Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume na Nabii wa mwisho wa Soka

Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
20,301
4,681
March 21 mwaka 1980 Mzee Joao Moreirra na Mkewe Bi Miguelina de Assis walifanikiwa kumzaa mtoto ambaye baada ya miaka kadhaa kupita alifanikiwa kuja kuwa Nabii wa mwisho wa kizazi cha Soka ulimwenguni.


THE KING OF MARCH IS BORN...
Siku kama ya Leo katika mji wa Porti Alegre nchini Brazil mtoto Ronaldo De Assis Moreirra alizawa.
ishara nyingi za kuja kwake zilionekana mapema na kuashiria kuwa Mbarikiwa yumbioni kuzaliwa.
viunga vyoote vya Brazil leo hii vinasherehekea siku hii muhimu kwa historia ya Taifa la Brazil.


THE SAINT WAS BORN...
Alizaliwa katika familia ya Soka.
Baba yake, Uncle wake na Kaka yake wote hawa walikuwa ni wachezaji Soka wa uhakika kabisa.
Alizaliwa katika maisha ya kawaida kabisa kama ambavyo manabii wengine walizaliwa.
Aliishi maisha ya kawaida kama ambavyo mitume wengine waliishi.
Siku zote tabasamu lake halikukauka usoni mwake.
hakuwahi kuwa na kumbukumbu ya uadui na mtu, si uwanjani waala katika maisha yake mtaani.


Alianza kucheza soka akiwa bado mdogo sana, na mara nyingi alicheza na watu wenye umri mkubwa zaidi yake na wengi waliomuona waliustaajabia uwezo aliokuwa nao.


Mwenyewe aliwahi kutanabaisha kuwa Baba yake ndie Idol wake na akamuelezea kuwa "He
was one of the most important people for me and
in my career, even though he died when I was very
young," he says. (João Moreira suffered a fatal
heart attack when Ronaldinho was 8 years old.)
"He gave me some of the best advice I've ever had. Off the field: 'Do the right thing and be an honest,
straight-up guy.' And on the field: 'Play soccer as
simply as possible.' He always said one of the most
complicated things you can do is to play it simple."...alikaririwa Mtakatifu huyu


''INCASE YOU DONT KNOW THE SAINT IS RONALDINHO GAUCHO''...


Haikushia hapo Maestro Gaucho quickly developed into one of Brazil's
most talented youth soccer players. When he was
13 years old, he once scored a ridiculous 23 goals
in a single game...shenz type...


Then Ronaldinho made his senior debut for Grêmio in the
1998 Copa Libertadores tournament. The next
year, he was invited to join the senior Brazilian
national team to compete in the Confederations Cup
in Mexico. Brazil turned in a second-place finish,
and Ronaldinho won the Golden Ball Award as the tournament's best player as well as the Golden Boot
Award as its leading goal scorer...
Na hapa ndipo Soka lilipokuja pata raaadha toka Mbinguni.


No Gaucho No Football...
Baada ya kutamba sana na Gremio hatimae Santa Gaucho alijiunga na PSG ya Ufaransa.
Hapa sasa balaa likatua Barani Europa, kwani ulimwengu wa Soka sasa ulisogezewa kiumbe mwenye uwezo wa kuuita mpira na kuufanya anachotaka.
Gaucho alifanya vitu vya ajabu na vya miujiza pale PSG kiasi cha kuvifanya vilabu vingi kumnyemelea.


kisha baada ya kutamba na PSG, ulipofika mwaka 2002 The Saint alibeba Kombe la Dunia akiwa na timu yake ya Brazil ambayo alifanikiwa kufunga magoli mawili katika mechi 5 alizocheza.
Goli moja akilifunga katika mechi ya robo Fainali dhidi ya Brazil ambapo alipiga Freekick inayoaminika kuwa hata wangekaa makipa 6 basi wasingeidaka.
HAPA IKUMBUKWE KUNA WACHEZAJI WEENGI WA SASA WANASIFIWA LAKINI HAWAJAWAHI KUBEBA KOMBE HILI...najuwa mnawajuwa.


RONALDINHO MADE BARCA...BARCA MADE MESSI...
Kisha Dinho the Saint akatua na kwenda kuiumba Barca hii ambayo leo hii inasifika na kuna watu wanatukuzwa pasipo kujuwa msingi wa Barca hii ya Sasa uliwekwa na akina nani.
Dinho akiwa Barca anakutana na Samuel Eto'o na Deco de Souza ambao kwa pamoja wanaanzisha kile kilichoshindikana na Louis Enrique, Louis Figo na Patrick Kluivert.
Hatimae Barca inakuwa timu ya kubeba Vikombe.
Akiwa Barca anafanikiwa kubeba Makombe mengi na kuufanya mchezo wa Soka kupendwa zaidi kutazamwa endapo tu yeye atakuwepo uwanjani.


JULLY 16 2008 DINHO ANAJIUNGA NA MILAN NA KUWA MCHEZAJI NYOTA ALIEKAMILIA.
"The brazilian footballer ended up playing where he wanted to. Ronaldinho wants to be part of Milan," Barcelona sporting director Txiki Begiristain admitted.
Santa Gaucho kama ilivyokuwa kwa nyota waliomtangulia analakiwa na maelfu ya washabiki wa soka sio tu wa Ac Milan bali wapenzi woote wa Soka nchini Italy sambamba na nchi za Jirani.
"Ronaldinho is ours. Galliani called me from FC Barcelona," Milan president Silvio Berlusconi admitted. "Galliani said deal was reached and tomorrow he will sign. Today there was a handshake.
Na siku ya kutambulishwa uwanjani Ronaldo De Assis Morreira alitoa kali ya Karne baada ya kupiga danadana mipira miwili, huku kila mpira ukitii kukaa mguu uliochaguliwa.


