Mpaka sasa hakuna mwanaCCM aliyeeleza pesa alizokuwa anagawa Magufuli majukwaani alizitoa katika mfuko gani

Jitu lilikiwa lishamba sana.
 
Chama chake ulitakaje?
 
Mfuko wa raisi/
Presidential Fund
jaribu kufanya research kabla ya kukurupuka ukaonyesha ujinga
huo mfuko unaundwa kwa sheria maalum
 
Kwani hukumbuki ile 1.5 Trillion aliyo iba?
CAG alipouliza iko wapi akafukuzwa kazi!
 
Kwani zilikua za CCM mpaka wana CCM wazitolee majibu?

Ukitka kujua muulize raisi aliyipo kama zilikuwa za nani?
Au twambie mshahara waje unajua ulikuwa unafanya kazi gani mpaka akose pesa za kutoa?
 
Walikuwa wakimuogopa kuliko wanavyomuogopa mola wao aliyewaumba sasa unafikiri ni nani angethubutu kuhoji,
Wao kazi yao kubwa ilikuwa ni kumsifia tu ili angalau wapate mkate wao basi.
Aisee yule alikuwa mungu kabisa wa watu fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…