Mpaka sasa katika VPL; Takwimu zinaongea.

Hata msimu wa ligi uliyoisha Yanga ilianza vibaya lakini wakamaliza ligi wakiwa mabingwa.

Kama inshu ni historia;
Katika msimu wa 2014/2015, Chelsea alikua bingwa was EPL
Katika msimu wa 2015/2016, Chelsea alimaliza msimu nafasi ya 10 [katikati ya timu 20 zilizoshiriki]

Nawaona Yanga Yetu wakimaliza msimu katika nafasi ya 8 [katikati ya timu 16 zilizoshiriki] mwisho wa msimu huu.
 
Wazee wa takwimu tayari wamejipiga ban
a041103e6aa86d6b1b3a5ff3a5334f8d.jpg
 
Back
Top Bottom