Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,761
- 5,276
Main hub ni Chato na routes kama Chato-New York, Chato-London Heathrow, Chato-Paris.
ATCL haina mpango wowote ule, kwa sababu ni mzigo usio weza kubebeka .Usitegemee mashirika makubwa yatakuwa member na ATCL. Kama wangekuwa na mipango thabiti hii ndege mpya wiki ya pili tu ingekuwa inakatiza anga za bara la Asia . Sababu walijua ndege itawasili lini kwahiyo wangefanya mipango wiki ya pili tu kufanya intercontinental route , Ndege kubwa kama hii kuipangia domestic route ni mipango mibovu. Ngoja tusubiri hiyo september kama itaanza route za kimataifaNaona tuna nunua ndege sio jambo baya lakini watu wengi wanapinga kwasababu hakuna mpango ambao unajulikana bado vizuri wa hili shirika. Je hizi ndege ni kusafiri Africa yote? mikoa yote? Ulaya na US? wa watafanya ushirikiano na mashirika mengine? Je wana vibali vya kusafiri nchi hizo za nje?..... . Kama kuna mtu ana plan atuwekee hapa ili tuone. Inakuwa ngumu ku support kitu bila kujua lengo maana kwa sasa kuna ndege nyingi tu zinakuja TZ!
Naona tuna nunua ndege sio jambo baya lakini watu wengi wanapinga kwasababu hakuna mpango ambao unajulikana bado vizuri wa hili shirika. Je hizi ndege ni kusafiri Africa yote? mikoa yote? Ulaya na US? wa watafanya ushirikiano na mashirika mengine? Je wana vibali vya kusafiri nchi hizo za nje?..... . Kama kuna mtu ana plan atuwekee hapa ili tuone. Inakuwa ngumu ku support kitu bila kujua lengo maana kwa sasa kuna ndege nyingi tu zinakuja TZ!
Asante mkuu kwa udadavuzi. Jf inadhalilishwa hoja za kipuuzi kama hizi, eti mpango kazi uwekwe hapa nfio tusapoti. Who cares whether or not you support the plan!Mpango unaoulizia siyo PUBLIC DOCUMENT ni chombo cha kimkakati cha ndani cha kufanyia kazi ili kufikia malengo ambayo ndiyo hayo ya kuongeza route na kuongeza abiria. Mpango mkakati wa kibiashara au Business Strategic Plan is a "secret internal document" ambayo adui au mshindani wako wa kibiashara akiuona anaweza kuutumia kukushinda au hata kukuhujumu. How ever seen such a document for anyother airline company? Tujuze with evidence!
Taarifa hii imeupata wapi wewe? Hivi unatarajia a credible business au strategic plan ya ATC au shirika jingine lolote ipatikane JF? Ya KQ, KL, BA, EK, ET au mashirika mengine inapatikana kweye social media pia? Come-on come to reason!watu wengi wanapinga kwasababu hakuna mpango
Mkuu Kamundu, alichukujibu Mzee Mukaruka ni ukweli mtupu, strategic business plan ya biashara yoyote ni secret internal document ambayo washindani wako hawapaswi kuifahamu!.
Ila pamoja na siri hiyo, kiukweli kabisa na bila kuwaonea, hizi ndge tumenunua na pupa na papara bila business plan ili tuu kuonyesha tunaweza. Ndege zikiisha wasili ndipo tunaandaa business plan!. Hivyo ndivyo tulivyofanya kwa Bombadier na labda ndivyo tunavyofanya kwa Dreamliner, ndege imewasili siku ya Jumapili, kesho yake Jumatatu, ATCL wamekaa na TTB kusainiana MOU kupeleka ndege Ghwanzou, Mumbai na London, huku wanajua fika hutuna landing rights, na ATC haina air worthiness certificate kutoka IATA, kitu ambacho Watanzania tunachofanyiwa ni kutoelezwa ukweli bayana!, aliyetoa siri ndege yetu imeshikiliwa kwa kudaiwa, mnakijua kilichomkuta!.
Ili Dreamliner yetu ivuke mpaka wa kutua popote nje ya bara la Africa ni kwanza lazima tuikodishe kwa mashirika wenye landing rights hizo, vinginevyo tulipe deni la IATA tunadaiwa Zaidi ya US $ million!.
