Mpango wa kumng'oa Dr. Ndalichako

Status
Not open for further replies.
...Hizo barua ukiziangalia kwa makini utagundua walio ziandika hawana akili kabis a na niwatupu kichwani.....

Barua ya kwanza imetumia lugha ya kiswahili ila kwenye anwani imeandikwa P. O. BOX 111, barua nyingine kwenye anwani imeandikwa S. L. P 611, TANZANIA, ilo Sandiku la Barua sijui lipo mkoa gani!
 



Nilidhani humu ni GT,wewe umenifanya nikuone una udini kuliko kuwa analytical zaidi. Miaka hii unaleta assumptions kwamba waislam sio wasomi,really!!!!where r ur facts????Shime hizi mentality ndio zinasababisha chuki za kijinga,It is about time watu kama wewe kukemewa kwa nguvu zote,STOP!!!!!
 

Dr Ndalichako ni mwalimu wangu amenifundisha ni mtaalamu aliyebobea hasa katika maeneo ya upimaji na tathimini ya mitihani. Wanaomlaumu wanalao jambo. Kazi ya NECTA ni kupima uwezo wa wanafunzi katika maarifa waliyojifunza/waliyofunzwa huko mashuleni ambayo yanasimamiwa na wizara ya elimu ambapo Ndalichako hahusiki kabisa. mama Kaza kamba tunakuamini unaweza maana ujuzi unao. Achana na kelele zisizona maana. Uozo upo serikali kuu tuanze nao maana bajeti ya wizarani ni ndogo
 
Najaribu kujiuliza hawa ma-Ustaadhi iwapo vikao vilikuwa vya siri kama nyaraka zinavyosema, katika dunha ya leo ya tecnohama wameshindwa kuwasiliana kwa simu au email hadi kuandikiana barua pamoja na mihuri?
Nachelea kuzifananisha hizi nyaraka na ule ushahidi wa Mh. Mrema juu ya rushwa ya Sh. Mil. 900, na mleta mada angajtjia usijekuwa unatumiwa kutusahaulisha mjadala wa Katiba.
 
Na Waziri Kawambwa akatoa tamko lifuatalo:

"Pamoja na marekebisho hayo, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi itaunda Kamati ya wataalamu kuiwezesha serikali kujiridhisha zaidi na hatua zilizochukuliwa na Baraza la Mitihani ili kuepuka dosari ya aina hiyo isijitokeza tena kwa siku zijazo."

Ndalichako ndio tatizo, ukipenda usipende.
 
huna akili timamu wewe, somo mlilo dai kuwa amewahujumu ni la dini ya kiislamu, sasa swali, hilo somo lina umuhimu gani kwa Dr. Ndalichako?

Marks za Waislaam, uko wapi wewe? huwezi basi kufikiri hata kidogo?
 

"Pamoja na marekebisho hayo, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi itaunda Kamati ya wataalamu kuiwezesha serikali kujiridhisha zaidi na hatua zilizochukuliwa na Baraza la Mitihani ili kuepuka dosari ya aina hiyo isijitokeza tena kwa siku zijazo."
 

"Pamoja na marekebisho hayo, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi itaunda Kamati ya wataalamu kuiwezesha serikali kujiridhisha zaidi na hatua zilizochukuliwa na Baraza la Mitihani ili kuepuka dosari ya aina hiyo isijitokeza tena kwa siku zijazo."
 

Muoneni huyu, Merekani na Ndalichako wapi na wapi?
 

mtavimba mpaka mpasuke,ndalichako yupo palepale maana mpaka jk anamkubali itakuwaje nyie vidudu ambao huwa haridhiki
 
Wenzenu wanachangishana pesa kujenga mashule na zahanati,,nyie mliitana uwanja wa taifa kuchangishana pesa kwa ajili ya redio imani ili kuipa nguvu itukane vizuri wasio wenzenu..bado hamuoni akili zenu zilivo fupi!!

hao mashehe kwa nini wasiitishe harambee ya kujenga miradi ya maendeleo(shule+zahanati),mbona kuna mabillion ya matajili wa kiislamu hayana kazi? au uislamu wa kweli ni kuanzisha vurugu?
 
Chondechonde wapendwa mjadala huu ulenge kutoa suluhu ya changamoto ambazo sisi kama taifa tunazipitia.

Faizafoxy na wenzako jadilini hoja na msiongozwe na hisia za milengo yenu katika kumtafuta mchawi.

Ni kwakufanya hivyo tu tutakuwa tunajenga taifa letu pamoja.

Viongozi wengi sana wanaisoma JF na wangependa kuona hoja, mawazo, na ushauri ambao ni chanya zaidi ktk kuboresha elimu yetu nchini
 
Ukiziangalia shule nyingi za kiislamu utaona hawa wenzetu wanamsonta Mama Ndalichako kwa kidole kimoja huku wakisahau kuwa vidole vinne vinawasonta wao,Kifupi hizi shule haziko serious kabisa na elimu dunia,niliwahi hudhuria graduation ya shule fulani ya kiislamu kule kahama kwa kweli kwa aina ya Walimu niliowaona pale pamoja na mazingira yake ckushangaa kwanini katika ile shule cku ikitokea vijana wakipata walau division two hata mbili basi ni Sherehe kubwa sana,Hebu badirikeni wenzetu muendeshe shule zenu vizuri hata kwa kuwaiga wenzenu Fedha boys,punguzeni kuajiri Walimu kajanja,punguzeni ratiba za nje ya darasa mtafaulu tu!


Najisikia fahari sana cheti changu kuwa na sahihi ya Mama Ndalichako
.
 

Natumia simu ningekupa like..verygood say.
 
Usitake kuchekesha jukwaa, ni wangapi au asilimia ngapi ya wasio Waislaam wanaosoma Islamic Knowledge?
Kwani Islamic Knowledge ni milki ya waislam tu? mbona kuna waseminari wa kikatoliki ambao huisoma pia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…