Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

Ryan The King

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
2,788
2,690
Habari Wakuu!

Tokea ninakua mpaka sasa bado sijawahi ona ona mchezaji Mpira anayemfikia GAUCHO kwa ubora.

kwa wanaomjua Gaucho wataungana na Mimi na hawatanishangaa nikimkubali huyu mchezaji ambaye wataalamu tunamuita Mchawi wa Soccer.

Gaucho alikuwa mahiri kwa kuukontroli Mpira. Alikuwa anauwezo wa kuuweka mpira sehemu yoyote ya mwili.

Aidha Mbrazili huyu kwenye swala za dribbling bado hakuna anayemkamata.

Hutotamani mpira uondoke mguuni mwake pindi afanyapo mambo yake.

Gaucho ni miongoni mwa Wachezaji wakali kuwahi kutokea duniani.

Je, wewe unadhani ni nani anayemkaribia huyu Mchawi wa Soccer kwa maana kwa wakumzidi bado hayupo.

Gaucho.jpg
 
Wengi humu wamezaliwa juzi.

Nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze, Zidane, Stephen Efernberg, Dinho,
Figo, Luis enrique, Paul, Rivaldo, Nedved, Batistuta.

Mkuu kumbe na wewe wa juz tu.
 
INAWEZEKANA! Jamaa alikuwa akishika mpira unapenda uendelee kumwona, mbwembe, matumizi ya mwili, chenga, aaaah ukweli hakuna kama Gaucho mpaka sasa.
Ki ukweli kwa miaka ya tisini (1990's) hadi sasa hakuna kabisa mchezaji mwenye uwezo kumzidi Gaucho. Huyu jamaa alikuwa ni talented katika football.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom