Mpanda: Laurence Masha anashikiliwa na Jeshi la Polisi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,888
Waziri wa zamani wa mambo ya ndani, Laurence Masha, anashikiliwa na Jeshi la Polisi
Mkoa wa Katavi.

Masha anashikiliwa kwa kosa la kufanya mikutano kwenye kambi ya Wakimbizi.

Akiwa Waziri Mambo ya Ndani, aliwapa uraia, Walikuwa 165,000. Alikwenda kuwatoa hofu iliyojengwa wasipopiga kura kwa CCM watarudishwa Burundi.
 
Umeona kwa nini wamkamate au huko hakuna wapiga kura ? Vipi Jaji Lubuva na NEC waliwanyika haki ya kujiandikisha?
 
Back
Top Bottom