Mi sina mpangilio kwakweli na nimejaribuuuu ila wapiiiii.
Mwisho nikaamua niweke jitihada maeneo mawili tu kufanya savings na kutenga kiasi kidogo kila mwezi ya kujispoil baaaass.
Bro umesema una mimba?
Nikijipata nitaanza kutafuta uzi wako na kupitia kwa makini kuchukua madini , sasa sina hata hela ya kupanga bajeti status yangu ni KKB (Kula Kulala Kwa Baba )
Usahihi,Nikijipata nitaanza kutafuta uzi wako na kupitia kwa makini kuchukua madini , sasa sina hata hela ya kupanga bajeti status yangu ni KKB (Kula Kulala Kwa Baba )
Yeah kuna watu Wana kalama halafu kuna kujifunza pia.Kuna watu automatically wanajua kusave
Hiyo jitihada uliyoianza nayo ni nzuri braza
Braza mimba naitolea wapi na hizi kende? Tuheshimiane basi bro
Yeah kuna watu Wana kalama halafu kuna kijifunza pia.
Nlijua umekata kende kama dayon
πππMnipumzishe mtaniuaWe jamaa kumbe umejificha huku π€ π€ ππ
Umeadimika kama mashabiki wa mbuzi
ππAh nikajua umekua mama kijachoHiko ni kibwagizo tu π
Tip sio mbaya bro mbaya kutapanya, matumizi ya ovyo kununua vitu ambavyo hata havikua katika plansMimi nilikuwa mtu wa kusave sana bila shida...wakaniroga siku hizi natumia hela kinyama,nipo kwenye zile hatua hadi nikienda saluni natoa tip kwa msusi,natoa tip kwa mpaka rangi kucha hadi nikipanda bolt π₯
Siwezi kuaga mashindano bro
Mimi kama mimi sina matumizi makubwa sana ,kwa siku natumia around elfu 2 hadi 5 maana najipikia mwenyewe porini huku ,nanunua unga.mchele,mafuta ya kutumia mwezi mzima,so hapa kati kati ni kununua vitu vidogo vidogo tu vya kuweza kukamilisha mipiko.πππ
Nipe matumizi yako King Kong III niruke nayo kama yatanifaa
Mimi kama mimi sina matumizi makubwa sana ,kwa siku natumia around elfu 2 hadi 5 maana najipikia mwenyewe porini huku ,nanunua unga.mchele,mafuta ya kutumia mwezi mzima,so hapa kati kati ni kununua vitu vidogo vidogo tu vya kuweza kukamilisha mipiko.
Ila kwa nyumbani bajeti ya siku huwa elfu 15 lakini ndani wana kila kitu ,kwahiyo elfu 15 ni kununua vitu vidog vidogo ambayo haviwezi kukaa wiki kama ndizi za kuiva ,mboga za majani etc
Kununua vitu ambavyo havipo kwenye plan ni jambo natamani sana kuliweza broTip sio mbaya bro mbaya kutapanya, matumizi ya ovyo kununua vitu ambavyo hata havikua katika plans
Bado bado πππAh nikajua umekua mama kijacho
Rudisha avatar yako ya RingoMimi sinaga matumizi makubwa kiasi cha kusema niorodhe(ze)she kiivo.
Nikutumie ile nyimbo ya msichana wa urembo kama weweπππBado bado π
Kila la heri mpenziHiyo sina my dia sis,nikiipata wewe utajua tu lazima nikwambie
Japo malengo ni kupata huu mwaka
Ni kweli nimemaliza chuo mwaka Jana mwaka huu nimemaliza Supp yangu nimegraduate ramsi mwaka huu , sasa ni degree holder inayotembea mtaani form 4 nilimaliza 2018 .Mtu anaweza kuamini kweli ni KKB ujue
Namuenzi Lisu wa kitaaa! Sema ntairejesha ila round hiii Ringo atakua amevaa vizuri.Rudisha avatar yako ya Ringo