Mpango wa kumkomoa Mnyika wafanikishwa...

Mpango wa kumkomoa Mnyika wafanikishwa...

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,461
Kwa wiki mbili sasa maeneo ya Kibamba, Kwembe, Luguruni, Mbezi na mengine mengine hawapati maji kutoka Dawasco/Dawasa. Hali ni mbaya sana. Watu hawaogi wala hawafui. Wakubwa wako kimya. Waziri wa Maji ndiyo kwanza anapokewa kwa mbwembwe na wapigakura wake kwa "kufanya kazi nzuri bungeni". Pengine huu ni mpango wa kumkomoa Mnyika (Mbunge wa Ubungo) ili aonekane hafai.

manyerere
 
ni kweli hali ni mbaya sana, maji hayapatikani na hakuna maelezo yeyote, mimi nakaa mbezi mwisho hakuna maji, Mnyika huu ndo wakati wa kupambana na tuko nyuma yako
 
mnyika mpuuzi yemwenyewe kazi yake ni kutna PR zsizo za mcng hana nia ya dhat ya kumaliza tatzo la maji,ana kipenda chama kulko jmbo..
 
mnyika mpuuzi yemwenyewe kazi yake ni kutna PR zsizo za mcng hana nia ya dhat ya kumaliza tatzo la maji,ana kipenda chama kulko jmbo..

mkuu mimi sitaki unafiki ,tatizo la maji ubungo na kimara halijaanza leo ,unapoingiza itikadi kwenye maswala ya msingi haipendezi hata kidogo ,muhimu ni kuangalia ni jinsi gani ya kumaliza hili tatizo na si kuangalia personalities
 
mnyika mpuuzi yemwenyewe kazi yake ni kutna PR zsizo za mcng hana nia ya dhat ya kumaliza tatzo la maji,ana kipenda chama kulko jmbo..

Acha ujinga, Mnyika anajitahidi kutumia mbinu mbalimbali kutatua hili tatizo na ndio maana silaha kubwa ilikua hoja ya juzi bungeni walioichakachua.Lakini hata hivyo najua hakati tamaa,ijapokua CCM kwa ujinga wao wanajua wanamkomoa Mnyika, kumbe wanawaumiza wananchi bila sababu kwa siasa za kipuuzi.Usitetee upuuzi unowaumiza watu kwa sababu ya siasa uchwara.
 
Suala la maji ubungo hata sisi ambao hatujui kuandamana, tutaandamana tu. Asilimia 100 ya wananchi wanatumia maji, je ni asilimia ngapi ya wananchi wanatumia barabara!!, kwanini suala la maji lisipewe kipaumbele!!.
 
Kitu ambacho nina uhakika nacho ni kwamba wapiga kura wa mijini 'WANAJITAMBUA'..
 
mkuu mimi sitaki unafiki ,tatizo la maji ubungo na kimara halijaanza leo ,unapoingiza itikadi kwenye maswala ya msingi haipendezi hata kidogo ,muhimu ni kuangalia ni jinsi gani ya kumaliza hili tatizo na si kuangalia personalities

Hachana nae huyo mkuu,unajua mpuuzi ni ngumu sana kujitambua kua yeye ni mpuuzi
 
mkuu mimi sitaki unafiki ,tatizo la maji ubungo na kimara halijaanza leo ,unapoingiza itikadi kwenye maswala ya msingi haipendezi hata kidogo ,muhimu ni kuangalia ni jinsi gani ya kumaliza hili tatizo na si kuangalia personalities

Kaka Makupa mpaka we umemuona ni mpuuzi huyu jamaa,kweli kakukwaza.Matatizo yanayo ilenga jamii moja kwa moja si yakuletea masihara hata kidogo.pokea "LIKE" kubwa kwa hili.
 
Hawamkomoi JJ Mnyika bali ni sisi wananchi, Mnyika anajitahidi kusaidia ila anakwamishwa.
 
mnyika mpuuzi yemwenyewe kazi yake ni kutna PR zsizo za mcng hana nia ya dhat ya kumaliza tatzo la maji,ana kipenda chama kulko jmbo..

Hivi dar ni ubungo pekeyake ,mbona mapovu yanawatoka kwa mnyika. Kweli tanzania nchi ya maajabu,huku utasikia bunge halitaonyeshwa live kisa wabunge 40 wa upinzani ambao wanatetea watanzania. Je wewe unayemlalamikia mnyika umechukua hatua gani ,kuna wahusika wa maji wa moja kwa moja? Kazi kuchekelea upumbavu
 
Kwa akili zao fupi ccm wameizuia Dawasco kusambaza maji maeneo hayo wakidhani wanamkomo Mnyika lakini ukweli ni kwamba wananchi wakaazi wa maeneo hayo wanatambua juhudi na jitihada za mbunge wao na hawana shaka naye.
Kitakachotokea ni wananchi kuichukia Dawasco pamoja na serikali ya ccm.
 
Kwa mawazo yangu:-

Wanataka ionekane Mnyika kashindwa kutatua tatzo la maji na baada ya mwezi mmoja atakuja waziri from Magamba, kwamba amekuja kusikiliza kero za wananchi, ataandamana na Nnauye na yule spana Ma**** aliyeamia jana Ugambani, watatoa matamko kuiagiza DAWASCO na baada ya siku mbili maji hayoooo!!

Wataondoka kwa kujisifu kwamba CDM tumeizika Ubungo ukizingatia wataandaa mazezeta 100 na kadi feki kwenye mkutano huo!!!

Very pathetic!!
 
Huku Makuburi pia ni shida tu, Wanadhani ndio dawa. Tumesha washtukia na ikiwezekana mnyika aandae mikutano kuwaeleza wakazi ujinga wa Nyinyiem.
 
Wanataka wananchi tuandamane mpaka tukaoge lkulu.
 
mnyika mpuuzi yemwenyewe kazi yake ni kutna PR zsizo za mcng hana nia ya dhat ya kumaliza tatzo la maji,ana kipenda chama kulko jmbo..

Wewe ndo mpuuzi kiasi kwamba hata umeshindwa kuandika kitu kikaeleweka... mbaaaf...!!!
 
Back
Top Bottom