Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,836
- 7,492
- Thread starter
- #41
Ujue watu wanataka manadiliko wanakosa wakuwaongoza. Chadema hawabadiliki Hilo ndio tatizo.uchaguzi wa mwaka huu kila kona ni ushauri tuu
Wagombea wanaenguliwa uchaguzi serekali za mitaa unakuja uchaguzi mkuu hakuna tahadhari.
Akili walitumia mkoa wa Mara wao walijaza fomu pamoja .Nilitamani kushuri juu ya Nini kifanyike kuzuia haya mapingamizi lakini nikajisemea Chadema watakuwa na mechanism. Kumbe so kweli kulalama tu.
Jaza fomu pamoja viongozi wa kanda mkoa wasimamie. Wakati wa kurudisha rudisha pamoja ikiwezekana mbele ya media.
Tukiwaacha bila ushauri tunakuja kuwa disappointed.