Inartia
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 1,284
- 1,305
Hakuna cha utata, kumlingalisha gaucho na hiyo takataka ni kumkosea heshimaHapa ndipo penye utata, ukali ktk nini?
Hakuna cha utata, kumlingalisha gaucho na hiyo takataka ni kumkosea heshimaHapa ndipo penye utata, ukali ktk nini?
Ronaldo alikua na kipi cha maana zaidi ya kuekewa akiwa amebaki yeye na kipa au goli tupu na kufunga kitu ambacho ata zlatan anafanya pale manchester? Acheni kumlinganisha gaucho na vitu vya ajabu ajabuwakati anachipukia alieonekana kama mrithi wa Ronaldo ndo maana wakamuita hivyo
Anamsikia.Mkuu Unamjua lakini Gaucho?
Hawamfikii yule fundi.acha ubishi.gaucho alikuwa ni burudani.wengi humu wamezaliwa juzi.
nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
Kwenye hiyo list ongeza na majina haya, Michael Laudrup, Davor Suker, Paul Gascoine na Eric Cantona.wengi humu wamezaliwa juzi.
nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
Mi naona hamjui gaucho huuyuMkuu Unamjua lakini Gaucho?
Nakumbuka wakati akiwa Barcelona akimpa pasi etoo ujue mashabiki wanasimama kwa heshma na taadhima kushangiliaBasi nakushauri uangale video zao.
Kwenye vipengele hizi;
1. Dribbling
2. Ball control
3. Pasi
Naona anabwabwaja tuuMi naona hamjui gaucho huuyu
We unajua mpira MkuuGaucho Gaucho huyu ndie mchawi wa soka pekee 100% mtafuteni wa number 2 !
Watu wanataja wachezaji ambao mpaka sasa watu wamewasahauHawamfikii yule fundi.acha ubishi.gaucho alikuwa ni burudani.
Kweli kabisaKilichommaliza ni starehe.
Nadhani hamjui.Anamsikia.
Jamaa anajua bhanaaHuyu gaucho angeufanya mpila uwongee.ktk ulikwengu huu hakuna kama gaucho hapo wakina zifane,rivaldo,delima,nedved wanafuata nyuma.gaucho is the best master in footbal