Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,948
- 13,378
Habari zenu?
Ni hivi nina wachumba wawili tofauti,sasa juzi kaja mchumba wangu Asha na ndugu yake kuja kunitembelea mara mpangaji mwenzangu naye akaja basi tukapiga stori zetu na kupata chakula na vinywaji vya hapa na pale,baada ya hapo mpangaji mwenzangu akaenda kwake na mchumba wangu na ndugu yake nao nikawasindikiza wakaenda kwao.
Jana kaja mchumba wangu Joyce nikamwacha nyumbani na mimi nikatoka kidogo kuna mtu nilikwenda kumuona kumbe yule mpangaji mwenzangu alirudi na kuanza kumwambia huyu mchumba wangu Joyce kuwa ametokea kumpenda yule dada yake aliyekuja naye jana,basi Joyce alimuhakikishia kwamba sio yeye aliyekuja jana ila huyu mpangaji mwenzangu aliendelea kumwuomba amuunganishe na yule dada yake ndipo Joyce akamwambia sio yeye aliyekuja jana na akataka amwambie ni mwanamke gani huyo aliyekuja na rafiki yake pale kwangu? Baada ya kuona hivyo yule mpangaji mwenzangu akatoka bila kuaga,ile kurudi nikakutana na zogo hili na Joyce kaondoka huku amekasirika na kusema nikimwita basi nimuandalie majibu yaliyonyooka.Mpangaji mwenzangu hakulala kwake na hajarudi mpaka sasa,
Nimepanga kumfanyia kitu mbaya huyu mpangaji mwenzangu,
je,nimtende au nisimtende?
Nalog off