Mpaka leo hili tukio linamuuma Sana Putin

Mpaka leo hili tukio linamuuma Sana Putin

Daah kweli mmeishiwa,kweli baada ya kupotea Kwa muda,umerudi na kushuka so low kiasi hiki?Come on,you are better than that!!
Wewe kama unaumia nenda mkaomboleze pamoja na Putin lakini Moskova ipo chini ya maji na hii hasara ni kubwa mno kwake.
 
S300 zilikuwepo kwenye ile meli? Acha uongo banah labda ziwe zinasafirishwa ila zile meli zina mifumo yake ya kujilinda na makombora ila sio kusema S300 inaweza kuwa active ndani ya meli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hiyo mifumo ya kujilinda siku hiyo ilikuwa haifanyi kazi hadi ikazamishwa?
 
Biden yuko gado ndiyo maana anasafiri na huyo Putin je aliyejifungia chumbani kabisa kisa anaogopa akipata tu corona ni kwaheri kwakuwa tayari afya yake ni mgogoro[emoji3]
Putin akitoka tu wanamdaka !! yaani akaishi Urusi maisha yake yote yaliyobakia hapa Duniani!!
 
Tunaongelea hasara hapa,ile Moskova imemuuma Putin atakufa kwa depression kisa kwa upuuzi wake kasababusha imekuwa makazi ya sharks na Whales kule chini ya maji
Inasaidia Papa kuzaliana Sana[emoji2]
 
Lazima atulie kwa sababu kwanza afya yake kwa sasa ni mgogoro lakini pili mpaka siku hiyo hakuwa na la kujivunia katika ile operation zaidi ya kuwa na machungu makubwa ya kuzamishwa kwa Moskova.
Kabisa
 
S300 zilikuwepo kwenye ile meli? Acha uongo banah labda ziwe zinasafirishwa ila zile meli zina mifumo yake ya kujilinda na makombora ila sio kusema S300 inaweza kuwa active ndani ya meli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo wa Mchongo, yaani hayo machuma eti meli ilikuwa na mfumo imara wa kujilinda, lakini wahuni walipita nayo tena na new Ant-ship missile
 
Biden yuko gado ndiyo maana anasafiri na huyo Putin je aliyejifungia chumbani kabisa kisa anaogopa akipata tu corona ni kwaheri kwakuwa tayari afya yake ni mgogoro[emoji3]
tena hiyo meli itachukua miez sita kurudi kweli hali yake ya kawa je ukraine itachukua miaka mingapi kurudisha majimbo yake? Ha ha ha
 
Muda wowote kuanza sasa jeshi la urusi litaingia jiji la dnipro pia jana wanajeshi urusi walikaribia kufika city center ya kharkiv.

Zile dollar billioni 40 zimeishia patupu
 
Wewe kama unaumia nenda mkaomboleze pamoja na Putin lakini Moskova ipo chini ya maji na hii hasara ni kubwa mno kwake.
Meli ya Trilion 1.7,wakati huo huo nchi za ulaya zinamuingizia Dola bil 2 Kwa siku!
Nyie ndio mnalazimisha zilipendwa baada ya kuona hamna jipya la kuleta humu Kwa muda Sasa!
 
Biden yuko gado ndiyo maana anasafiri na huyo Putin je aliyejifungia chumbani kabisa kisa anaogopa akipata tu corona ni kwaheri kwakuwa tayari afya yake ni mgogoro[emoji3]
🤣🤣🤣,Huyo babu anayesalimia hewa anatembea kama robot!
 
Lazima atulie kwa sababu kwanza afya yake kwa sasa ni mgogoro lakini pili mpaka siku hiyo hakuwa na la kujivunia katika ile operation zaidi ya kuwa na machungu makubwa ya kuzamishwa kwa Moskova.
😂 😂
 
Mfumo wa Mchongo, yaani hayo machuma eti meli ilikuwa na mfumo imara wa kujilinda, lakini wahuni walipita nayo tena na new Ant-ship missile
Hapo ni kuzidiana uajnja tu mzee! Unafikiri Iran aliwezaje kupitisha makombora yake kule Iraq kwenye base ya kijashe ya Marekan ambayo ndiyo base kubwa zaidi mashariki ya kati na ina mifumo yote ya ulinzi!

Kuna makombora yanaweza kupita chini rada ikawa inamulika juu tu wenzako wanapitisha kimo cha ng'ombe na mdude unakufikia
 
Kwa hiyo hiyo mifumo ya kujilinda siku hiyo ilikuwa haifanyi kazi hadi ikazamishwa?
Kuzidiana ujanja tu! iran alipiga kambi ya jeshi ya marekan kule Iraq kwa makombora yake, sio kama mifumo ya ulinzi wa anga ilikuwa haifangikazi lah ila ile mifumo inaangalia zaidi angani huko sasa unakuta kuna watu wanaweza kurusha kombora kimo cha ng'ombe na ikaweza kupiga target kama kawaida, hivo ndo inavyofanyika na ata Base ya US kule Iraq ilipigwa kwa style hiyo na Iran japo mifumo yote ya ulinzi ilikuwepo pale maana ndiyo base yao kubwa kuliko zote mashariki ya kati.
 
tena hiyo meli itachukua miez sita kurudi kweli hali yake ya kawa je ukraine itachukua miaka mingapi kurudisha majimbo yake? Ha ha ha
Ingekuwa rahisi hivyo kuirudisha ndani ya miezi sita huyo Putin angepatwa na muhaho huo hadi akanywea kiasi kile siku ya Victory day.Vita Ukraine inaendelea au hujui kuwa Kharikiv Warussi wamefurushwa kama mbwa koko [emoji3][emoji3].Naomba nikukumbushe,yule Sniper uliyetuambia hapa keshakufa yupo gado,ile Kyiv uliyosema tangu Machi kuwa itakuwa majivu ndani ya masaa kadhaa maisha yanaendelea kama kawaida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom