Mpaka Kifo Kitutenganishe

Mpaka Kifo Kitutenganishe

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Anaye itaka gari hii tafadhali asikate mti.jpg
 
tumia power G kuwatenganisha
 
Kuna watu uwa wanasahau mahali walipopaki gari, haya ndo matokeo yake.
 
Nlitegemea kukuta couple ya maana nlikua nshaanza kujisema how sweet kimoyo moyo
 
Umetuwezaaa. Me nilijua labda ni couple ya wazee sana ndo wanasema hadi kifo kiwatenganishe
 
Back
Top Bottom