Mpaka wa Malawi na Tanganyika uko hapa!!!!

Mpaka wa Malawi na Tanganyika uko hapa!!!!

Hii kitu inaukweli ndani yake. Kwanza wamalawi wanaoishi Kaskazini wanataka wajitenge na Malawi wawe Tanzania. Go and ask.
 
watu wote wanaoishi kando ya ziwa kwa pande zote za ziwa ni ndugu moja kwa mfano wangonde na wanyakyusa, wanyasa, wayao na watumbuka. kupigana vita ni kutaka kuwaua ndugu moja jambo ambalo halikubaliki. solutions ni kutumia ICJ.
 
Source na authority ya ramani hiyo ni nani?Ilichorwa lini?Nasi tuifuatie huko huko
 
Watanzania wenzangu mnanishangaza kitu kimoja tu Ardhi yetu ni kubwa ni karibu kilometa za mraba million moja tumeshindwa kuitumia tunawagawia wazungu na waarabu sasa tunataka kumega ardhi ya Malawi ili tuwape wazungu are we really serious? mimi nadhani tungeweka pressure kwanza kwenye maeneo ambayo ardhi kubwa imemegwa na wazungu kama Arumeru kwa dogo janja wazawa wamilikishwe ardhi hiyo isipotosha ndio tufikirie kupanua mipaka yetu!
 
Duu good angalau umenifanya niisome ramani kwa umakini zaidi
 
Watanzania wenzangu mnanishangaza kitu kimoja tu Ardhi yetu ni kubwa ni karibu kilometa za mraba million moja tumeshindwa kuitumia tunawagawia wazungu na waarabu sasa tunataka kumega ardhi ya Malawi ili tuwape wazungu are we really serious? mimi nadhani tungeweka pressure kwanza kwenye maeneo ambayo ardhi kubwa imemegwa na wazungu kama Arumeru kwa dogo janja wazawa wamilikishwe ardhi hiyo isipotosha ndio tufikirie kupanua mipaka yetu!
Mtanzania wa kumbumba huyu, watu kama nyie huwa wasliti sana
 
Mtanzania wa kumbumba huyu, watu kama nyie huwa wasliti sana

Jadili nilichoandika kwa point dont just give blanket statement, usaliti wangu upo wapi? unataka niunge mkono ramani zinachorwa tu kuonyesha kumega ardhi za jirani? ardhi yetu tumeitumia imeisha sasa tunataka kumega za watu? mpaka kuwa katikati ya ziwa sawa ila ziwa lote kuwa Tanzania??
 
Mbona hatujaambiwa hiyo ni ramani ya mwaka gani ? mbona tunaonyeswa tu mipaka, pia ufunguo ni muhimu , labda imechakachuliwa
 
Tena kali kwelikweli

Tabby inabidi tuenende nao sawasawa na wao wanachokitaka, Wanataka ziwa lote la Malawi/Nyasa, nasi yatupasa kudai hicho kijisehemu kirudi Tanganyika.

Unajua wao wanajua hilo ziwa litawatoa. Wanasahau kwamba raslimali peke yake hazitoshi kuwaondolea shida kama hapana mazingira mazuri ya kisiasa ikiwemo amani na majirani na utawala bora wenye nia sahihi ya kutumia hizo raslimali kwa maslahi ya wananchi wote. Sasa wasipokuwa makini hata wangepewa kila kitu haviwezi kuwasaidia. Na ndipo utakuta kila kukicha wanagombana na majirani.
 
Mbona hatujaambiwa hiyo ni ramani ya mwaka gani ? mbona tunaonyeswa tu mipaka, pia ufunguo ni muhimu , labda imechakachuliwa

ufunguo umewekwa mfukoni na mchoraji anatembea nao anahofia Malawi watauiba!
 
Wakiiona hii wataanzisha mazungumzo mapya ili mpaka uwe walau katikati ya Ziwa !!
 
Back
Top Bottom