Ni ukweli usiofichika, kuirusha Dreamliner kwa routes za ndani ambazo zote ni short distance less than 1 hour, kutaichosha, kuichakaza na kuishorten its life span kutoka na take of na landing ya short distances kunaichokesha bure engine ya mtulinga!.
Ili kuinusuru ATCL, tunahitaji a political will ambayo tayari rais Magufuli ameishaionyesha. Kanisome hapa
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani?
P.
Mipango ya biashara kwa kampuni au taasisi yoyote ni siri,labda bodi au msajili wa hazina ndio wanaweza kujuaNaona tuna nunua ndege sio jambo baya lakini watu wengi wanapinga kwasababu hakuna mpango ambao unajulikana bado vizuri wa hili shirika. Je hizi ndege ni kusafiri Africa yote? mikoa yote? Ulaya na US? wa watafanya ushirikiano na mashirika mengine? Je wana vibali vya kusafiri nchi hizo za nje?..... . Kama kuna mtu ana plan atuwekee hapa ili tuone. Inakuwa ngumu ku support kitu bila kujua lengo maana kwa sasa kuna ndege nyingi tu zinakuja TZ!
Mkuu Nod, kwanza asante kwa yote.Paschal nafikiri kuna kitu watanzania tulinyimwa na mwenyezi Mungu. Wewe ni mwandishi uliyebobea na unajua kuna siasa sana katika nia ya Mh Rais kufufua ATCL. ATCL wanasema mpango wa biashara upo na ulikuwapo kabla ya mpango wa kuifufua ATCL kuanza. Tuliokuwa Bungeni tulimwona Prof Mbarawa akionyesha vitabu vitatu alivyodai ni mipango ya biashara ya ATCL akianza na wa kwanza uliotengenezwa na Deloitte, kisha mpango wa muda mfupi (turnaround), na mpango wa sasa wa miaka mitano. Tumesikia pia wanaharakati kina Fatuma Karume wakisema ATCL haikuwa na mpango wa biashara kabla ya kununua ndege. Swali langu kwako, isingekuwa vizuri ukaenda ATCL kuulizia hizo documents kisha uje utujuze kama ni kweli au si kweli. Naona kama unaingia kwenye mtego wa ndugu zetu wanasiasa wa seek and hide!
Kitu kingine Paschal, naomba nikusaidie kwa nia nzuri kabisa, landing rights unayozungumzia ni ipi? Kwa ufahamu wangu, landing rights hutolewa kwa adhoc operations na sio scheduled flights kama watakavyokuwa ATCL. Kwa hiyo ATCL hawahitaji landing rights bali operation approval ambayo huhusisha mambo mengi na ingekuwa vizuri ukapata ufafanuzi pia kutoka ATCL. Airworthness certificate huonyesha kuwa ndege yako inakidhi viwango vya ubora/usalama na hutolewa na mamlaka ya nchi ya usalama wa usafiri wa anga (TCAA - Tanzania) na siyo IATA. Kama ATCL hana hiyo certificate asingeweza kuruka hata hapa Tanzania. IATA hutoa ertificate ambayo huonyesha kuwa umekidhi matakwa ya usalama wa uendeshaji wa shirika la ndege na siyo lazima kwa safari za kimataifa ingawa inakupunguzia uwezo wa kushirikiana na mashirika mengine ambayo ni wanachama wa IATA. Kumbuka IATA siyo mamlaka bali umoja wa mashirika ya ndege! Ni vizuri pia hili ukalipatia ufafanuzi badala ya kuandika usichokijua.
Mpango upo kwenye bomba.Naona tuna nunua ndege sio jambo baya lakini watu wengi wanapinga kwasababu hakuna mpango ambao unajulikana bado vizuri wa hili shirika. Je hizi ndege ni kusafiri Africa yote? mikoa yote? Ulaya na US? wa watafanya ushirikiano na mashirika mengine? Je wana vibali vya kusafiri nchi hizo za nje?..... . Kama kuna mtu ana plan atuwekee hapa ili tuone. Inakuwa ngumu ku support kitu bila kujua lengo maana kwa sasa kuna ndege nyingi tu zinakuja TZ!
