Hatimaye kile watanzania walichokua wanakisubiri kuhusu ule mchakato wa kupata jina teule la waziri mkuu ni kitendawili! Jina limechelewa kutolewa kutoka ikulu, kwahiyo watanzania tuwe na subira ifikapo hapo saa 11 leo jioni.
Tatizo jamaa anatatizika katikati ya Interest za wananchi na wale waliomsaidia kuchakachua....safari hii analo na utata huu utamtafuna mpaka sekunde ya mwisho ikulu :hippie:
Hajapata approval ya Sheikh Yahaya. Sheikh alipelekewa jina lakini nyota ya huyo mheshimiwa ikawa haionekani vizuri kwa hiyo akashauriwa asubiri jioni jua likikaribia kutua ndo atatoa approval. Watanzania tunaomba mwendelee kuwa watulivu wakati kamati ya ufundi inashughukia hili suala
Chakachua imekuwa ngumu!!!! Kutoa jina mapema kutatoa nafasi ya watu kujadili mengi ila kwa muda huo ghafla mtaenda kulala na kesho mjadala utakuwa umefikia kikomo!!!!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.