Mpanda: Laurence Masha anashikiliwa na Jeshi la Polisi

aiseee kura nyingi sana hapo ukawa watavuna kupitia masha aliyewapatia uraia
 
Umeelewa kilichoelezwa hapo au hivyo viroba ulivyokunywa ndio vinakuchanganya, yeye ni nani hadi awatishe hao watu kuwa wakiichagua ccm watarudishwa burundi kama si uwendawazimu ni nini,nashauri awekwe lupango hadi uchaguzi utakapofanyika ndio wamtoe

Nakushauri usome vizuri alichoandika mleta mada naona kama unachanganya Madesa
 
Hairuhusiwi kuongea na wakimbizi na hasa kama wamepewa uraia? Only in tz
 
Wasimtowe huyo mboona sheria anazijua?kwaninisasa anvunja sheria piya kwao kijijini hawajakaa na watu vizuri
 
Umeelewa kilichoelezwa hapo au hivyo viroba ulivyokunywa ndio vinakuchanganya, yeye ni nani hadi awatishe hao watu kuwa wakiichagua ccm watarudishwa burundi kama si uwendawazimu ni nini,nashauri awekwe lupango hadi uchaguzi utakapofanyika ndio wamtoe
Kwa sheria ipi?
 
Back
Top Bottom