Mpaka sasa binadamu hajajua alitokea wapi!

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
1,152
Reaction score
1,696
Mpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi?

Moja ya maswali makubwa yanayomkabili binadamu tangu mwanzo wa fikra ni: Binadamu alitokea wapi? Mpaka sasa, hakuna jibu la uhakika linalokubalika kwa wote. Wanasayansi wanasema binadamu ni zao la mamilioni ya miaka ya mabadiliko ya viumbe (evolution), lakini hata nadharia hiyo haijajibu kwa kina chanzo halisi cha uhai.

Kwa upande mwingine dini nyingi duniani zinadai binadamu aliumbwa na nguvu ya juu Mungu. Lakini bado, maswali huibuka aliumbwa lini? Kwa nini? Na vipi kuhusu jamii zilizokuwepo kabla ya maandiko ya kidini?

Hali hii inaacha pengo kubwa la maarifa na kusababisha mjadala usioisha kati ya wana sayansi, wana falsafa, na waumini wa dini mbalimbali.

Na zaidi ya kutokujua tulikotoka, swali jingine kubwa ni Kwa nini tuko hai? Dhumuni la kuishi ni lipi?

Je, tupo hapa kuishi maisha mafupi, kufanya kazi, kuteseka, kufurahia kidogo, kisha kufa? Au kuna sababu kubwa zaidi kama kutimiza makusudi ya Muumba au kusaidia wengine na kuacha dunia ikiwa bora zaidi?

Maswali ya kutafakari:

Je, chanzo cha binadamu ni muhimu zaidi kuliko hatma yake?

Dhumuni la maisha linapaswa kutegemea imani, maarifa au uzoefu binafsi?

Tukiendelea kutafuta chanzo chetu, je, tutawahi pia kuelewa kikamilifu sababu ya kuwepo kwetu?

Ni hayo tu kwa sasa.
 
Ukijenga imani moyoni mwako kwamba Mungu ndiye muumba,hapana shaka utajua madhumuni ya kuumbwa binadamu.Jambo kuu ni kuwa na imani isiyonamashaka kwamba yupo na alimuumba binadamu .Reasonings za science zinahitaji facts wakati kweli hutoka kwa Mungu na facts hubadilika kufuatana na time lakini Truth haibadiliki
 
Binadamu hatujui vifuatavyo;
  • Chanzo cha viumbe hai vinavyoonekana na visivyoonekana ni nini?
  • Kabla ya kuwepo maulimwengu "universal galaxies" kulikuwa na nini?
  • Viumbe gani viishivyo kwenye maulimwengu mengine?
  • Kwanini mazingira ya sayari zingine hutofautiana na hii dunia?
  • Binadamu tuliletwa duniani kuja kufanya nini ikiwa hatuishi milele?
  • Baada ya kifo/vifo vya viumbe hai vyote kutakuwa na maisha mengine au ndiyo kwa heri ya milele?
  • Kwanini pumzi, akili, na sauti havionekani wala kushikika "visible & tangible" zaidi ya kuhisiwa tu "sensible".
  • Kwanini viumbe hai vionekanavyo katika ndoto/usingizini huishi wapi, kwanini hugombana na vina nguvu sana? e.g hupaa
  • Kwanini kila kitu huwa na kinyume chake? e.g nuru na giza.
  • Kwanini kila Binadamu huzaliwa na DNA na mistari ya viganjani tofauti?
  • Kwanini muda mwingi Binadamu hutumia kutengeneza furaha kuliko huzuni zitokanazo na changamoto za kimaisha duniani?
  • Nini asilli ya ugomvi wa viumbe hai vyenyewe kwa vyenyewe kama paka, kuku, n.k?
NB: Naomba majibu kiushahidi wala si kinadharia, naamini Mungu yupo, usiniulize kwanini naamini.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi?

Moja ya maswali makubwa yanayomkabili binadamu tangu mwanzo wa fikra ni: Binadamu alitokea wapi? Mpaka sasa, hakuna jibu la uhakika linalokubalika kwa wote. Wanasayansi wanasema binadamu ni zao la mamilioni ya miaka ya mabadiliko ya viumbe (evolution), lakini hata nadharia hiyo haijajibu kwa kina chanzo halisi cha uhai.

