Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Hebu kwanza nicheke [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muda wowote kuanza sasa jeshi la urusi litaingia jiji la dnipro pia jana wanajeshi urusi walikaribia kufika city center ya kharkiv.
Zile dollar billioni 40 zimeishia patupu