GE2025 Mpango wa Mbowe kwenda CHAUMMA umeshindikana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

City Thunder OKC

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2025
Posts
6,097
Reaction score
12,013
Nimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika.

Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma umeshindikana.

Wengi wanatarajia kesho ataibuka kwenye mkutano mkuu wa chaumma na kutangazwa kugombea uraisi, lakini ukweli hilo kesho halitakuwepo. Nimeona niwaweke wazi hili ili watu wasiendelee kusubiri hiyo kesho kijua mbivu na mbichi
 
Chaumma ni kweli itapata wafuasi wengi kutoka chadema ila zaidi watakua ni viongozi tu, sababu wana masilahi yao binafsi, wanayasaka kwa namna yoyote. Ila wafuasi wa chadema wa kweli hawawezi kuhama sababu chadema kwao ni kama imani. Sawa na Mfuasi wa HAMAS
 
Akafie mbele huko, wasicheze na maisha ya watu. Tumewakataa duniani na mbinguni wamekataliwa.
 
Nimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika.

Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma umeshindikana.

Wengi wanatarajia kesho ataibuka kwenye mkutano mkuu wa chaumma na kutangazwa kugombea uraisi, lakini ukweli hilo kesho halitakuwepo. Nimeona niwaweke wazi hili ili watu wasiendelee kusubiri hiyo kesho kijua mbivu na mbichi
sawa
 
Chaumma ni kweli itapata wafuasi wengi kutoka chadema ila zaidi watakua ni viongozi tu, sababu wana masilahi yao binafsi, wanayasaka kwa namna yoyote. Ila wafuasi wa chadema wa kweli hawawezi kuhama sababu chadema kwao ni kama imani. Sawa na Mfuasi wa HAMAS
Wafuasi wengi kina Yericho au? Kwani wapo wangapi? Hata buku hawafiki na kama ndivyo hivyo,hiyo idadi haiwezi kumshindisha mtu hata udiwani tu huku bara
 
Mboyae! ndiye aliyeshiriki/anayeshiriki dhambi ya kumtesa Lissu akishirikiana na walomhonga mabiilioni
 
Back
Top Bottom