Kwa upande mwingine dini nyingi duniani zinadai binadamu aliumbwa na nguvu ya juu Mungu. Lakini bado, maswali huibuka aliumbwa lini? Kwa nini? Na vipi kuhusu jamii zilizokuwepo kabla ya maandiko ya kidini?

Hali hii inaacha pengo kubwa la maarifa na kusababisha mjadala usioisha kati ya wana sayansi, wana falsafa, na waumini wa dini mbalimbali.

Na zaidi ya kutokujua tulikotoka, swali jingine kubwa ni Kwa nini tuko hai? Dhumuni la kuishi ni lipi?

Je, tupo hapa kuishi maisha mafupi, kufanya kazi, kuteseka, kufurahia kidogo, kisha kufa? Au kuna sababu kubwa zaidi kama kutimiza makusudi ya Muumba au kusaidia wengine na kuacha dunia ikiwa bora zaidi?

Maswali ya kutafakari:

Je, chanzo cha binadamu ni muhimu zaidi kuliko hatma yake?

Dhumuni la maisha linapaswa kutegemea imani, maarifa au uzoefu binafsi?

Tukiendelea kutafuta chanzo chetu, je, tutawahi pia kuelewa kikamilifu sababu ya kuwepo kwetu?

Ni hayo tu kwa sasa.
Kujua ni nini? Utajuaje umejua na hufikiri tu kuwa umejua?

Utajuaje unapofikiri hujajua, ushajua tayari ila hujajua tu kuwa ushajua?
 
Ukijenga imani moyoni mwako kwamba Mungu ndiye muumba,hapana shaka utajua madhumuni ya kuumbwa binadamu.Jambo kuu ni kuwa na imani isiyonamashaka kwamba yupo na alimuumba binadamu .Reasonings za science zinahitaji facts wakati kweli hutoka kwa Mungu na facts hubadilika kufuatana na time lakini Truth haibadiliki
Una kitu, naomba usikilizwe na utafika mbali sana.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi?

Moja ya maswali makubwa yanayomkabili binadamu tangu mwanzo wa fikra ni: Binadamu alitokea wapi? Mpaka sasa, hakuna jibu la uhakika linalokubalika kwa wote. Wanasayansi wanasema binadamu ni zao la mamilioni ya miaka ya mabadiliko ya viumbe (evolution), lakini hata nadharia hiyo haijajibu kwa kina chanzo halisi cha uhai.

Kwa upande mwingine dini nyingi duniani zinadai binadamu aliumbwa na nguvu ya juu Mungu. Lakini bado, maswali huibuka aliumbwa lini? Kwa nini? Na vipi kuhusu jamii zilizokuwepo kabla ya maandiko ya kidini?

Hali hii inaacha pengo kubwa la maarifa na kusababisha mjadala usioisha kati ya wana sayansi, wana falsafa, na waumini wa dini mbalimbali.

Na zaidi ya kutokujua tulikotoka, swali jingine kubwa ni Kwa nini tuko hai? Dhumuni la kuishi ni lipi?

Je, tupo hapa kuishi maisha mafupi, kufanya kazi, kuteseka, kufurahia kidogo, kisha kufa? Au kuna sababu kubwa zaidi kama kutimiza makusudi ya Muumba au kusaidia wengine na kuacha dunia ikiwa bora zaidi?

Maswali ya kutafakari:

Je, chanzo cha binadamu ni muhimu zaidi kuliko hatma yake?

Dhumuni la maisha linapaswa kutegemea imani, maarifa au uzoefu binafsi?

Tukiendelea kutafuta chanzo chetu, je, tutawahi pia kuelewa kikamilifu sababu ya kuwepo kwetu?

Ni hayo tu kwa sasa.

Chanzo ndio msingi wa Harman
 
Mimi kama Muislamu najua nimetokea wapi toka uumbaji wa mtu wa mwanzo ukiusoma Uislamu ni raha sanaaa

Nyie mnosema hamjui mumetokea wapi mnashangaza sanaa mna ata mbolea ya ngombe unaijua ilipotoka sasa nyie kma mnakataa maandiko matukufu lazima mjifanye hamjui
 
Kujua ni nini? Utajuaje umejua na hufikiri tu kuwa umejua?

Utajuaje unapofikiri hujajua, ushajua tayari ila hujajua tu kuwa ushajua?
Screenshot_20250305-181041_Lite.jpg
 
Back
Top Bottom