Mpaka leo hili tukio linamuuma Sana Putin

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,195
3,007
Reuters wanasema Russia hajawai pata hasara kubwa Sana ya vita, since WW2 Kama hasara walizopata Ukrein.

Repoti zinadai hakuna kitu kilimuuma Sana Putin Kama Kuzamishwa kwa meli kubwa ya Russia Moskva. Hii meli ya kivita ilimuuma Sana Putin.

Meli iyo yenye thamani ya 1.7t Tsh. Ilizamishwa na majeshi ya Ukrein kwa kutumia drones kutoka uturuki na Ant-ship missile ya Neptune.

Hadi leo wachambuzi wanajiuliza ufanisi wa S300, maana zilikuwepo kwenye meli lakini meli ilienda na maji.

Moskova Ni biggest loss kwa Russia katika Karne ya 21
Screenshot_20220523-201945.jpg
 
Reuters wanasema Russia hajawai pata hasara kubwa Sana ya vita, since WW2 Kama hasara walizopata Ukrein.

Repoti zinadai hakuna kitu kilimuuma Sana Putin Kama Kuzamishwa kwa meli kubwa ya Russia Moskva. Hii meli ya kivita ilimuuma Sana Putin.

Meli iyo yenye thamani ya 1.7t Tsh. Ilizamishwa na majeshi ya Ukrein kwa kutumia drones kutoka uturuki na Ant-ship missile ya Neptune.

Hadi leo wachambuzi wanajiuliza ufanisi wa S300, maana zilikuwepo kwenye meli lakini meli ilienda na maji.

Moskova Ni biggest loss kwa Russia katika Karne ya 21View attachment 2236010
Hii vita amekula hasara Sana,alikurupuka Sana,anaingilia mambo ya watu,na haki za nchi nyingine, Ukraine kujiunga NATO ni haki Yao.
 
Reuters wanasema Russia hajawai pata hasara kubwa Sana ya vita, since WW2 Kama hasara walizopata Ukrein.

Repoti zinadai hakuna kitu kilimuuma Sana Putin Kama Kuzamishwa kwa meli kubwa ya Russia Moskva. Hii meli ya kivita ilimuuma Sana Putin.

Meli iyo yenye thamani ya 1.7t Tsh. Ilizamishwa na majeshi ya Ukrein kwa kutumia drones kutoka uturuki na Ant-ship missile ya Neptune.

Hadi leo wachambuzi wanajiuliza ufanisi wa S300, maana zilikuwepo kwenye meli lakini meli ilienda na maji.

Moskova Ni biggest loss kwa Russia katika Karne ya 21View attachment 2236010
Reuters toka lini wakawa wamesaji wa Urusi?
 
Putin ni Dikteta la dunia
 
ATA akishinda hatorudia tena ,hii loss ni kubwa mno, Kuna General mmoja wa US alifurahi kinyama kuzama kwa hii meli
Kwahiyo huyo General akifurahi ndio Nini Sasa?
Watu walitegemea siku Ile ya Victory day,Putin atajaa povu!Wala hata haikuwa hivyo,jamaa alikuwa ametulia zake,hana habari na mtu!
Pro NATO wa buza ndio wanateseka!Mmekosa kabisa habari mpya mpaka mnaleta zilipendwa!
 
Angefanyaje wakati ma vifaru yake,yaliliwa kichwa na Javellin,Moskva Pride of Russia wauni walipita nayo
 
Kwahiyo huyo General akifurahi ndio Nini Sasa?
Watu walitegemea siku Ile ya Victory day,Putin atajaa povu!Wala hata haikuwa hivyo,jamaa alikuwa ametulia zake,hana habari na mtu!
Pro NATO wa buza ndio wanateseka!Mmekosa kabisa habari mpya mpaka mnaleta zilipendwa!
.
Watu walidhani victory day ataisherekea akiwa Mariupul ,kumbe hata kuiteka bado. Putin alikuwa mbwa koko kumbe hana lolote .
 
Watu walidhani ila yeye alikuwa na mipango yake!Wakajua ataamuri Mariupol kwenye kile kiwanda ataamuri kigeuzwe majivu!
Lakini Putin kumbe ana mipango yake,akasema wazingireni na hakikisheni hata nzi hatoki!Ikawa hivyo mpaka wakajisalimisha wenyew!
Sasa hao wajeda waliodakwa ndio wataenda kuijenga Mariupol!
Putin akili kubwa,mkimuwazia hivi,yeye anawapa surprise!
 
Hakuna vya akiri Tukubali ATA akishinda Vita loss aliyopata hatoisahau kamwe
 
Back
Top Bottom