Kiyoya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,775
- 994
Maji yatakuja vipi wakati mafisadi wanapiga hela sasa mbunge anapambana nao ili maji yaje nyie mnampiga majungu-tazama sasa deni ndio hilo 450,000 -Mikoani tunategemea hoja nzito toka kwenu kwa mstakabari wa taifa -wapi na wapi mbunge na maji Wazir mwenye dhamana mnamshindwa nini kumfuata kwa maandamano au na hilo linahitaji mbunge-punde tutasikia hata kupanda kwa bidhaa mbunge anahusika-Tz bwana Haya bwanamnyika mpuuzi yemwenyewe kazi yake ni kutna PR zsizo za mcng hana nia ya dhat ya kumaliza tatzo la maji,ana kipenda chama kulko jmbo..