Mpango wa kujenga Barabara toka London mpaka New York

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,724
12,002
Wenzetu waki panga maendeleo sie twaongeza wake na kukwea minazi.
Russia%2BProposes%2BSuperhighway%2BLinking%2BNew%2BYork%2BAnd%2BLondon.jpg

Ni mpango kabambe utakaosimamiwa na serikali ya Urusi.
Ki msingi Dunia imeunganisha nguvu ili kuigandamiza Afrika.
Ni lini tutakuwa na mpango kabambe wa maendeleo ya waafrika kama Taifa?

Sehemu kubwa ya barabara hii itapita kandkando ya reli ya trans Siberian
Na kwa baadae itajengwa reli ya kasi kandoni mwa barabara hii.
 
Kwa wao kuungana na kutufitinisha sisi Wa Afrika.

Hakuna aliewafitinisha Waafrka. Ni sisi wenyewe tunaokwenda OAU tukipanga mipango ya kuwakandamiza Waafrika wenzetu badala ya Maendeleo.
OAU haina mchngo wowote kwa maendeleo ya Afrika
Viongozi wetu wanakwenda kule kunywa na kula na kujipatia allowance
 
Hata afrika tunamipango kabambe kwa mfano daraja litakalojengwa kutoka egypt hadi saudi arabia ni moja kati ya project zitazonufaisha baadhi ya nchi za kiafrika,.
saudi-arabia-egypt-strait-of-tiran.jpg

photo_verybig_30237.jpg
 
Hakuna aliewafitinisha Waafrka. Ni sisi wenyewe tunaokwenda OAU tukipanga mipango ya kuwakandamiza Waafrika wenzetu badala ya Maendeleo.
OAU haina mchngo wowote kwa maendeleo ya Afrika
Viongozi wetu wanakwenda kule kunywa na kula na kujipatia allowance
OAU ilishakufa sasa ni AU
Kaongeze ujuzi na ufahamu
Kisha rudi.
 
[QUOTE="jingalao, post: 16325442, member: 56]Uliza anayezungumzia Sukari ni nani kama sio Chadema....CCM tunazungumzia madaraja kama kigamboni na Fly overs!!

Fly Over 7 kujengwa jijini Dar[/QUOTE]
Sukari inazungumziwa Na wananchi Na imekuwa tabu kupatikana ndio maana wazir akahitolea tamko Na bungeni
 
Hakuna aliewafitinisha Waafrka. Ni sisi wenyewe tunaokwenda OAU tukipanga mipango ya kuwakandamiza Waafrika wenzetu badala ya Maendeleo.
OAU haina mchngo wowote kwa maendeleo ya Afrika
Viongozi wetu wanakwenda kule kunywa na kula na kujipatia allowance
wacha wazimu wewe,hivi IMF na WB wana mipango ya kuiendeleza africa?..kwa nini walimuua gadafi!? Kwa nini walimpindua nkurumah? Kwa nini walimuua lumumba?..mchawi mkubwa wa maendeleo ya afrika ni mzungu
 
[QUOTE="jingalao, post: 16325442, member: 56]Uliza anayezungumzia Sukari ni nani kama sio Chadema....CCM tunazungumzia madaraja kama kigamboni na Fly overs!!

Fly Over 7 kujengwa jijini Dar
Sukari inazungumziwa Na wananchi Na imekuwa tabu kupatikana ndio maana wazir akahitolea tamko Na bungeni[/QUOTE]sukari inazungumziwa na watu wa siasa za matukio,nimekunywa uji wa ndimu asubuhi,nimeepuka mengi
 
Wenzetu waki panga maendeleo sie twaongeza wake na kukwea minazi.
Russia%2BProposes%2BSuperhighway%2BLinking%2BNew%2BYork%2BAnd%2BLondon.jpg

Ni mpango kabambe utakaosimamiwa na serikali ya Urusi.
Ki msingi Dunia imeunganisha nguvu ili kuigandamiza Afrika.
Ni lini tutakuwa na mpango kabambe wa maendeleo ya waafrika kama Taifa?
Russia%2BProposes%2BSuperhighway%2BLinking%2BNew%2BYork%2BAnd%2BLondon.jpg

Sehemu kubwa ya barabara hii itapita kandkando ya reli ya trans Siberian
Na kwa baadae itajengwa reli ya kasi kandoni mwa barabara hii.
Vipi mkuu lile tatizo letu la sukari limefikia wapi? Maana naona foleni zinazidi tu
 
Mi nilijua dunia duara, sasa kuliko kuzunguka kote huko kwanini wasipitie huko kushoto tu!
 
Back
Top Bottom