Mpaka wa Malawi na Tanganyika uko hapa!!!!

Mpaka wa Malawi na Tanganyika uko hapa!!!!

hii RAMANI MPYA NI YA KWELI,NAUNGA MKONO NCHI YETU TURUDISHIWE MARA MOJA.HAKUNA MJADALA KATIKA HILI.NASHUKURU SANA KWANI MIMI BINAFSI NILITAMANI TUCHUKUE NCHI YOTE.KWA WAZO LA KUCHUKUA SEHEMU ILIYOONYESHWA KATIKA RAMANI YA LEO NAKUBALIANA SANA.

Tunataka nchi yetu, Malawi mjipange
 
Unajua Wamalawi mabwege sana, wanadai ziwa nyasa lote lao ili kutupumbaza tusidai kipande cha ardhi yetu wanachokishikilia
 
"I don`t give a damn whether they call it Lake Malawi; Mzuzu or Banda" Nyerere alimaliza kesi hii siku nyingi sana hatuna haja ya kupoteza muda na fedha zetu kuunda tume

Chama
Gongo la mboto DSM
 
naunga mkono hoja. Lazima tuipiganie ardhi yetu
 
Ukiwa unagombea mpaka na jirani yako hii ndio principle ya kupata haki unayostahili. Baada ya mazungumzo ya usuluhishi mssuluhishi hurahisisha maamuzi "Kugawanya katikati eneo linalogombaniwa"
 
Mipaka itafsiriwe na kuingizwa kwenye katiba mpya.Raisi ajaye ale kiapo kulinda na kuitetea nchi na mipaka yake.
TZ imezungukwa na nchi zenye migogoro na uzushi.!!
 
oi oi oi oi..... Hii sasa ni Noumer......

Picha la leo kali... jina la picha ''Bongo Flava'' Starling Zig zag Crew wanapiga watu wewe watu wewe!!
 
Ukiwa unagombea mpaka na jirani yako hii ndio principle ya kupata haki unayostahili. Baada ya mazungumzo ya usuluhishi mssuluhishi hurahisisha maamuzi "Kugawanya katikati eneo linalogombaniwa"

tuwatangazie Wamalawi lile eneo kule wanakojidai ni letu
 
Hofu ya yangu ni kama awamu hii ya utawaka itaweza kushinda na kutetema mipaka yetu. Kimsingi hakutakiwi kuwa na mazungumzo yoyote kuhusu mipaka yetu na malawi ibaki kama ilivyobaki miaka 50 iliyopita.
Ukianzisha majadiliano ya mipaka, jiandae na kesi na mashauri zaidi katika mipaka mingine ya nchi.
 
Mheshimiwa Rais anaweza kweli kutetea mipaka yetu?
 
hii ramani imetoka wapi tena? huo utani wenu utawafanya wamalawi wazimie kabisa
 
Watanzania wenzangu mnanishangaza kitu kimoja tu Ardhi yetu ni kubwa ni karibu kilometa za mraba million moja tumeshindwa kuitumia tunawagawia wazungu na waarabu sasa tunataka kumega ardhi ya Malawi ili tuwape wazungu are we really serious? mimi nadhani tungeweka pressure kwanza kwenye maeneo ambayo ardhi kubwa imemegwa na wazungu kama Arumeru kwa dogo janja wazawa wamilikishwe ardhi hiyo isipotosha ndio tufikirie kupanua mipaka yetu!

kwani hata kam haitumiki kuna hasara yoyote ambayo unaipata mkuu
 
Hawa Wamalawi wasintanie kabisa, Babu yangu kasema Mpaka wa Tanganyika na Malawi uko hapa

View attachment 71989

View attachment 71987

Hizi sehemu zote zetu hizi
  1. Karonga
  2. Rumphi
  3. Mzuzu
  4. Chitipa
  5. Nkhata

Tena wakae mbali maana tutakuja kudai sehemu yetu haiwezekani bana!!!!

kama ni kweli ndugu yangu,nini kilibadilisha huo ukweli na kutufikisha hapa tulipo?hii ramani tunayoitumia leo imeanza kutumika.
 
Back
Top Bottom