Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,509
- 11,374
- Thread starter
- #21
Anazo zakutosha Ila Uzi unazungumzia Russiaukraine yeye hana hasara yoyote!
Anazo zakutosha Ila Uzi unazungumzia Russiaukraine yeye hana hasara yoyote!
Vita Ndivyo ilivyo,lazima kuwe na Casualties!Hakuna vya akiri Tukubali ATA akishinda Vita loss aliyopata hatoisahau kamwe
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]alipige chain ipandishe juu likakae makumbusho ili awe anaumia vizuri kila siku.
Ila ilo limeli lilikuwa linavutia hatarialipige chain ipandishe juu likakae makumbusho ili awe anaumia vizuri kila siku.
SpasiibaKwa mafuta , gesi na coal ambayo ameuza kwa miezi hii mitatu keshatengeneza 6 kama hizo. Nyie wamarekani wa buza endeleeni kupiga domo
Yaani we ukaribishe majambazi nyumbani kwako ambayo ni hatari kwa usalama wa majirani zako halafu useme haki yako kuwakaribisha sababu nyumba yakoHii vita amekula hasara Sana,alikurupuka Sana,anaingilia mambo ya watu,na haki za nchi nyingine, Ukraine kujiunga NATO ni haki Yao.
Reuters wanasema Russia hajawai pata hasara kubwa Sana ya vita, since WW2 Kama hasara walizopata Ukrein.
Repoti zinadai hakuna kitu kilimuuma Sana Putin Kama Kuzamishwa kwa meli kubwa ya Russia Moskva. Hii meli ya kivita ilimuuma Sana Putin.
Meli iyo yenye thamani ya 1.7t Tsh. Ilizamishwa na majeshi ya Ukrein kwa kutumia drones kutoka uturuki na Ant-ship missile ya Neptune.
Hadi leo wachambuzi wanajiuliza ufanisi wa S300, maana zilikuwepo kwenye meli lakini meli ilienda na maji.
Moskova Ni biggest loss kwa Russia katika Karne ya 21View attachment 2236010
Cheki hii tikiti majiMazuzu bwana meli ni number 121 maana kwamba Kuna meli ngapi ? Hiyo imezama lakini Kuna bado makombora yanatokea blacksea......[emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo ela yote anapeleka kwenye vitaKwa mafuta , gesi na coal ambayo ameuza kwa miezi hii mitatu keshatengeneza 6 kama hizo. Nyie wamarekani wa buza endeleeni kupiga domo
Pigana sasaYaani we ukaribishe majambazi nyumbani kwako ambayo ni hatari kwa usalama wa majirani zako halafu useme haki yako kuwakaribisha sababu nyumba yako
Upotezi askari zaidi ya 20,000 kutafuta heshima!!!!!.................Hii vita ndo vita ambayo putin kapata faida kubwa mno ile heshima ya ukraine kuuza ngano haipo tena maineo yote ya kulimia ngano yapo chini ya mrusi hapo sijagusa migodi viwanda bandari na vinu vya nuclear.
mashabiki wa ukraine mkubali tu huyo ndugu yenu kashindwa.
sio kuja na vipost vya kujipa moyo
Amepata faida[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hii vita ndo vita ambayo putin kapata faida kubwa mno ile heshima ya ukraine kuuza ngano haipo tena maineo yote ya kulimia ngano yapo chini ya mrusi hapo sijagusa migodi viwanda bandari na vinu vya nuclear.
mashabiki wa ukraine mkubali tu huyo ndugu yenu kashindwa.
sio kuja na vipost vya kujipa moyo