Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,698
- 27,195
Acha upotoshaji,live coverage ilifanyika na Aljazeera na hakuna sehemu walipokatisha!Niliangalia mwanzo mwisho,Tena akatoka akaenda Kuwapa mikono maveteran walioshiriki world war 2!Wangeonyesha mwanzo hadi mwisho akitembea,yani zile propaganda za RT ndiyo unazileta hapa na coverage yao ya vipande vipande.Anduje Putin ana dementia na ule mkono uliopooza ulikuwa umegeeshwa tu na aliyebeba hayo maua alikuwa pembeni yake.Kama ni mzima mbona hakuweza kupungia watu kwa mikono miwili kama zamani
Hadi waandishi wakasema he looks fine,sio kama ilivyokuwa inasemwa na vyombo vya west😁