Mpaka sasa katika VPL; Takwimu zinaongea.

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Timu 3 za kwanza katika msimamo wa ligi.
1. Simba S.C - Pointi 17
2. Stand United - Pointi 16
3. Mtibwa Sugar - Pointi13

Timu iliyoshinda Mechi nyingi.
1. Simba S.C - Mechi 5
2. Stand United - Mechi 4
3. Mtibwa Sugar - Mechi 4

Timu iliyofungwa Mechi chache.
1. Simba S.C - Mechi 0
2. Stand United - Mechi 0
3. Tanzania Prisons - Mechi 1

Timu iliyofunga magoli mengi.
1. Simba S.C - Magoli 13
2. Azam - Magoli 10
3. Yanga Yetu S.C - Magoli 9

Wachezaji wanaaongoza kwa kufunga goli nyingi.
1. Shiza Kichuya - Magoli 5
2. Amis Tambwe - Magoli 4
3. Laudit Mavugoal - Magoli 3

Timu iliyofunga goli ambalo wanasayansi mbali mbali duniani wanalijadili... IMEWEZEKANAJE??!!
1. Simba S.C - Magoli 2
2. Hakuna
3. Hakuna

ANGALIZO:
Timu iliyofunga goli la mkono mpaka sasa.
1. Yanga Yetu S.C - Goli 1
2. Hakuna
3. Hakuna

.. na msimamo wa VPL mpaka sasa upo hivi

1475898406075.jpg
 
View attachment 414312
Hivi kwanini WANAWAKE wanaipenda sana SIMBA?
 
Japokuwa wanasema tegemea ulichoshika mkononi usitegemee utachotafuta,mi naona ni mapema mno kuanza kejeli hizi kwa timu zingine hasa Yanga na azam na Mtibwa,kwa sababu katika mechi 30 ndio kwanza hata mechi 10 hazijafika mnaanza tambo,sijui kibao kikigeuka mtasemaje?.
 
Mkuu.. Hapo hakuna tambo.. Ni takwimu tu.
Na hao uliowataja, wawili Simba kawafunga.. Mmoja kabahatika kuambulia sare.. Hii ni dalili njema sana.
 
Juuko acheze dakika 90,mwambieni mayanja aache zengwe,huwezi kumuweka benchi Juuko ukampanga Rufunga
Mkuu naungana nawe.. Juko kwa sasa yupo moto sana,. Hope hata makocha wanaliona hilo.. Naimani mda si mrefu Juko atarejea katika nafasi yake.
 
Back
Top Bottom