Mpaka leo Lowassa hajawahi kubadilisha Hili!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Kuanzia kampeno za uchaguzi mpaka leo wikipedia inamuita Lowasa fisadi pamoja na watu wake kulalamika sana na kusema kwamba wikipedia kila mtu anaweza kuandika na kwamba kilichoandikwa siyo sahihi lkn wameshindwa kurekebisha mpaka leo hii, hivyo kama unataka kujua kuhusu Lowasa wikipedia inakwambia kwamb ni fisadi!

Edward Ngoyai Lowassa (born August 26, 1953) is a Tanzanian politician who was Prime Minister of Tanzania from 2005 to 2008, serving under President Jakaya Kikwete.[SUP][2][/SUP] Lowassa has gone into record as the first Prime Minister to have been forced to resign by a fraud scandal in the history of Tanzania,[SUP][3][/SUP] earning him the nickname "Lo-Rushwa"[SUP][citation needed][/SUP].[SUP][4][/SUP] "Rushwa" means bribe in Swahili.
 
Wamarekani wameshindwa kuthibitisha kama Sadam Hussen alikua na silaha za nyukilia wakamuua. Sio kila tuhuma ni za kweli ndio Lowasa maana hajapelekwa mahakamani.
 
Nadhani tumuache sasa mzee lowasa apumzike jamani. Tumemchapa mno hata hivyo.
 
Kuanzia kampeno za uchaguzi mpaka leo wikipedia inamuita Lowasa fisadi pamoja na watu wake kulalamika sana na kusema kwamba wikipedia kila mtu anaweza kuandika na kwamba kilichoandikwa siyo sahihi lkn wameshindwa kurekebisha mpaka leo hii, hivyo kama unataka kujua kuhusu Lowasa wikipedia inakwambia kwamb ni fisadi!

Edward Ngoyai Lowassa (born August 26, 1953) is a Tanzanian politician who was Prime Minister of Tanzania from 2005 to 2008, serving under President Jakaya Kikwete.[SUP][2][/SUP] Lowassa has gone into record as the first Prime Minister to have been forced to resign by a fraud scandal in the history of Tanzania,[SUP][3][/SUP] earning him the nickname "Lo-Rushwa"[SUP][citation needed][/SUP].[SUP][4][/SUP] "Rushwa" means bribe in Swahili.
wewe bado kuvalishwa kanga tu na kupakwa wanja na lipstick, umbea tu kutwa chokochoko
 
Hiyo wikipedia nao wa ushahidi wa ufisadi wa lowasa? Mmmm basi wautoe sio wanaukumbatia kwapani kama sita, mihogo na wengine wa akiri ndogo kama hawa
 
mi nadhani neymar amechomekwa tu hapo lazima messi achukue
 
Back
Top Bottom