Wakiiona hii wataanzisha mazungumzo mapya ili mpaka uwe walau katikati ya Ziwa !!
Ramani hizi warushie vijana wetu wa JW. Sasa hivi tunaenda kukalia maeneo hayo
Sasa hivi wanaogopa kuhukumiwa kunyongwa!hivi vijana wa JWTZ huwa hawapiti JF?
Nilishtuka sana....nilidhani imetolewa na Idara ya ramani Tanzania. Na kama Joyce Banda hajaiangalia vizuri naweza kuzirai.
Vipi mkuu umewa"PM" Nyasa Times...? Hii ramani itauza sana gazeti lao.anatakiwa aione ili azirai vizuri
Hawa Wamalawi wasintanie kabisa, Babu yangu kasema Mpaka wa Tanganyika na Malawi uko hapa
View attachment 71989
View attachment 71987
Hizi sehemu zote zetu hizi
- Karonga
- Rumphi
- Mzuzu
- Chitipa
- Nkhata
Tena wakae mbali maana tutakuja kudai sehemu yetu haiwezekani bana!!!!
Ushuzi utawabana....lolVipi mkuu umewa"PM" Nyasa Times...? Hii ramani itauza sana gazeti lao.
hii RAMANI MPYA NI YA KWELI,NAUNGA MKONO NCHI YETU TURUDISHIWE MARA MOJA.HAKUNA MJADALA KATIKA HILI.NASHUKURU SANA KWANI MIMI BINAFSI NILITAMANI TUCHUKUE NCHI YOTE.KWA WAZO LA KUCHUKUA SEHEMU ILIYOONYESHWA KATIKA RAMANI YA LEO NAKUBALIANA SANA.
yaaani wewe una akili sana! nimeipenda sana hii !
Sijakuelewa kabisa karafuu ebu fafanua, Zanzibar yaliwakuta yepi ?hakuna haja ya kupigana ni bora tu tukawapa haki yao wamalawi yasije yakatukuta kama ya kule zanzibar wanataka kupumua sasa.