Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,031
- 63,173
Usijali, polisi si walimchukua? Hao hao ndio wataeleza yuko wapiMpaka sasa jeshi la polisi halijatoa taarifa rasmi wapi Tundu alipo. Wananchi wanahofu kubwa juu ya usalama wa kiongozi huyu mkubwa wa chama cha upinzani nchini.
Wananchi mablimbali wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu sanan tukio la kukamatwa kwa Lissu lakini haijulikani ni kituo gani cha polisi alipo. Hawajui kama katekwa au yuko katika mikoni salama.
Kiongozi huyu mkubwa ambaye alikuwa mgombea uraia mwaka 2020 na ambaye alinusurika kuuawa kwa risasi 16 mwaka 2017 alikuwa mbeya kwa ajili ya kuhudhuria kongamano la siku ya vijana duniani lakini polisi wakazuia kongamano hilo bila kueleza sababu za msingi za kuzuia kongamano hilo.
Hali ya upotevu wa Makamu mwenyekiti imeleta taharuki kwa wananchi wengi wanaofuatilia suala hili hasa baada ya Chama cha wanasheria nchini kutangaza kupotea kwa wananchi zaidi ya 80 ambao asilimia kubwa ya wenye listi hiyo wamepotea katika kipindi cha utawala huu wa awamu ya sita chini ya Rais Samia.
Tunaliomba jeshi la polisi lieleze kama limemshikilia makamu mwenyekiti wa CHADEMA au kama halimshikilii litueleze kama linamtafuta ili hofu ya kutekwa na kupotezwa iondoke.
Wananchi tuendelee kufuatilia hali ya makamu mwenyekiti
Maelekezo ya namna ya kuiongoza nchi kwa sasa yanatoka Rwanda kwa ushauri wa Kagame.Mpaka sasa jeshi la polisi halijatoa taarifa rasmi wapi Tundu alipo. Wananchi wanahofu kubwa juu ya usalama wa kiongozi huyu mkubwa wa chama cha upinzani nchini.
Wananchi mablimbali wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu sanan tukio la kukamatwa kwa Lissu lakini haijulikani ni kituo gani cha polisi alipo. Hawajui kama katekwa au yuko katika mikoni salama.
Kiongozi huyu mkubwa ambaye alikuwa mgombea uraia mwaka 2020 na ambaye alinusurika kuuawa kwa risasi 16 mwaka 2017 alikuwa mbeya kwa ajili ya kuhudhuria kongamano la siku ya vijana duniani lakini polisi wakazuia kongamano hilo bila kueleza sababu za msingi za kuzuia kongamano hilo.
Hali ya upotevu wa Makamu mwenyekiti imeleta taharuki kwa wananchi wengi wanaofuatilia suala hili hasa baada ya Chama cha wanasheria nchini kutangaza kupotea kwa wananchi zaidi ya 80 ambao asilimia kubwa ya wenye listi hiyo wamepotea katika kipindi cha utawala huu wa awamu ya sita chini ya Rais Samia.
Tunaliomba jeshi la polisi lieleze kama limemshikilia makamu mwenyekiti wa CHADEMA au kama halimshikilii litueleze kama linamtafuta ili hofu ya kutekwa na kupotezwa iondoke.
Wananchi tuendelee kufuatilia hali ya makamu mwenyekiti
Wakishamuua wanaenda kulisha mamba na fisi ili kupoteza ushahidi, wao watasema tulimuachia hatujui alikoenda labda kaenda Ubelgiji na ndiyo mwisho wa habari.Usijali, polisi si walimchukua? Hao hao ndio wataeleza yuko wapi
Wakijaribu huo uhuni wajue nchi hii itapinduliwa kibabe sana tena hawataamini macho yao!!Wakishamuua wanaenda kulisha mamba na fisi ili kupoteza ushahidi, wao watasema tulimuachia hatujui alikoenda labda kaenda Ubelgiji na ndiyo mwisho wa habari.
Taarifa zinazotrend huko clubhouse ni kuwa Lissu kapigwa sanaWakijaribu huo uhuni wajue nchi hii itapinduliwa kibabe sana tena hawataamini macho yao!!
Lazima yashangilie. Maana huko CCM si ndiyo yalikojazana mapunguani.ila hapo hapo yapo Ma CCM Yana shangilia
Okee okeeWakishamuua wanaenda kulisha mamba na fisi ili kupoteza ushahidi, wao watasema tulimuachia hatujui alikoenda labda kaenda Ubelgiji na ndiyo mwisho wa habari.
Pesa ya waarabu hiyo inafanya kazi; maana ikifika 2030 kila kitu mikononi mwa waarabu. Sama kawa kibriMpaka sasa jeshi la polisi halijatoa taarifa rasmi wapi Tundu alipo. Wananchi wanahofu kubwa juu ya usalama wa kiongozi huyu mkubwa wa chama cha upinzani nchini. Hata hivyo taarifa za awali zinasema kuwa alikamatwa na jeshi la polisi.
Wananchi mbalimbali wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu sana taarifa za kukamatwa au kupotea kwa Lissu lakini haijulikani ni kituo gani cha polisi alipo. Hawajui kama kakamatwa, katekwa au yuko katika mikoni salama.
Kiongozi huyu mkubwa ambaye alikuwa mgombea uraia mwaka 2020 na ambaye alinusurika kuuawa kwa risasi 16 mwaka 2017 alikuwa mbeya kwa ajili ya kuhudhuria kongamano la siku ya vijana duniani lakini polisi wakazuia kongamano hilo bila kueleza sababu za msingi za kuzuia kongamano hilo.
Hali ya upotevu wa Makamu mwenyekiti imeleta taharuki kwa wananchi wengi wanaofuatilia suala hili hasa baada ya Chama cha wanasheria nchini kutangaza kupotea kwa wananchi zaidi ya 80 ambao asilimia kubwa ya wenye listi hiyo wamepotea katika kipindi cha utawala huu wa awamu ya sita chini ya Rais Samia.
Tunalitaka jeshi la polisi lieleze mara moja kama limemshikilia makamu mwenyekiti wa CHADEMA au kama halimshikilii litueleze kama linamtafuta ili hofu ya kutekwa na kupotezwa iondoke.
Wananchi tuendelee kufuatilia hali ya makamu mwenyekiti
Acha ujinga,unayajua mapinduzi wewe? Jaribu uone.Wakijaribu huo uhuni wajue nchi hii itapinduliwa kibabe sana tena hawataamini macho yao!!
Wanasubili nini kummaliziaMpaka sasa jeshi la polisi halijatoa taarifa rasmi wapi Tundu alipo. Wananchi wanahofu kubwa juu ya usalama wa kiongozi huyu mkubwa wa chama cha upinzani nchini. Hata hivyo taarifa za awali zinasema kuwa alikamatwa na jeshi la polisi.