Uchaguzi 2020 Mpangieni Lissu mavazi kipindi cha Kampeni

uchaguzi wa mwaka huu kila kona ni ushauri tuu
Ujue watu wanataka manadiliko wanakosa wakuwaongoza. Chadema hawabadiliki Hilo ndio tatizo.

Wagombea wanaenguliwa uchaguzi serekali za mitaa unakuja uchaguzi mkuu hakuna tahadhari.

Akili walitumia mkoa wa Mara wao walijaza fomu pamoja .Nilitamani kushuri juu ya Nini kifanyike kuzuia haya mapingamizi lakini nikajisemea Chadema watakuwa na mechanism. Kumbe so kweli kulalama tu.


Jaza fomu pamoja viongozi wa kanda mkoa wasimamie. Wakati wa kurudisha rudisha pamoja ikiwezekana mbele ya media.

Tukiwaacha bila ushauri tunakuja kuwa disappointed.
 
Back
Top Bottom