Mpaka sasa katika VPL; Takwimu zinaongea.

Tunaomba uandike tena hizo takwimu halafu tutajie mashabiki wenzio wamchangani tuwajue kabisa inaonekana hapa JF wewe tu mshabiki wa timu ya mchangani
Mkuu, hizo takwimu sina. Kama unazo unaweza kuziandika.
 
Simba
2b175233695eecd50412dcb8b8d519e1.jpg
 
Yanga wameamua kuleta kocha wa kufundisha mpira maana huyu mzungu alibebwa na matokeo ya kununua mechi sasa naona bosi wao amechoka kununua kaamua kuleta kocha mpya!
 
Back
Top Bottom