Hata kama hii habari ina chembe ya ukweli sijaona mpasuko hapo. Kama kuna kambi inamtaka Slaa na nyingine inamtaka Freeman at the end of the day kura ndizo zitakazoamua. Hakuna mpasuko hapo.
Kwani kukiwa na Mpasuko ndiyo nini bana? Ni jambo la kawaida tu ila baada ya uchaguzi, wanarudi kuwa kitu kimoja.
Mpasuko siyo jambo baya kabisa duniani. Hata Baba na Mama yako wameungwa kwa Mpasuko, sembuse Chadema?
Kitila usijibu hata neno moja hapa maana utakuwa unamfukuza Kichaa aliyekuchukulia nguo ukioga.
there are currently 151 users browsing this thread. (41 members and 110 guests)
- david palmer,
- ifrs 9,
- democratic,
- chitembeja,
- mag3,
- albedo,
- mzee nyani,
- sabasaba,
- todo,
- gagnija,
- ben,
- ngarenaro,
- idawa,
- fofofo,
- froida,
- mwera,
- kashaijabutege,
- mr.professional,
- santies,
- lu-ma-ga,
- zitto,
- asango,
- chintu,
- mtamamchungu,
- hr consultant,
- chiluba,
- hekimaniuhuru,
- lukolo,
- kitila mkumbo,
- majiyamtungi,
- majata,
- jero,
- inauma,
- manyanza,
- bansenbana,
- butola,
- mbu sugu,
- ugawafisi,
- libasket b
Kama ni jambo la kawaida unatafuta nini kwenye thread hii? ungesoma na kuondoka zako tuachie sisi tunaoona kwamba kuna mantiki ya kujadili
???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
Duh Ben bwanah haya yooote umeandika kwa kuwa mtandao wenu umeguswa eeh.Naona sasa mmetinga Uingereza na Zitto zambia kwa kaunda.Mbowe una kazi huko mbele kukabiliana na hawa vijana.inabidi uanze kujenga ngome vyuo vikuu kwa kutumia mtandao wa watu makini naona kila dalili hawa vijana watakudhalilisha siku za usoni
Halafu ben ni lini utaacha hulka za udikteta na visasi?Huna tofauti na JK kwa visasi na ile sifa nyingine ya sketi.bado mna hasira na mbowe?una kisirani kibaya sana dogo,kaa hata na heche basi muendeleze baraza la vijana.nilitegemea utakuwa arumeru kuongoza red brigade.chadema msipomalizana kisiasa mtamalizana kimahaba huko.msalimieni shemeji yetu haramu juliat shoza na esther bulaya
aje achekwe?sanasana ataipa hii thread jina baya na kutokomea
Nothing special, fighting Fire with Fire.
rudia tena post yako mkuu, inadhalilisha utu wako!! au wewe ni CCM??
Ili Mradi Kitila yupo hapa Jamvini atatueleza kwa kina kama hayo maneno aliyasema na kama alisema ndio hali halisi au yalikuwa maoni yake ,Lakini Mbowe amesikika akisema hatasimama mwaka 2015
This is out-rightly uncalled for,unethical n unhealthy for this great forum.....
The epitome of misguided ignorance, and that's why I laugh whenever I see you post the trash you're known to
Mkuu, ukitaka kunielewa kwenye hiyo POST, basi soma ukiwa umeGEUZA maandishi.
Ndiyo maana nikasema Fighting fire with fire. Unashindwa kuelewa kwa kuniona na mie nachoma nyasi.
Mie si CCM wala Chadema. Nina imani sana na CCM ila ni ile ambayo ITAFUFUKA baada ya kuzikwa na Chadema kwa miaka kadhaa. Ili CCM ife na kuzikwa, lazima kuisaidia Chadema kwa hilo.
Mwisho, hebu soma sahihi yangu chini, ina nia mbaya na chama gani?
Yes get the message,we are not ready for radical leftists.hicho kisirani chako dhidi ya mbowe na akina heche kitazidi kuwagawa.hukai mahali bila matatizo ni mtu wa kupinga wenzako na kwenda kinyume na watu always.dogo you are so bright lakini kisirani chako hicho kitakuumiza wewe mwenyewe na wengineo.Naona mmefanikiwa kumtenga mbowe na vijana wasomi wanalalia upande wenu sasa namuoneo huruma mbowe.ni bora afuate njia ya mbatia tu kuwafukuzia mbali kabla hamjamdhalilisha kwenye uchaguzi na ndiyo maana mnadrag aiingie kwenye kinyang'anyiro.mna mbinu chafu sana