Mpango wa kujenga Barabara toka London mpaka New York

Tanzania bado tunazungumzia sukari dah afrika aliyetulaani si jui ni Nani maana kama rasilimali zipo za kutosha
Na Zimbabwe, Malawi, Somalia, Kenya, south Africa, Syria, Libya, Burundi, etc wanazungumzia nini?
 
Tanzania bado tunazungumzia sukari dah afrika aliyetulaani si jui ni Nani maana kama rasilimali zipo za kutosha
Weusi ni laana nasema! Nipigeni madongo, weusi ni laana sina la kufanya kuukimbia
 
Wazungu sijui mungu aliwajalia kuliko sisi au ni umburula wetu!
 
Waafrika tunatafuta sababu tu hakuna chochote cha kujivunia na hata madaraja tunayojenga utaalam unatoka kwa hao tunao watukana hapa bila wao hata hapa tulipo tusingefika
 
wacha wazimu wewe,hivi IMF na WB wana mipango ya kuiendeleza africa?..kwa nini walimuua gadafi!? Kwa nini walimpindua nkurumah? Kwa nini walimuua lumumba?..mchawi mkubwa wa maendeleo ya afrika ni mzungu

Ni kweli Mkuu.

Hawa wazungu wanataka Afrika iwe na majanga tu ( Cholera, Vita, Njaa, Ukame, Mafuruko nk..) Halafu wao wanajidai kutoa misaada yenye masharti.
 
Kaizungumzia mara ngapi?
Na amezungumzia Fly over mara ngapi?
Kuweka mifumo ya maji ya kukusanya mavi mjini imewashinda mavi yanatiririka kila mitaa halafu ww unaleta porojo za fly over tena unatumia neno la kikoloni ikiwa na maana wala huna msamiati wa hilo neno kwenye lugha yako ya asili. Kweli ujinga ni mzigo
 
Naona umechukia sana...Fly over haziwezi kuwa na jina sahihi kwa kiswahili kwasababu hatukuwa na ujuzi huo...labda nikuulize kuhusu kile chama chako kutumia neno demokrasia wakati ni msemo wa wazungu ni sahihi?
 
Duh...wenzetu wanapiga hatua wakati sisi bado tunahimizana kuzungusha mikono.....tutafika kweli?
 
Hiyo raman vp
Kwann haijapita North Atlantic Ocean
 
Naona umechukia sana...Fly over haziwezi kuwa na jina sahihi kwa kiswahili kwasababu hatukuwa na ujuzi huo...labda nikuulize kuhusu kile chama chako kutumia neno demokrasia wakati ni msemo wa wazungu ni sahihi?

Shika adabu yako kafir ww unadhani kila mtu anaishi kwa siasa kama ww?
 
Naona umechukia sana...Fly over haziwezi kuwa na jina sahihi kwa kiswahili kwasababu hatukuwa na ujuzi huo...labda nikuulize kuhusu kile chama chako kutumia neno demokrasia wakati ni msemo wa wazungu ni sahihi?

we jinga msemo wa wazungu ni democracy, kwa kiswahili ndo demokrasia
 
Back
Top Bottom