Waandishi wa habari wanafurahisha sana kwa kuzungusha maneno. Ukisoma vizuri umekubaliana na mimi lakini umeanza kama unanipinga! tutazunguka kote hii siri na hii sio siri lakini kitu ambacho Watanzania wengi naona tuna tatizo ni uwezo wa kujifurahisha hatupendi kuwa direct na hii inapunguza sana maendeleo. Sasa mnasema hamna plan lakini mnajua mpaka majina ya pilot, bei ya ndege ..... sasa siri iliyobaki ni ipi kusema ndege inaenda Kigoma ndiyo siri! au basically hakuna plan. kama unataka kusadia ni ku push wawe na plan ili kampuni iweze kukua.Mkuu Kamundu, alichukujibu Mzee Mukaruka ni ukweli mtupu, strategic business plan ya biashara yoyote ni secret internal document ambayo washindani wako hawapaswi kuifahamu!.
Ila pamoja na siri hiyo, kiukweli kabisa na bila kuwaonea, hizi ndge tumenunua na pupa na papara bila business plan ili tuu kuonyesha tunaweza. Ndege zikiisha wasili ndipo tunaandaa business plan!. Hivyo ndivyo tulivyofanya kwa Bombadier na labda ndivyo tunavyofanya kwa Dreamliner, ndege imewasili siku ya Jumapili, kesho yake Jumatatu, ATCL wamekaa na TTB kusainiana MOU kupeleka ndege Ghwanzou, Mumbai na London, huku wanajua fika hutuna landing rights, na ATC haina air worthiness certificate kutoka IATA, kitu ambacho Watanzania tunachofanyiwa ni kutoelezwa ukweli bayana!, aliyetoa siri ndege yetu imeshikiliwa kwa kudaiwa, mnakijua kilichomkuta!.
Ili Dreamliner yetu ivuke mpaka wa kutua popote nje ya bara la Africa ni kwanza lazima tuikodishe kwa mashirika wenye landing rights hizo, vinginevyo tulipe deni la IATA tunadaiwa Zaidi ya US $ million!.
Ni ukweli usiofichika, kuirusha Dreamliner kwa routes za ndani ambazo zote ni short distance less than 1 hour, kutaichosha, kuichakaza na kuishorten its life span kutoka na take of na landing ya short distances kunaichokesha bure engine ya mtulinga!.
Ili kuinusuru ATCL, tunahitaji a political will ambayo tayari rais Magufuli ameishaionyesha. Kanisome hapa
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani?
P.
Mkuu Kamundu, sijakubaliana na wewe, kwa Tanzania, strategic business plan ni an internal classified document, not for public consumption.Waandishi wa habari wanafurahisha sana kwa kuzungusha maneno. Ukisoma vizuri umekubaliana na mimi lakini umeanza kama unanipinga! tutazunguka kote hii siri na hii sio siri lakini kitu ambacho Watanzania wengi naona tuna tatizo ni uwezo wa kujifurahisha hatupendi kuwa direct na hii inapunguza sana maendeleo. Sasa mnasema hamna plan lakini mnajua mpaka majina ya pilot, bei ya ndege ..... sasa siri iliyobaki ni ipi kusema ndege inaenda Kigoma ndiyo siri! au basically hakuna plan. kama unataka kusadia ni ku push wawe na plan ili kampuni iweze kukua.
Kaka Mayalla upo? Shkamoo brother.Mkuu Kamundu, sijajubaliana na wewe, kwa Tanzania, strategic business plan ni an internal classified document, not for public consumption.
Wakati wa JK, Tanzania tulijiunga na Open Government Initiative, ambako ulitaka every thing kuhusu public corporations ziwe public, lakini sasa tumejitoa.
P
Mkuu Nod, kwanza asante kwa yote.
1. JF ni jukwaa huru ambalo ni user generated forum, akitokea member akasema kitu wrong, wewe kama unajua it is wrong, jitokeze useme wazi this is wrong, na pia ujitokeze kuelimisha kile unachokijua kama ulivyofanya hapa. Thanks for this.
