zetu walikuwa wakulima na wafugaji tu lakini walikuwa viongozi wazuri hata kutuzidi sisi Mzee Kawawa alikuwa kwenye kikundi cha uchekeshaji cha maigizo alikuwa akiitwa Mhogo Mchungu lakini aliheshimika sijui kama ulikuwa umezaliwa wakati huo kwa hiyo usidharau kazi ya mtu.
 
Sometimes CHADEMA makes me sick, mwanzilishi ni Edwin Mtei.

Mbowe ni mkwewe Edwin Mtei (ni kweli?---jamani nisaidieni)
Lucy Owenya (viti maalum CHADEMA) ni binti wa Ndesamburo--someone please help me if it is true.
Zitto Kabwe na mama yake wote wanasiasa machachari ndani ya chama.
na eti Viti maalum mwingine wa chadema ni mkwewe ndesa (mke wa kijana wa Ndesa)
Hiki chama kimekaaje?
 
CCM even makes me more sick,
Eti familia nzima ya Kikwete ni viongozi wa chama dume, mtu mmoja anisaide jamani nasikia watoto wake wote ni viongozi wana akili kama baba yao, eti na mkewe yuko NEC-CCM, someone please who knows.
 
Iumbe, labda hujui historia yetu na ya nchi nyingi duniani. Huko India fahamu Indira Gandhi alikuwa bintie Nerhu. Uingereza Winston Churchill alikuwa mwanae Randolph Churchill. George Bush huko Amerika alikuwa mwanae George H. Bush. Hillary Clinton ni mkewe Bill Clinton.

Hapa kwetu, Lawrence Gama alikuwa shemejie Julius Nyerere, Joseph Nyerere mdogo wake, Makongoro mwanae. Amani Abeid Karume ni mwanae Abeid Karume ambaye ni babae Ali pia. Vita Kawawa ni mwanae Rashidi Mfaume Kawawa. Ridhwani ni mtoto wa Kikwete.

Mbona mbuzi hazai kondoo? Mtoto wa mbuzi ni mbuzi pia. Unaona ajabu gani Chadema?

La maana na muhimu ni kwamba kiongozi wa kuchaguliwa anachaguliwa ki-demokrasia bila mbinu au rushwa, na pia on merit. Wa kuteuliwa ni lazima awe na uwezo sana.
 
Vipi wanagombea fweza za ruzuku? Lazima Chama Cha Majambazi wamewamwagia pesa za ruzuku hapo sio bure.
Wacha uvivu wa kufikiri. Kwenye vyama vya siasa, jamii nk panapokuwepo watu wa aina mbali mbali ni lazima itatokea wakati watu watatofautiana kimtazamo, fikra etc
challenge ni namna ya kukabiliana na hiyo mitazamo, kuiblend na kutoa taswira ya chama/jumiya. Kuna wakati tofauti zinaweza kuwa kubwa kiasi cha kufanya wengine wajitoe au kuunda chama/jumuiya nyingine. Haya yalitokea hata TANU baada ya mkutano wa Tabora na yalizaa vyama vingine lakini haikuzuia TANU kuendelea na baadhi ya hivyo vyama baadaye vilirudi TANU. Hivyo suala la kununuliwa na CCM ni mtazamo finyu sana mimi sitarajii wataalam waliosheheni katika JF hata kama wengine wanaichukia sana CCM watakuwa wanachukulia kuwa kila tofauti/migogoro ndani ya vyama vya upinzani ni mkono wa CCM. Na kama ni hivyo mbona CCM kuna mitazamo tofauti kati ya viongozi wao jee tuseme wamenunuliwa na vyama pinzani????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom