Mpaka lini jamani...???

Mpaka tutakapoweka viongozi wenye kujali maslahi ya nchi madarakani!
 
mpaka hicho kifurushi ndani ya nyumba kitakapoisha..., hapo ndio hata pa kukimbilia patakosekana
 
Mpaka siku tukiacha kua omba omba au siku tukiishiwa na RASILIzisizoMALI!
 
mpaka geita,kahama na kwwigineko kubaki mahandaki
 
Mpaka aliyetuloga atakapofufuka na tumwombe msamaha mana si mnajua aliyetuloga alishakufa?
 
Mpaka tutapo Re-think,
Uchaguaji wetu wa viongozi.
 
Mpaka tutakapoandamana nchi nzima kuelekea Ikulu na nyumbani kwa Mwema:sick:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…