Mpango mzima wa kuihusisha CHADEMA na ugaidi mpya huu hapa

Mpango mzima wa kuihusisha CHADEMA na ugaidi mpya huu hapa

Ushauri wangu tusikurukupe kulihukumu hili ili haki itendeke. Maana, Wanamazingaombwe wote wafanyapo tricks zao, huvuta attentions za watazamaji upande wa kulia, then wao hufanya tricks hizo upande wa kushoto.
 
Mohamedi Mtoi wewe kweli tambara la deki, ninguwa Mod ninge kupiga Ban, na upuuzi wako, Yaani hili nalo utummwa na mabwana zako au ndio kujipendekeza tu kwa Mtei.wewe tulia tu kifaranga, tuwashughulikie hawa MAGAIDI.
Tulia Bi Kiroboto wewe unafikiri upo bungeni hapa,kazi mliotumwa haitakaa ifanikiwe itawatafuna wote wapuuz nyie..
 
Last edited by a moderator:
hakuna mwanasiasa msafi hata mmoja tusubili atakayeweza kutudanganya na maneno yake bac
 
Mohamedi Mtoi wewe kweli tambara la deki, ninguwa Mod ninge kupiga Ban, na upuuzi wako, Yaani hili nalo utummwa na mabwana zako au ndio kujipendekeza tu kwa Mtei.wewe tulia tu kifaranga, tuwashughulikie hawa MAGAIDI.
Tambara la deki mbona unampa hadhi kubwa? huyu anatumika kama condom.kila kitu ni black & white yeye anakuja kuleta ngonjera zake hapa?
 
Mtoi, jambo hili halidanganyiki tena. Hii kitu ndio kubwa yake. The evidence is overwhelming. Bahati mbaya/nzuri jamaa hakuuawa. Labda polisi waamue kuisaidia CHADEMA kama walivyofanya kwenye issue ya Lwakatare. Lakini sasa huyu IGP mpya anataka aonekane anachapa kazi na ataanza na hili. Tupeane pole, lakini siasa za namna hii za kulazimisha kila mtu akupenda ni za kijinga. Yaani kwa nini kilituuma sana kwamba baadhi ya wenyeviti tena wachache walipinga maamuzi ya KK? Hadi watu kupigwa halafu wewe unafanya propaganda kisa hako kamshahara tunakokapata hapa? Mtoi mwogope Mungu kamanda!
 
Mtoi,

Jah siku zote yupo upande wa haki, udharimu wa serikali ya ccm na Zitto havitafanikiwa,
 
Chadema iwe makini na hiyo kesi, wanasheria wafuatilie kwa karibu sana hayo! Mapolis kwa sasa ni maajenti wa maccm, chochote kinaweza kufanyika!
 
, Hivi Kova analipwa shilingi ngapi na ccm zinazomfanya afanye mambo ya kipumbavu kiasi hiki? badala ya kufanya kazi yake ya upolisi namuona mara nyingi anafanya propaganda za kisiasa. ananikumbusha Enzi za mahita alipoonyesha majambia ya cuf! Laana zote za walioteswa kwa uzembe wake zimwangukie....


Umesahau na yule chizi waliemwokota tanganyika pkrs wakidai ndie alimteka dr ulimboka, ya dr mvungi na skafu ya cdm yaani tanzania ni full mazombi.
 
Ulimboka kamtaja mtu wake lakini Kova hakutokea kama anavyojitokeza. Mtuhumiwa wa Ulimboka ----------- wakaleta ushahidi wa mawasiliano ikafungiwa.

Halafu kuna watu humu wanajifanya hawaelewi. Kibanda kasahau mateso yake kwa sababu ya shekeli.
 
Mtoi, jambo hili halidanganyiki tena. Hii kitu ndio kubwa yake. The evidence is overwhelming. Bahati mbaya/nzuri jamaa hakuuawa. Labda polisi waamue kuisaidia CHADEMA kama walivyofanya kwenye issue ya Lwakatare. Lakini sasa huyu IGP mpya anataka aonekane anachapa kazi na ataanza na hili. Tupeane pole, lakini siasa za namna hii za kulazimisha kila mtu akupenda ni za kijinga. Yaani kwa nini kilituuma sana kwamba baadhi ya wenyeviti tena wachache walipinga maamuzi ya KK? Hadi watu kupigwa halafu wewe unafanya propaganda kisa hako kamshahara tunakokapata hapa? Mtoi mwogope Mungu kamanda!

Huna ushahidi, una uhakika wa jambo then unakuja na hitimisho kuwa ni CDM inahusika. Tafakari operation tokomeza , ni CDM ilihusika? Ni mjinga anaweza kuja na hitimisho kama hili.
 
Pagija,

Katika watu ambao ni majuha,mazezeta na wapuuzi wewe ni nambari wahedi. Sijui ulisoma shule gani ambayo haikuweza kukuelimisha ili uweze kuutumia ubongo wako kufikiri tena kwa makini(to think critically). Kwa watu makini wenye fikira pevu watakubaliana na kile alichosema Mhe. Mtoi. Huo ndio ukweli wenyewe!

.

Mohamedi Mtoi wewe kweli tambara la deki, ninguwa Mod ninge kupiga Ban, na upuuzi wako, Yaani hili nalo utummwa na mabwana zako au ndio kujipendekeza tu kwa Mtei.wewe tulia tu kifaranga, tuwashughulikie hawa MAGAIDI.
Wakuu kwa matusi mnayotumia inadhihirisha kuwa hamuwezi kushindana kwa hoja. nashauri hayo matusi mngetumiana kwa njia ya PM lakini mnavyoweka hadharani hivi inashusha hadhi ya Jf wakuu.
 
Mohamedi Mtoi
hizi hekaya zenu za kutunga tumeshazizoea! sisi tunafuatisha ukweli kutoka kwa muhusika.

Mbona Ukweli wa Dr. Ulimboka haukufuatwa acheni unafiki tatizo lenu mmejivisha vichwa vya KUKU na kutumia Ubongo wa kuku kitu kinachofanya mpoteze kumbukumbu
 
Kuwa mwana-chadema sio kichaka cha kufichia madhambi ya chama changu.

Kwa hili la kumteka Yona,bila kupepesa macho viongozi wangu wa chama wanahusika moja kwa moja.

Hapahitajiki PhD kuujua ukweli huu, ila dhamira ya kweli na ya kizalendo inayosimamia ukweli na sio kutumikia kundi.
 
Back
Top Bottom