Mpasuko CCM: Watofautiana juu ya Serikali mbili

Mpasuko CCM: Watofautiana juu ya Serikali mbili

naomba yeyote mwenye kujua mahali ninapoweza kupata bendera ya tanganyika anielekeze .
 
Kama wenzetu wana jamuhuri yao sasa kuna ubaya gani nasi tukairudisha Tanganyika yetu. Tena itakua vizuri haya mabo ya kuletewa watu toka visiwani na kushika nafasi za uwaziri yataisha kabisaa. Waende wakaongoze huko kwao watuache na bara yetu . Lkn kuna hii changamoto je wavisiwani wenye majumba huku kwetu itakuaje baada ya kutangazwa serikali ya Tanganyika iwapo wabara walioko visiwani hawaruhusiwi kumiliki ardhi?????????????
 
Serikali ni2 tu hatuna haja ya serikali nyingi kama 2 zinatushinda tuongeze matatizo mengine tena!!chamsingi ni kuweka mikakati madhubuti ili kutatua matatizo ya muungano,wapinzani wanataka serikali 3 kwa lengo la kupata upenyo wa madaraka,lakini hicho kitu hakipo na hakitawezekana naomba viongozi wa ccm kuwa mbunge yeyote wa ccm anaye saliti msimano huu wa chama akuchukuliwe hatua kali za kinidhamu,by katibu hamasa na chipukizi Rungwe

Sasa kama unatumia kigezo cha kumudu GHARAMA, si bora tuwe na SERIKALI MOJA sasa. Tanganyika tupo tayari, hembu kaliongelee hilo Zenji usikie mziki wake. Wanaogopa sana kuwa WILAYA mojawapo ya mkoa wa VISIWANI (utakaojumuisha MAFIA, UNGUJA na PEMBA).

Visiwani.jpg
 
Mimi ni ccm pure..ila naunga mkono serikali tatu , kwan wazanzbari hawataki serkali 2 suluhisho ni 3. Siungi serikali moja kwan wazenj wanakiu ya kujitawala. Ila moja ingefaa zaidi.
 
Tutaitambua misimamo Yao tu pale bunge litakapofikia hatua ya kujadili muungano. For the time being kila mtu anaweza sema lake na baadae akabadili msimamo wake.
 
Sasa kama unatumia kigezo cha kumudu GHARAMA, si bora tuwe na SERIKALI MOJA sasa. Tanganyika tupo tayari, hembu kaliongelee hilo Zenji usikie mziki wake. Wanaogopa sana kuwa WILAYA mojawapo ya mkoa wa VISIWANI (utakaojumuisha MAFIA, UNGUJA na PEMBA).

View attachment 140267

Mkuu nimesikia Kama muungano utavunjika Dar na Tanga zitakuwa ni sehemu ya Visiwani. Kuna ukweli katika Jambo Hilo?
 
Mkuu nimesikia Kama muungano utavunjika Dar na Tanga zitakuwa ni sehemu ya Visiwani. Kuna ukweli katika Jambo Hilo?

Dar na Tanga hazipo, ni Bagamoyo na Mombasa zilizokuwa chini ya SULTANI
 
CCM wakijibu haya maswali (1. kwanini kwetu ni kwao na kwao kwao, 2. Kwanini serikali yetu ni yao na serikali yao ni yao?), basi nami nitakuwa muumini wa serikali mbili.

Well said, binafsi soni muungano ndani ya serikali tatu lkn naunga mkono serikali tatu kwa kuwa ni njia sahihi ya kutufanya tumalizane kiuungwana pale mambo yatakapokwenda kombo. Kitendo cha zanzibar kubadiri katiba yao na kujiongezea mamlaka bila kutushirikisha ni dalili kuwa wanajiandaa kujitegemea sasa tusisubiri wakishafanya hivyo ndio tuanze kujenga serikali yetu, tujiandae mapema jinsi ya kuwaacha wapumue.
 
Serikali ni2 tu hatuna haja ya serikali nyingi kama 2 zinatushinda tuongeze matatizo mengine tena!!chamsingi ni kuweka mikakati madhubuti ili kutatua matatizo ya muungano,wapinzani wanataka serikali 3 kwa lengo la kupata upenyo wa madaraka,lakini hicho kitu hakipo na hakitawezekana naomba viongozi wa ccm kuwa mbunge yeyote wa ccm anaye saliti msimano huu wa chama akuchukuliwe hatua kali za kinidhamu,by katibu hamasa na chipukizi Rungwe

Akili kisoda weee kura ya maoni inonyesha wananchi wanataka serekali 3 ikiwa na mimi nikisema ccm wanataka serekali 2 kwakuwa hawana uwezo wa kuongoza 3 utasemaje?
 
