Chantaburi
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 749
- 194
WanaJF,
Hivi mtu unapoandika jambo usilojua ukaliandika tu kwa ushabiki huoni kuwa linakushushia hadhi? Kama kweli una nia ya kujua kwanini usiulize kilichojiri?
Nasikitishwa na hali hii ya kufanya mambo kwa ushabiki. Kikao kinachohusika ni kikao cha Kamati Tendaji mbili za wilaya ya Nyamagana na Ilemela. Mimi ndiye niliyeitisha kikao hicho. . Nimeshuhudia yaliyojiri, hakuna swala la makambi ya Mbowe na Slaa. Wala hakuna swala la wenje kutishia mtu ni taarifa iliyopikwa. Mimi nilimtoa kwenye kikao kijanaaliyesimamishwa baada ya mchakato hadi kufikia CC. Akagoma kutoka. Wala hakutishwa alitolewa na vijana.
Jaribu kumfuatilia hapa JF ndio utafahamu upeo wake! unaweza hata ukaquestion udr wake!Kitila Mkumbo hawezi kwenda Low kiasi hiki kueleza mambo ambayo hayapo, labda yule wa Hybrid ya Ilonga!
Wewe niJaribu kumfuatilia hapa JF ndio utafahamu upeo wake! unaweza hata ukaquestion udr wake!
si Mbowe wala Slaa anayefaa kuwa Rais wa Nchi hii labda kwa upinzani mngemsimamisha Lipumba huyu ana sifa za kuwa Rais.
Hivi Membe, Sitta , Mwandosya, Nchimbi, Lowassa, na leo nimesikia Sofia Simba naye anataka urais, hizi kambi zinamaanisha mpasuko?Akili za ki-CCM hizo ati mpasuko wakati ndio demokrasia ya kweli
Kama Chadema ikimweka Shibuda na CCM ikimweka Kingwendu, wengi wataona bora kumpa kura Kingwendu kuliko Shibudambona nasikia ni Shibuda ndio mgombea 2015
Nimekubali Information is power!
Usipojua kitu unaongea utumbo tu!
Unatakiwa uulize ilikuwaje ndipo uje hapa kuandika "mangure" yako hapa!
huwa nasoma thread zako bila kuchangia ila leo naomba kuchangia kwa kusema hivi..''ACHA KUCHONGANISHA''....Mungu hapendi..
Hakuna ubishi kwamba chadema ndio chama kikuu cha upinzani angalau kwa sasa nafasi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na cuf ambao nao waliirithi kutoka kwa NCCR-MAGEUZI ile ya Mrema na Marando ambae kwa sasa yuko chadema huku Mrema yeye akiwa na chama "chake" siku hizi.
Lakini katika hali ya kusikitisha taarifa kutoka chanzo cha kuaminika(mshauri mkuu wa chadema)zinaeleza kwamba ndani ya chedema kuna mpasuka mkubwa kuhusu nani anapswa kuandaliwa kugombea urai kati ya mwenyekiti mbowe na katibu dr slaa.Ama hakika hii si habari njema sana kwa wapenda demokrasia na mabadiliko kiujumla.
Ushauri wangu ili kunusuru hali hii ya mpasuko isizidi kusambaa,Mbowe na slaa wake pembeni,hii itawavunja nguvu wapambe wao,watakuwa hawana tena kinachowatofautisha na pia itwapa muda mzuri mwenyekiti na katibu wake kushiriki mchakato huru wa kuitafutia chadema mgombea akaekidhi matarajio ya chama hicho ambayo siamini kama ni just kuwwa chama kikuu cha upinzani tu.
Mi naanza kuonyesha njia,majina haya sita kati yao anaweza kuipeperusha vyema bendera ya chadema kwenye urais.
1:Kitila Mkumbo(dr)
2:Zitto Kabwe
3:Halima Mdee
4:Abdallah Safari(prof)
5:Godbless Lema
6:Tundu Lisu
Nawasilisha.