Pili kuhusu mpango kazi wa ATCL kuwasilishwa Bungeni, angalia aumuzi wa kununua ndege kwa mtindo wa kupiga tanchi, ulifikiwa lini, ndege zilinunuliwa lini na huo mpango kazi, uliwasilishwa lini.
Japo mimi sio mtu wa aviation, ila ni frequent flyer, hivyo kuna mambo huhitaji rocket science kujua tunachemsha.
Mfano mdogo kanisome hapa
Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136!
Sasa kama ka Bombadier tuu yenye uwezo wa kubeba abiria 76, kuna siku hakajai, what are the chances ya kujaza dreamliner inayobeba watu 262, kwa route za ndani?!. Pamoja na kuikubali Dreamliner ni ndege nzuri, lakini auamuzi wa kutumia kiasi hicho cha fedha kuifufua ATCL kwa muda huu, ukilinganisha kama kiasi hicho kingewekezwa kwenye kuinua sekta ya kilimo, then utakubaliana na mimi, tuna tatizo katika kupanga priorities zetu. Ndege yes itatuletea sifa at the price of making losses na itawafaidisha wangapi compared to kama tungewekeza kwenye kilimo, think of the multiplier effects.
Na mwisho nikuhakikishie hili la siasa za ATCL nalijua, na mimi ni mpinzani sana wa kuleta siasa kwenye usafiri wa ndege, kanisome hapa
Ndege ya ATCL yachelewa kuondoka ndani ya muda; watoa ufafanuzi!
Na katika kuonyesha uzalendo wangu kwa ATCL, kanisome hapa,
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani?
P.
ATC hasara bilioni 60!.Mkuu Kamundu, alichukujibu Mzee Mukaruka ni ukweli mtupu, strategic business plan ya biashara yoyote ni secret internal document ambayo washindani wako hawapaswi kuifahamu!.
Ila pamoja na siri hiyo, kiukweli kabisa na bila kuwaonea, hizi ndge tumenunua na pupa na papara bila business plan ili tuu kuonyesha tunaweza. Ndege zikiisha wasili ndipo tunaandaa business plan!. Hivyo ndivyo tulivyofanya kwa Bombadier na labda ndivyo tunavyofanya kwa Dreamliner, ndege imewasili siku ya Jumapili, kesho yake Jumatatu, ATCL wamekaa na TTB kusainiana MOU kupeleka ndege Ghwanzou, Mumbai na London, huku wanajua fika hutuna landing rights, na ATC haina air worthiness certificate kutoka IATA, kitu ambacho Watanzania tunachofanyiwa ni kutoelezwa ukweli bayana!, aliyetoa siri ndege yetu imeshikiliwa kwa kudaiwa, mnakijua kilichomkuta!.
Ili Dreamliner yetu ivuke mpaka wa kutua popote nje ya bara la Africa ni kwanza lazima tuikodishe kwa mashirika wenye landing rights hizo, vinginevyo tulipe deni la IATA tunadaiwa Zaidi ya US $ million!.
Ni ukweli usiofichika, kuirusha Dreamliner kwa routes za ndani ambazo zote ni short distance less than 1 hour, sio tuu kutaichosha, kuichakaza na kuishorten its life span kutokana na engine wear and tear kwa take off na landing ya short distances kunaichokesha bure engine ya mtulinga!, ila pia operational wise, it's not worth it. This will be a loss making exercise. Enzi za Mwinyi tuliibeba ATC na kuifeed kwa spoon fed while making losses. Mkapa akaruhusu ubia na SAA, JK akagoma kuendelea kuibeba na kuifeed. Sasa JPM kaifufua kwa nguvu kubwa kuliko uwezo wetu to operate haya madubwana makubwa ya long hauls. Hivyo ATC will be making losses lakini JPM will feed it, ila awamu nyingine ikija ndipo itagundua kuwa ATC is a baby that never grows, it's still sucks.
Ili kuinusuru ATCL, tunahitaji a political will ambayo tayari rais Magufuli ameishaionyesha, lakini political will pekee yake bila business viability, ni kuonyeshea just the pride of wings of Kilimanjaro on airwaves but at the expense of poor Tanzanians. Kanisome hapa
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani?
P.