Bidhaa zinapanda bei. Unaanza kutunza hela bati likiwa linauzwa 20000, ukitaka kuvunja kibubu unakuta bati ni Tsh 28000Shida zote za nini tafuta sanduku LA chuma uwe unafungia hela mpaka zigike unazozihitaji.
😂😂😂Bati na nondo uweke kiwanjani? Asubuhi hutakuta hata moja...