Mechi yake ya kwanza kufunga Goli Gaucho aliwachapa Inter goli la kichwa na kupelekea klabu yake kipenzi ya AC Milan kumfunga domo Kocha wa Inter kwa kipindi hicho Jose Mourinho, Milan walishinda goli pekee kwa bila...
Dinho anafanya Balaa zaidi nchini Italia, na 10 January 2010, Ronaldinho anatupia goli mbili dhidi ya Juventus in an away match, sealing a 3–0 victory for the Rossoneri. Katika mechi hii Dinho aliacha maafa uwanjani Delle Alpi baada ya kuiacha nyang'anyang'a beki yoote ya Juve.


In the
following match against Siena on 17 January 2010, Ronaldinho scored his first hat-trick for Milan when he converted a spot kick, scored
with a header from a corner and finished with a wonder goal from 20 yards out.


As of 13 April 2010, Ronaldinho was the assist leader of Serie A with a total of 14 assists.


He was the capitain of Brazil to its second Confederations Cup title in 2005, and was named Man of the Match in a 4–1 victory over archrivals Argentina in the final on 29 June. Ronaldinho scored three goals in the
tournament and is tied with Cuauhtémoc Blanco as the tournament's all-time scorer with nine goals.


Baada ya Milan Dinho alijiunga na Flamengo na kisha hivi karibuni amejiunga na klabu ya Atletico MG ambapo amedumu mpaka...

Hakika Dinho ni mbarikiwa
 
DINHO ni mkali nasubiri kwa hamu 2014 najua atakua karejea kwenye form yake ya kawaida hata kama haitokua 100% jamaa ashikapo mpila hua nafurahi
 
misikitini na makanisani tunatakiwa tutunge nyimbo za kumsifu na kumtukuza Huyu jamaa.
Pia mipira yoote inayochezewa inatakiwa iitwe Gaucho.
Na iwe marufuku kuiita mipira majina mengine.

Amri
 
DINHO ni mkali nasubiri kwa hamu 2014 najua atakua karejea kwenye form yake ya ka
waida hata kama haitokua 100% jamaa ashikapo mpila hua nafurahi


Mkuu sio wewe tu. Ni watu wote wa ukweli tunasubiri maajabu ya huyu kiumbe.
 
Ww jamaa inaelekea unampenda sana gaucho gaucho ni mkali lkn c kiivyo unavyomsifia huwezi linganisha kama zizou kwanza gaucho mafanikio yake kwa kiasi kikubwa yalikuwa tu barca tmu taifa hakufanya cha maana sana
 
Ww jamaa inaelekea unampenda sana gaucho gaucho ni mkali lkn c kiivyo unavyomsifia huwezi linganisha kama zizou kwanza gaucho mafanikio yake kwa kiasi kikubwa yalikuwa tu barca tmu taifa hakufanya cha maana sana


Mkuu naomba usiniharibie siku muhimu kabisa katika maisha yangu...plz
Naomba tuheshimiane.
 
Ww jamaa inaelekea unampenda sana gaucho gaucho ni mkali lkn c kiivyo unavyomsifia huwezi linganisha kama zizou kwanza gaucho mafanikio yake kwa kiasi kikubwa yalikuwa tu barca tmu taifa hakufanya cha maana sana
Kama huna kumbukumbu nzuri ya Soka ni Bora unyamaze. Unapozungumzia hakufanya lolote katika timu yake ya Taifa unamaana gani Mkuu?
 
Kama huna kumbukumbu nzuri ya Soka ni Bora unyamaze. Unapozungumzia hakufanya lolote katika timu yake ya Taifa unamaana gani Mkuu?


Mi kila siku nasema hakuna dhambi kubwa hapa JF kama dhambi ya kukurupuka.
Huyu jamaa alikurupuka dhahiri shahiri.
 
companero popote ulipo, njoo uone wenzako wanavyochafua jukwaa huku. Usisahau kumuita na mwana mtoka pabaya
 
Muda wote unapenda awe anacheza peke yake uwanjani.
Kuna great players kamaPele, Maradona, Zizou, Ronaldo, Christiano, Messi, Iniesta, Scholes n many more., Lakini kwa upande wangu unapoanza kuzungumzia the greatest in the history of soccer, huyu jamaa huwa namuweka Pembeni, he is phenomenon, magnificent, he is absolutely pure holy Ambassador of Heaven's soccer on Earth.
Never get tired of watching him.
Happy Birthday Gaucho:)
 
Hadithi nzuri kweli,

Kama huyu naye ni nabii = binadamu, then Kina Zizou, Ronaldo de Lima, Romario, Pele, Weah, Garincha, n. k =malaika

Mungu ni MARADONA
 
Muda wote unapenda awe anacheza peke yake uwanjani.
Kuna great players kamaPele, Maradona, Zizou, Ronaldo, Christiano, Messi, Iniesta, Scholes n many more., Lakini kwa upande wangu unapoanza kuzungumzia the greatest in the history of soccer, huyu jamaa huwa namuweka Pembeni, he is phenomenon, magnificent, he is absolutely pure holy Ambassador of Heaven's soccer on Earth.
Never get tired of watching him.
Happy Birthday Gaucho:)


Dah mkuu umesakafia kabisaaa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom