Mpaka sasa binadamu hajajua alitokea wapi!

Mpaka sasa binadamu hajajua alitokea wapi!

Nilikuwa najiuliza kila siku ninapowaona wendqwazimu wakiongea peke yao huwa wanaongea kitu gani?

Kumbe huwa mnajiuliza maswali kama haya!
Ndugu zenu wasiwaachie Simu kuna siku mtaleta madhara Makubwa.
 
Ukijenga imani moyoni mwako kwamba Mungu ndiye muumba,hapana shaka utajua madhumuni ya kuumbwa binadamu.Jambo kuu ni kuwa na imani isiyonamashaka kwamba yupo na alimuumba binadamu .Reasonings za science zinahitaji facts wakati kweli hutoka kwa Mungu na facts hubadilika kufuatana na time lakini Truth haibadiliki
Nitakuwaje na imani dhabiti ingali bado sijui chanzo cha ulimwengu?
 
Hawa Robots wa AI wanaweza kuunda wenzao ipo siku watakuwa wengi na kizazi kitaendelea ,watakuja kubisha kama waliundwa na binadamu ..Watataka kujitawala na wataweka visasau dhidi ya binadamu wa kawaida.
Hakuna namna Robots wa AI ataweza kuunda wenzao.

AI ni machine zilizopangiliwa na Wanadamu, Vinawaza kulingana na systems zilizopangwa.

Mawazo hayo hayatokuja kutokea.
 
The ones in the Dark are the ones who don't know where they came from.

"God created everything through him, and nothing was created except through him.

The Word gave life to everything that was created, and his life brought light to everyone.

The light shines in the darkness, and the darkness can never extinguish it."
 
Ndio sasa nataka unitoe gizani kwa kunionesha ushahidi wa chanzo cha binadamu na uhai.
 
Katika unanswered question hili mbona halipo ?

Wanasanyansi wote they know for a fact chanzo cha life na hata earth as we know it..., ofcourse unaweza kubisha lakini huwezi kusema hawajui ?

Labda ungesema jambo ambalo hatujui for a fact ni kama kuna universe nyingine..., yaani kilichotokea hapa kama na pengine kilitokea na kipo ? Theoretically Possible, Practically hard to Prove
 
Back
Top Bottom