Ni vema tukawa tunajadili hili jambo bila kuingiza ITIKADI. Hili swala la serikali 3 siyo la CHADEMA, bali zaidi ya 61% ya waliotoa maoni. Inamaana hayo maoni yalitolewa kwa kufata ITIKADI? Na je, hawa wabunge wengine wa CCM wanaounga mkono serikali 3 kinyume na azimio la chama chao ni CHADEMA hao? Ni vema tukatumia hoja kujadili hili bila kujali ni msimamo wa chama gani. KATIBA tunayoipigania siyo ya chama chochote, bali ni ya wananchi wote wa TANZANIA.
Pia tusiwaite majina ya ajabu wanaopendekeza Serikali tatu kama vile ni wa kundi la G55, ni waroho wa madaraka, wanataka kuvunja muungano n.k. Tunajatibu kutafuta mwafaka, la sivyo tunaweza kupata Katiba nzuri lakini isiyokubalika na pande zote. Tusifuate itikadi za kivyama. Hao wasomi wanaosemwa ukiwasikiliza nao wamegawanyika na bahati mbaya wengine ni watumishi tu wa makundi yao - unena wanavyoelekezwa!
 
tatizo limeanzia kwenye katiba ya zanzibar, kama inatamka zanzibar ni nchi,huo ni mgogoro ndani ya muungano,maana itatakia na tanganyika iwe na katiba yake itakayo itambua kama nchi alafu ndo turudi kwenye muungano.one mistake one goal.
mawazo ya nyerere ilikuwa kwenye serikali moja baada ya hizi mbili kupita.matatizo wameyaleya wazanzibari na wao ndio wenye hatma ya muungano...
 
Serikali ni2 tu hatuna haja ya serikali nyingi kama 2 zinatushinda tuongeze matatizo mengine tena!!chamsingi ni kuweka mikakati madhubuti ili kutatua matatizo ya muungano,wapinzani wanataka serikali 3 kwa lengo la kupata upenyo wa madaraka,lakini hicho kitu hakipo na hakitawezekana naomba viongozi wa ccm kuwa mbunge yeyote wa ccm anaye saliti msimano huu wa chama akuchukuliwe hatua kali za kinidhamu,by katibu hamasa na chipukizi Rungwe
Ni bahati mbaya kauli hizi ndizo zinatugawa zaidi. Unafikiri wanaopendekeza Serikali mbili ndio hawataki madaraka. Ikiwa tuna take muungano kwa maana ya muungano kwa nini tusiende kwenye Serikali moja. Nchi mbili zimeungana na kuwa kitu kimoja ziongozwe na Serikali moja na siyo mbili ambazo hazitatatua manung'uniko (na wala siiti chnagamoto au matatizo) yaliyopo. Ukiangalia manung'uniko hayo yote ni ya madaraka tu. Kuna watu wanaogopa tukienda Serikali moja itakuwa ngumu kwao kupata madaraka,
 
Wana CCM wenye msimamo wa serikali mbili,naomba mnisaidie jamani nijue sababu na umuhimu wa serikali mbili.
 
siyo swala la mbunge mkuu, CCM wana wasomi wazuri sana, wanajua athari za serikali tatu kama ambavyo makundi mengine wakiwemo wanazuoni wanaungana na CCM kuilaani hoja ya serikali tatu kwa vile haina mashiko katika mstakabali wa umoja, undugu ulioasisiwa na viongozi watangulizi wa taifa hili teule la Mungu. Inawezekana kabisa Mwandishi wa habari aliwahoji wana-CCM wafu kama akina MBOWE na weingine waliokumbatia kadi za CCM huku wakiwa upinzani.
CCM ina wezi wazuri au wasomi wazuri, hebu sahihisha mkuu
 
Mimi ni ccm pure..ila naunga mkono serikali tatu , kwan wazanzbari hawataki serkali 2 suluhisho ni 3. Siungi serikali moja kwan wazenj wanakiu ya kujitawala. Ila moja ingefaa zaidi.
Ni kweli kabisa hata mimi naungana na wale wote waCCM wanaotaka Serikali 3
Ila WaZanzibar hawataki Serikali 1 wala 2 wala 3 WANATAKA SERIKALI YAOHebu waachieni jamani wabaki huru km Rwanda na Burundi au Shelisheli
 
Back
Top Bottom