Mpaka leo hili tukio linamuuma Sana Putin

Mpaka leo hili tukio linamuuma Sana Putin

Hii vita amekula hasara Sana,alikurupuka Sana,anaingilia mambo ya watu,na haki za nchi nyingine, Ukraine kujiunga NATO ni haki Yao.
huo ni mtazamo wako wewe Mmarekani wa Tandahimba, unafikiri unaweza wazidi akiri wa Russia walio ona wapigane et.
 
Cuba pia kujiunga na Urusi ni haki Yao!Uliza US alifanya nini baada ya Russia kutaka kuweka military base huko Cuba!
Tunaongelea hasara hapa,ile Moskova imemuuma Putin atakufa kwa depression kisa kwa upuuzi wake kasababusha imekuwa makazi ya sharks na Whales kule chini ya maji
 
Kwahiyo huyo General akifurahi ndio Nini Sasa?
Watu walitegemea siku Ile ya Victory day,Putin atajaa povu!Wala hata haikuwa hivyo,jamaa alikuwa ametulia zake,hana habari na mtu!
Pro NATO wa buza ndio wanateseka!Mmekosa kabisa habari mpya mpaka mnaleta zilipendwa!
Lazima atulie kwa sababu kwanza afya yake kwa sasa ni mgogoro lakini pili mpaka siku hiyo hakuwa na la kujivunia katika ile operation zaidi ya kuwa na machungu makubwa ya kuzamishwa kwa Moskova.
 
Angefanyaje wakati ma vifaru yake,yaliliwa kichwa na Javellin,Moskva Pride of Russia wauni walipita nayo[emoji2]
Pengine tumwambie Putin alikuwa anaomboleza ndiyo ataelewa kwanini alikuwa mpole
 
Zale analia huko wajeda mia wanakatika daily Donbas!Ila hiyo ni figure ndogo Ili asiwakatishe tamaa wanajeshi wake!
Putin mpaka leo anatamani akaiibue ile Meli lakini ndiyo hivyo tena Whale na sharks walishaifanya kuwa makazi yao ya kudumu
 
Tunaongelea hasara hapa,ile Moskova imemuuma Putin atakufa kwa depression kisa kwa upuuzi wake kasababusha imekuwa makazi ya sharks na Whales kule chini ya maji
Subirini Putin afe Kwa stress kisa kupoteza meli,Pro NATO bhana na Dua lenu la kuku 🤣🤣
 
Lazima atulie kwa sababu kwanza afya yake kwa sasa ni mgogoro lakini pili mpaka siku hiyo hakuwa na la kujivunia katika ile operation zaidi ya kuwa na machungu makubwa ya kuzamishwa kwa Moskova.
Afya yake unaijua wewe?Kama Putin angekuwa na hali kama ya Biden nadhani mngetumaliza humu!
 
ukraine yeye hana hasara yoyote!
Yeye anajilinda,hasara ipo lakini ya kusababishiwa ndiyo maana atakuja kupata fidia kubwa sana baada ya hii vita.Au haujui aliyevamia mwenzie ndiyo atalazimika kulipa hasara yote.Russia ana double hasara kwanza ya Nchi yake lakini pili kuja kulipa fidia kwa Ukraine,hii hata baada ya Putin watailipa tu.
 
Kitu hicho cha Ukraine kimemwacha Putin hoi..... Nepture Cruise Missile iliyoishusha majini The MOSKVA dadadeq.


1653375367162.png
 
Putin mpaka leo anatamani akaiibue ile Meli lakini ndiyo hivyo tena Whale na sharks walishaifanya kuwa makazi yao ya kudumu
Daah kweli mmeishiwa,kweli baada ya kupotea Kwa muda,umerudi na kushuka so low kiasi hiki?Come on,you are better than that!!
 
Umejuaje kama anaumia? Wewe ni mchepuko wake?
 
Mazuzu bwana meli ni number 121 maana kwamba Kuna meli ngapi ? Hiyo imezama lakini Kuna bado makombora yanatokea blacksea......[emoji1787][emoji1787]
Haileti unafuu wa kupoteza li Moskova,si ulimuona alivyokuwa kawa mpole kwa machungu ya kulipoteza siku ya Victory Day.
 
Reuters wanasema Russia hajawai pata hasara kubwa Sana ya vita, since WW2 Kama hasara walizopata Ukrein.

Repoti zinadai hakuna kitu kilimuuma Sana Putin Kama Kuzamishwa kwa meli kubwa ya Russia Moskva. Hii meli ya kivita ilimuuma Sana Putin.

Meli iyo yenye thamani ya 1.7t Tsh. Ilizamishwa na majeshi ya Ukrein kwa kutumia drones kutoka uturuki na Ant-ship missile ya Neptune.

Hadi leo wachambuzi wanajiuliza ufanisi wa S300, maana zilikuwepo kwenye meli lakini meli ilienda na maji.

Moskova Ni biggest loss kwa Russia katika Karne ya 21View attachment 2236010
S300 zilikuwepo kwenye ile meli? Acha uongo banah labda ziwe zinasafirishwa ila zile meli zina mifumo yake ya kujilinda na makombora ila sio kusema S300 inaweza kuwa active ndani ya meli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mafuta , gesi na coal ambayo ameuza kwa miezi hii mitatu keshatengeneza 6 kama hizo. Nyie wamarekani wa buza endeleeni kupiga domo
Its good kujipa matumaini,eti keshatengeneza hizo 6 na Serikali ataiendeshea na nini?
 
Iyo meli haijafikia antonov-mriya ndege kubwa kuliko zote duniani.

Hii ilikua hasara ya Karne kwa Ukraine,
Maana ndio symbol ya taifa la duniani kote.
Hiyo meli moskova,wengi hawaijui
Ila ndege ya antonov, inajulikana dunia nzima.

Na sidhani baada ya hij Vita ukrane watakua na uchumi wa kuweza kutengeneza nyingine Kama ile.
Eti meli wengi hawaijui,hiyo ndiyo sababu inakufanya uone Putin hajapata hasara?
 
Afya yake unaijua wewe?Kama Putin angekuwa na hali kama ya Biden nadhani mngetumaliza humu!
Biden yuko gado ndiyo maana anasafiri na huyo Putin je aliyejifungia chumbani kabisa kisa anaogopa akipata tu corona ni kwaheri kwakuwa tayari afya yake ni mgogoro[emoji3]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom