Mpaka Kieleweke Si Mbowe

Status
Not open for further replies.
Naona ni vizuri kujifunza kutamka kitu kilichonyooka na ukikisema uwe na uhakika na hata ujiandae na ushahidi kama utahitajika.

Kusingiziana kwa namna yeyote ile ni sumu kubwa kwa maisha ya forum hii.... nimekua msomaji mkubwa sana wa hii forum na sasa nimeamua kuingia rasmi kama mchangiaji , na post hii ndio ya kwanza kabisa kwangu katika hili jamvi..hii nikutokana na mguso nilioupata kwa kusoma thread hii.

Please lets forget about kujuana humu ndani..maana tukianza kujuana hapatakalika hapa...hiii ya kutokujuana na kutokua na nia ya kutaka kujuana ndio inayoleta chachandu kubwa katika mijada ya hapa...tukishajuana tutakua kuwa hatuthubutu tena kuongea kwa uwazi..na forum hii itakua useless na ndio itatupiwa baharini kabisa..itabaki kuwa ni ya kuchati tu na hoja za mapenzi na vichekesho/jokes...so lets avoid this wana JF kama tunataka hii forum iwe chachu ya maendeleo kwa nchi yetu hii tuipendayo kwa dhati.

Kwa hili nakupa pole sana Bwana FMES, and i hope this wont affect your immense contribution in this Big forum.

Karibu sana ukumbini ndugu Hemonich.
 
Field Marshall ES Field Marshall ES has no status. Edit
JF Senior & Premium Member Join Date: Wed Apr 2006

Re: Breaking News-CHADEMA wamsimamisha Chacha Wangwe .

Quote:
16th March 2008, 09:48 PM

chinga chinga has no status. Banned Join Date: Fri Nov 2006

Mbowe Ampiga Vita Chacha Wangwe

Mwenyekiti Wa Chadema Bwana Mbowe Amekuwa Akipita Kila Tawi La Chadema Na Kumpa Shutuma Kali Makamu Mwenyikiti Wake Kuwa Hana Nia Njema Na Chadema. Ugomvi Wao Ulianza Wakati Wa Uchaguzi Wa Kutafuta Makamu Wa Mwenyekiti Wa Taifa Chadema Ambapo Bwana Mbowe Alikuwa Akimsupport Bwana Alfu.

Lakini Chacha Wangwe Alishinda Kiti Na Sasa Anahujumiwa Na Mbowe.

Mkuu Chinga alisema haya mwezi March, na leo yametokea now tumuamini Chinga kuwa alikuwa na ukweli au tumuamini Mbowe kuwa huu ulikuwa ni uamuzi wa chama yeye hahusiki kabisa na hapa kuna ushahidi wa Chinga uliuotolewa mapema?

Mkuu Kieleweke, ninaomba maoni yako hapa kabla sijatoa hukumu yangu on this ishu

Mkuu Asha,

Hii ndiyo iliyokuwa post yangu ya kwanza kule kwenye ile topic au thread, kila neno liko clear kuwa sikusema kuwa Kieleweke ni Mbowe!
 
Field Marshall ES Field Marshall ES has no status. Edit
JF Senior & Premium Member Join Date: Wed Apr 2006

Re: Breaking News-CHADEMA wamsimamisha Chacha Wangwe .

Mkuu Kieleweke,

Sina uhakika kama jibu lako linajibu swali la alert iliyotolewa na Chinga, toka mwezi wa March on ishu hii ambayo imekuja kutokea kama alivyotabiri mapema,

Lakini anyway, mimi ninawa-support wale wanaotaka kutuletea mabadilko kwa taifa letu, bila ya kujali sauti hizo zinatokea wapi, kama ni CCM au Chadema au upinzani in general, tunachotaka ni mabadiliko ya the way we do aour things as a nation, sina clear record ya Wangwe na hili, mambo ya ndani ya Chadema siyapi umuhimu sana kwa wakati huu.

Ingawa ushauri wangu kwako ni kwamba, waachie wengine wafanya hii kazi ya spin unayoifanya, kwa sababu kitendo cha wewe kuivalia njuga inaweza kuamsha hisia kuwa una something more kuhusu hii ishu, katika siasa huwa tunamuachia katibu mkuu ndiye hasa kazi yake hii, ninaweza ku-dig more lakini kwa faida ya nani huwa siamini siasa za kuwapiga vita upinzani ambao kwa kweli wanatusadia sana taifa na viongozi wahuni.

Ahsante Mkuu!

Haya tena Mkuu Asha,

Hii ndiyo post yangu unayosema kuwa nimemsema Kieleweke ni Mbowe, naomba unionyeshe hapa ni wapi niliposema kuwa Kieleweke ni Mbowe?
 
[
B]Quote:- Asha

Na kwamba aache spinning aseme ukweli wa uamuzi aliyochukua kuhusu Chacha Wangwe.
[/B]

FMES nilichosema hasa ambacho sio sawa kabisa na haya maneno yako tizama mwenyewe kwa macho yako:-

Ingawa ushauri wangu kwako ni kwamba, waachie wengine wafanya hii kazi ya spin unayoifanya, kwa sababu kitendo cha wewe kuivalia njuga inaweza kuamsha hisia kuwa una something more kuhusu hii ishu, katika siasa huwa tunamuachia katibu mkuu ndiye hasa kazi yake hii, ninaweza ku-dig more lakini kwa faida ya nani huwa siamini siasa za kuwapiga vita upinzani ambao kwa kweli wanatusadia sana taifa na viongozi wahuni.

Quote:- Asha

Madai haya ya FMES ndiyo yaliyojenga msingi kwa mtu mwingine kusema kwamba mpaka kieleweke ni MBowe.

Huu ni uongo tena wa mchana maneno yangu hapo juu tena very clear kuwa kitendo cha Kieleweke kukivalia njuga hii ishu kinaweza kuleta hisia kwa jamii kuwa anahusika na hii ishu, si kweli na ni uongo kuwa nilisema Kielweke ni Mbowe, maneno haya juu sijaongeza wala kupunguza nilichosema, ukweli uko wazi na uongo uko wazi hapa!
 
Baada ya maneno ya mtu huyu, FMES kama kweli hakuwa na msimamo wa kudhani kwamba Mpaka Kieleweke ni Mbowe hakujitokeza kuweka sawa, badala yake akaendelea. Na hii ikafanya huo uzushi uaminike zaidi mpaka wakina Jmushi nao wakaingia katika huo uzushi. Kwa hiyo FMES alianzisha uzushi huo by implication na heshima yake katika hii forum ikatumika kuhalalisha uzushi huo. Kama mimi kwa kusema maneno haya nimesema wongo, basi namuomba radhi bwana FMES.

Mkuu ni kweli kabisa maneno uliyonizushia ni uongo tena wa mchana maana ukweli wote upo hapo juu, mimi sio kazi yangu hapa JF kuweka sawa maneno ya majina ya watu, siyo kazi yangu kabisaa, again kwenye hili sioni ukweli!

2. [
SIZE="3"]Yeye kwa kusema anafahmu kwamba mimi si Asha, ni mtu mwingine basi anapaswa kuniomba radhi pia. Angekuwa amefanya mara moja nisingitoa mwito wa yeye kuniomba radhi lakini hii ni mara ya Tatu bwana FMES anarudia maneno hayo. Ndio maana nikaomba mods wamruhusu aseme Asha Abdala ni nani kadiri ya anavyodhani yeye ili uzushi wake uweze kubainika. Nakuheshimu sana FMES kwa nondo zako hapa lakini unachonikera siku zote ni tabia yako ya kujifanya unajua ID za watu, ni ishara ya ya kushindwa hoja na kuzua vioja. Je, ni uzumbukuku ulimwengu uko huku au ni kuteleza tu kwa kawaida ndugu yangu?[/SIZE]

1. Mara ya kwanza kwa kutumia hili jina ulisema kuwa umefanya uchunguzi wako wa sayansi na kugundua kuwa sisi wanachama wote wa CCM tuna some-type of matatizo fulani ya akili, nikakuambia kuwa knowing nani aliyeko nyuma ya hilo jina nimesikitishwa sana na maneno haya, ukakubali makosa topic either ikahamishwa au ikafutwa, lakini after maneno yangu topic haikuendelea, lakini sikusikia ukilalama kuwa nimekuzushia,

2. Mara ya pili, ulimtukana sana Chinga kwa jina hili, ikafika mahali nikaingilia tenma na kusema vile vile tena kuwa knowing aliyeko nyuma ya jina lako nimesikitishwa sana na matusi ya nguoni kwa Chinga, kama kawaida hukujibu yakaisha.

3. Na jana yes nimerudia tena uliponirushia maneno yako haya ya kizushi, ushahid uko hapo juu, nikarudia tena maneno yangu kuwa knowing aliyeko nyuma ya jina lako la bandia nimesikitishwa sana na bado ninarudia kuwa nimesikitishwa sana, kwa kusema haya sijavunja sheria yoyote hapa JF, na ni haki ya Mtu yoyote aliye member hapa kusema hivyo, kwa hiyo siwezi hata kwa bunduki kukuomba radhi kwa hilo kwa sababu sijavunja sheria yoyote ya JF, lakini wewe umeivunja sheria ya JF kwa kunisignizia maneno ambayo sikuyasema, na ushahidi wangu upo hapo juu tena very clear!

4. Sijawahi kujifanya hata siku moja kuwa ninajua ID za baadhi ya members hapa, ila huwa ninasema ukweli kuwa ninazijua, sasa je kwa kusema hivyo nimevunja sheria ya JF? Eti ninakukera kwa kusema hivyo na kwamba mimi ni ndugu yako? Uzumbukuku au kuishiwa hoja? haya matusi yote ni kwa sababu tu ya kunizushia uongo ambao ninaukataa na nimetoa ushaidi wangu hapo juu? Msimamo wangu ni ule ule mkuu member yoyote akinitafuta kwenye angle za ID au personal mimi ni lazima nikujibu na ndiyo nianchofanya siku zote hapa,

sijawahi kumchokoza mtu ila ukinichokoza ni lazima nikujibu, kama unakerwa tehn it is too bad kwa sababu pamoja na kukerwa kwako mimi siendi kokote nipo hapa mpaka mwisho, sasa kama hupendi style yangu ya hoja siwezi kukusaidia kwenye hilo, ila nilitegemea kuwa utakerwa na jinsi ninavyoshambuliwa kila wakati na maneno ya watu kudai wanaijua ID yangu, lakini wewe umekerwa na majibu yangu kwa wanaonishambulia! that is wasup! na nimekusikia loud and clear!

Halafu unazua hoja ya kibaguzi ya kuwatisha watu hapa kuwa hii thread nimeanzisha ni suala la Mbowe na CHADEMA wasiguswe JF. Wakati nawatetea wengine mbona hukusema haya? Wakati namtetea Lowassa mbona hukusema haya? Nimeanzisha hii thread kwa ajili ya kumtetea Mpaka Kieleweke na kuteteta standard za JF yetu tukufu. Niite PRO wa JF au wa Mpaka Kieleweke kama ukipenda lakini ukweli utasimama.

Hii topic umeianzisha kwa sababu tu ya hizo propaganda zenu huko, naona mmeona kuwa mnakwama hapa sasa dawa ni kujaribu kunishambulia mimi wakati mimi wala sina mpango, siasa ya bongo ninaijua nje ndani na ukweli wote wa kuhusu Wangwe na huko ndani ninao siku nyingi sana, ndio maana sielewi hizi spin ni za nini wakati ukweli uko wazi kabisa, ninarudia tena hii ni ujumbe wa kutaka kunitisha nisiiguse Chadema na Mbowe, kwanza mimi huwa sipendi kujiingiza kwenye siasa za vyama maana nilishaona siku nyingi matokeo yake ni haya upuuuzi tu tena big time,

Ni mimi ninayemtetea Mbowe hapa kila siku, sasa leo tena nigeuke na kutaka kumtaja na the rest of the story ili iwe nini? Mbowe au Chadema sina hata sababu, lakini ninasema hivi ishu zao zikija hapa nitazikata kama kawaida bila ya kuogopa mtu, kama vile ninavyokata ishus za taifa au CCM,

Ni kweli sana kuwa ukweli unasimama kuwa uliyonizushia ni uongo tena wa mchana, mimi I could careless wewe ni pro wa nani, lakini one thing huwezi kunifanya na mimi niwe pro wa Chadema na Mbowe, forget that!

Kuna thread nimesema kuwa Lowassa na Rostam, wana vibaraka wao hapa, ile topic ndiyo hasa chanzo cha hii thread ninaamini 100%, niliposema kuwa ninawajua na nitawasema hapa, lakini naomba nirudie tena kuwa nikitaka ninaweza kuwasema wazi hapa hao vibaraka kwa sababu ninawajua na wala siogopi mtu, ila sijaamua kuwasema kuwasema lakini ninaweza kuwasema anytime na wao wanajijua sana,

Mkuu ninaomba kumaliza kwa kusema hivi kwanza mimi sio ndugu yako kama ulivyosema, halafu mimi ni mtu mzima sijawahi hata kufungwa jela au kuiba kwa mtu kwa hiyo ninayo akili ya kutosha kujua sheria za JF zinavyosema, na sijawahi kuzivunja hata siku moja, pia ninashukuru sana kwa kuweza kuelewa rangi zako mapema, yes hizi wiki mbili zilizopita umenishangaza sana sikutegemea kabisaa, lakini ndio uzuri wa JF, siku zote ni elimu ya bure, ukweli nimeuweka wazi kuhusu maneno uliyonizushia,

wewe sio wa kwanza hapa JF na hutakuwa wa mwisho kunizushia, lakini naomba ukumbuke one thing kuwa kwanza siendi kokote, halafu siogopi wala kutishika, halafu huwa siamini kabisa maneno ya kuombana samahani, mimi ni mtu black and white, one strike ndiyo ukweli wenyewe hizo ndizo sheria nilizojifunza melini, huwa hatusubiri mara ya pili, huna sababu yoyote ya kuomba radhi kwa kunizushia maneno ya uongo kwa sababu siiihitaji kabisaa,

kwa hayo nimemaliza nakutakia safari njema, kama ni message kama unavyosema, mimi sio mtoto mdogo kwa sababu ninajua kuwa ukiona moshi maana yake chini kuna moto kwa hiyo sina wasi wasi kwa sababu mpaka kunianzishia thread kwa sababu za uongo na uzandiki, maana ningeanzisha mimi hii thread kweli hiyo mesage yako ingekuwa imefika, lakini thread umeanza wewe halafu unadai messaage sent, labda kuna something nina-miss hapa, msimamo wangu ni ule ule hauwezi kubadilishwa na mtu yoyote kwa sababu sivunji sheria, na wembe wangu kwenye kukata ishu ni ule ule hautabadilika hata siku moja, ukinichokoza nje ya sheria za JF, kama kawaida ninakushukia tu huko huko, ikija ishu ya Chadema au Mbowe kama kawaida ukweli ukweli na uongo ni uongo, sina kufikiria kwenye hili , kama unakerwa ninapojibu mapigo sina la kukusaidia lakini sitaacha kujibu mapigo, ninakuja hapa kukata ishu za taifa that is all sijali nani wala chama gani fimbo zangu ni zile zile!

Ahsante Mkuu!
 
Ni hiii post ndiyo chanzo cha yote!

Re: BREAKING News: KKKT wamkana Rostam

1. Wakuu msijaribu kutuchanganya hapa, Rostam na Lowassa, ni mafisadi period na ndio hasa chanzo cha ufisadi Tanzania.

2. Kama wanataka kujaisafisha na Mungu wao, hakuna sababu ya kupiga kelele wanweza kwenda kanisani wao wawili tu na Mchungaji wakamwambia Mungu matatizo yao, na sio lazima liwe kanisa la Spika.

3. Hawa watu wamezoea kuishi kwa rushwa period, hawajui anything else, wao wamezoea kuona dunia nzima iwe inazunguka arround wao kwa sababu ya mapesa yao waliyoliibia taifa letu, sasa hivi they are almost running our government, kila kitengo cha serikali yetu kinawaogopa hawa, sasa wameshituka kuwa kanisa halimo katika payroll yao ndio wamelianza.

Wa-Tanzania tusitishike na haya maneno mengi ya vibaraka wao, kuna maneno humu ukiyasoma vizuri between the lines utayaona kuwa yameandikwa na vibaraka wao, matatizo ya makanisa yetu na connection yao na Mungu, it is none of our business hapa JF, our business ni taifa tu,

Kwenye hili la Lowassa kwenda kutengeneza njama na baadhi ya viongozi wabovu ndani huko KKT na kuweka njia ya Rostam kwenda huko kama mualikwa na kutoa hela, ni nothing but Rostam kwenda kutoa rushwa kwa kanisa na kutaka kulitumia kwa ajili ya kujisafisha kisiasa, tabia ambayo wao wawili Rostam na Lowassa, wanaonekana kuijua sana kuliko anything else, yaani ya kutoa mapesa kwa wenye shida ya pesa ili wajisafishe,

Tunasema tena kwa nguvu sana kuwa huu wao ni uhuni kwa taifa tena wa mchana na hatupendi kabisaa baadhi yetu sisi wananchi kwa sababu ukisoma hii topic utaona kuwa kuna wanaoukubali huu ujinga, Mkapa alipoamua kuchukua mpango wa mtandao na kuwapa power, na yeye pia alikimbilia kwenye mkutano wa viongozi wa makanisa kuhalalisha uhuni wake, yaani ufisadi wake, sasa na hawa tena wanajaribu kufuata njia hiyo hiyo, tunasema kuwa warudishiwe hela zao wakampe Serukamba,

Nyoka ni nyoka tu, hata akija kanisani hawezi kubadilika akawa kinyonga, hawa wahuni wafukuzeni huko kanisani! Na nyinyi vibaraka wao msitubabaishe hapa na maneno mengi ya ujanja ujanja tunawajua tenma vizuri sana pamoja na majina yenu ya bandia hapa tunaweza kuwasema hapa wazi wapuuuzi nyie!
 
Pamoja na kuwa kauli mbiu ya hamasa ya Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke ilibuniwa na Mwenyekiti Mbowe wakati wa kampeni, nataka kukanusha hapa kwamba mtu anayejiita Mpaka Kieleweke hapa Si Mbowe. Pamekuwa na jitahida sana za kumhusisha mwenyekiti wetu na Majina mawili hapa mtandanaoni, wakati Chinga alianzisha uzushi kwamba Mbowe ni Philimom Michael, Bwana FMES yeye ameanzisha Mpaka Kieleweke ni Mbowe. Nimekuwa nikifuatilia mienendo na michango ya watu hawa wawili na napenda niweke wazi kwamba hakuna Mbowe kati ya watu hao wawili.

Philemon Michaeil ni mwanahabari ambaye mpaka sasa yuko Dar es salaam.

Mpaka Kieleweke ni kada wa CHADEMA anayezunguka kati ya Dar es salaam na Dodoma.

Hata wakati ambapo mwenyekiti Mbowe akiwa nje ya nchi hawa mabwana wawili wameendelea kutoa michango yao kutoka Dar es salaam. Mathalani kwa sasa Mwenyekiti Mbowe yuko kikazi mashariki ya kati lakini bado mpaka kieleweke anaandikia michango yako toka Dodoma.

Kwa mchambuzi yoyote wa michango ya watu humu atagundua kuwa michango ya Mpaka Kieleweke haiendani kabisa na maoni na misimamo ya Bwana Mbowe katika masuala mbalimbali na kwa ujumla bwana Philemon Michael hana undani wa masuala ya kisiasa hususani yale yanayoihusu CHADEMA.

Nawakatia kheri

Asha

hao watahangaika kutwa kuchwa lakini chama hakitayumba so waache waendelee kubuni tu...aluta kontinyua
 
Mkuu ni kweli kabisa maneno uliyonizushia ni uongo tena wa mchana maana ukweli wote upo hapo juu, mimi sio kazi yangu hapa JF kuweka sawa maneno ya majina ya watu, siyo kazi yangu kabisaa, again kwenye hili sioni ukweli!

2. [

1. Mara ya kwanza kwa kutumia hili jina ulisema kuwa umefanya uchunguzi wako wa sayansi na kugundua kuwa sisi wanachama wote wa CCM tuna some-type of matatizo fulani ya akili, nikakuambia kuwa knowing nani aliyeko nyuma ya hilo jina nimesikitishwa sana na maneno haya, ukakubali makosa topic either ikahamishwa au ikafutwa, lakini after maneno yangu topic haikuendelea, lakini sikusikia ukilalama kuwa nimekuzushia,

2. Mara ya pili, ulimtukana sana Chinga kwa jina hili, ikafika mahali nikaingilia tenma na kusema vile vile tena kuwa knowing aliyeko nyuma ya jina lako nimesikitishwa sana na matusi ya nguoni kwa Chinga, kama kawaida hukujibu yakaisha.

3. Na jana yes nimerudia tena uliponirushia maneno yako haya ya kizushi, ushahid uko hapo juu, nikarudia tena maneno yangu kuwa knowing aliyeko nyuma ya jina lako la bandia nimesikitishwa sana na bado ninarudia kuwa nimesikitishwa sana, kwa kusema haya sijavunja sheria yoyote hapa JF, na ni haki ya Mtu yoyote aliye member hapa kusema hivyo, kwa hiyo siwezi hata kwa bunduki kukuomba radhi kwa hilo kwa sababu sijavunja sheria yoyote ya JF, lakini wewe umeivunja sheria ya JF kwa kunisignizia maneno ambayo sikuyasema, na ushahidi wangu upo hapo juu tena very clear!

4. Sijawahi kujifanya hata siku moja kuwa ninajua ID za baadhi ya members hapa, ila huwa ninasema ukweli kuwa ninazijua, sasa je kwa kusema hivyo nimevunja sheria ya JF? Eti ninakukera kwa kusema hivyo na kwamba mimi ni ndugu yako? Uzumbukuku au kuishiwa hoja? haya matusi yote ni kwa sababu tu ya kunizushia uongo ambao ninaukataa na nimetoa ushaidi wangu hapo juu? Msimamo wangu ni ule ule mkuu member yoyote akinitafuta kwenye angle za ID au personal mimi ni lazima nikujibu na ndiyo nianchofanya siku zote hapa,

sijawahi kumchokoza mtu ila ukinichokoza ni lazima nikujibu, kama unakerwa tehn it is too bad kwa sababu pamoja na kukerwa kwako mimi siendi kokote nipo hapa mpaka mwisho, sasa kama hupendi style yangu ya hoja siwezi kukusaidia kwenye hilo, ila nilitegemea kuwa utakerwa na jinsi ninavyoshambuliwa kila wakati na maneno ya watu kudai wanaijua ID yangu, lakini wewe umekerwa na majibu yangu kwa wanaonishambulia! that is wasup! na nimekusikia loud and clear!

Hii topic umeianzisha kwa sababu tu ya hizo propaganda zenu huko, naona mmeona kuwa mnakwama hapa sasa dawa ni kujaribu kunishambulia mimi wakati mimi wala sina mpango, siasa ya bongo ninaijua nje ndani na ukweli wote wa kuhusu Wangwe na huko ndani ninao siku nyingi sana, ndio maana sielewi hizi spin ni za nini wakati ukweli uko wazi kabisa, ninarudia tena hii ni ujumbe wa kutaka kunitisha nisiiguse Chadema na Mbowe, kwanza mimi huwa sipendi kujiingiza kwenye siasa za vyama maana nilishaona siku nyingi matokeo yake ni haya upuuuzi tu tena big time,

Ni mimi ninayemtetea Mbowe hapa kila siku, sasa leo tena nigeuke na kutaka kumtaja na the rest of the story ili iwe nini? Mbowe au Chadema sina hata sababu, lakini ninasema hivi ishu zao zikija hapa nitazikata kama kawaida bila ya kuogopa mtu, kama vile ninavyokata ishus za taifa au CCM,

Ni kweli sana kuwa ukweli unasimama kuwa uliyonizushia ni uongo tena wa mchana, mimi I could careless wewe ni pro wa nani, lakini one thing huwezi kunifanya na mimi niwe pro wa Chadema na Mbowe, forget that!

Kuna thread nimesema kuwa Lowassa na Rostam, wana vibaraka wao hapa, ile topic ndiyo hasa chanzo cha hii thread ninaamini 100%, niliposema kuwa ninawajua na nitawasema hapa, lakini naomba nirudie tena kuwa nikitaka ninaweza kuwasema wazi hapa hao vibaraka kwa sababu ninawajua na wala siogopi mtu, ila sijaamua kuwasema kuwasema lakini ninaweza kuwasema anytime na wao wanajijua sana,

Mkuu ninaomba kumaliza kwa kusema hivi kwanza mimi sio ndugu yako kama ulivyosema, halafu mimi ni mtu mzima sijawahi hata kufungwa jela au kuiba kwa mtu kwa hiyo ninayo akili ya kutosha kujua sheria za JF zinavyosema, na sijawahi kuzivunja hata siku moja, pia ninashukuru sana kwa kuweza kuelewa rangi zako mapema, yes hizi wiki mbili zilizopita umenishangaza sana sikutegemea kabisaa, lakini ndio uzuri wa JF, siku zote ni elimu ya bure, ukweli nimeuweka wazi kuhusu maneno uliyonizushia,

wewe sio wa kwanza hapa JF na hutakuwa wa mwisho kunizushia, lakini naomba ukumbuke one thing kuwa kwanza siendi kokote, halafu siogopi wala kutishika, halafu huwa siamini kabisa maneno ya kuombana samahani, mimi ni mtu black and white, one strike ndiyo ukweli wenyewe hizo ndizo sheria nilizojifunza melini, huwa hatusubiri mara ya pili, huna sababu yoyote ya kuomba radhi kwa kunizushia maneno ya uongo kwa sababu siiihitaji kabisaa,

kwa hayo nimemaliza nakutakia safari njema, kama ni message kama unavyosema, mimi sio mtoto mdogo kwa sababu ninajua kuwa ukiona moshi maana yake chini kuna moto kwa hiyo sina wasi wasi kwa sababu mpaka kunianzishia thread kwa sababu za uongo na uzandiki, maana ningeanzisha mimi hii thread kweli hiyo mesage yako ingekuwa imefika, lakini thread umeanza wewe halafu unadai messaage sent, labda kuna something nina-miss hapa, msimamo wangu ni ule ule hauwezi kubadilishwa na mtu yoyote kwa sababu sivunji sheria, na wembe wangu kwenye kukata ishu ni ule ule hautabadilika hata siku moja, ukinichokoza nje ya sheria za JF, kama kawaida ninakushukia tu huko huko, ikija ishu ya Chadema au Mbowe kama kawaida ukweli ukweli na uongo ni uongo, sina kufikiria kwenye hili , kama unakerwa ninapojibu mapigo sina la kukusaidia lakini sitaacha kujibu mapigo, ninakuja hapa kukata ishu za taifa that is all sijali nani wala chama gani fimbo zangu ni zile zile!

Ahsante Mkuu!

FMES

1. Kwa moyo mkunjufu nakuomba radhi kwa maneno yangu. Si kwa sababu nilichosema ni uwongo, maana mwenyewe kwa nukuu yako umeonyesha kwamba post yako ilionyesha kwamba unamjua Mpaka Kieleweke, na ukamwomba aache mambo hayo yafanyiwe na Katibu Mkuu badala ya yeye. Ila nakuomba radhi kwa kukuhusisha na mtu aliyesema baadaye kwamba Mpaka Kieleweke ni Mbowe.

2. Ila naomba uniombe radhi kwa mara tatu kuonyesha kwamba mimi si Asha Abdala, na kwamba unajua ID yangu. Kwa kweli toka mara ya kwanza ulivyoanza ulini offend- ilikuwa ni muda mrefu sana. Kama ujuavyo sisi tuna tabia ya kuweka mambo rohoni. Wakati huo, nakumbuka nilikujibu kwa ukali na kukwambia usinitishe. Nakumbuka mara ya pili tena nikasema maneno makali. Kwa kweli, ni vyema ukaniomba radhi. Hii tabia yako ya unapobishana na watu kusema kwamba unawajua ID zao sio tabia nzuri. Ni tabia ya vitisho na ni aina fulani ya black mailing. Ndio maana mimi nikawaomba mods wakuruhusu unitaje. I stand on my words mpaka siku utakaponielewa na kunitaka radhi. Kubishana na wewe kuhusu CCM au hoja yangu yoyote sio sababu ya kusema unajua ID yangu or what ever, pamoja na ukali wangu wa maneno na mipasho wewe ndiye umeanzisha hii tisha tisha kuhusu ID yangu. Ukweli huu utabaki hata ukikataa kuomba radhi

3. Kufungua kwangu hii thread hakuna uhisiano wowote na mchango wako kuhusu Rostam kwenda KKKT kama ulivyosema hapo juu. Sina uhusiano wowote na Rostam, i have declared him number one enemy of our republic. Kungua kwangu thread ni uamuzi binafsi baada ya kuona Mwenyekiti wangu wa chama anahusishwa na majina ya watu wengine hapa JF na hakuna anayekemea. Na kwa kweli ulichochewa na Jmushi ambaye kwenye michango yake mingi Mpaka Kieleweke akiandika hoja yeye badala ya kujibu hoja anaanza kwa kusema "Kama wewe ni Mbowe". Kwa hiyo uwe na amani kabisa, sikuwa naku-target kwa maana nyingine yoyote zaidi ya kuweka kumbukumbu sawa. Kama nimekuudhi narudia tena kukuomba radhi toka chini ya mtima wa moyo wangu

Asha
 
1. Mara ya kwanza kwa kutumia hili jina ulisema kuwa umefanya uchunguzi wako wa sayansi na kugundua kuwa sisi wanachama wote wa CCM tuna some-type of matatizo fulani ya akili, nikakuambia kuwa knowing nani aliyeko nyuma ya hilo jina nimesikitishwa sana na maneno haya, ukakubali makosa topic either ikahamishwa au ikafutwa, lakini after maneno yangu topic haikuendelea, lakini sikusikia ukilalama kuwa nimekuzushia,

2. Mara ya pili, ulimtukana sana Chinga kwa jina hili, ikafika mahali nikaingilia tenma na kusema vile vile tena kuwa knowing aliyeko nyuma ya jina lako nimesikitishwa sana na matusi ya nguoni kwa Chinga, kama kawaida hukujibu yakaisha.
Ahsante Mkuu!

Kwamba kwa mara ya kwanza kutumia hili jina! Inajenga hisia kuwa Asha Abdala silo jina, kuna jina unalolijua wewe. Litaje, uwongo wako udhirihirike.

Kwamba mchango wangu wa kwanza humu ni kuhusu utafiti kuhusu CCM. Huu nao ni uwongo. Kumbuka mimi ni mwanachama humu siku nyingi sana na niliwahi kuwa mpenzi wa CCM. Michango yangu ya kwanza ilikuwa ni ya kufagilia chama cha mapinduzi. Na walionifanya nichukie chama chenu ni Lowassa kwa aliyoyafanya ingawa awali nilikuwa nampenda. Sasa unaposema mchango wangu wa kwanza humu ni kuhusu wanachama wa CCM kutokuwa na akili, ni uongo mtupu. Na wewe unajua kuwa unasema uwongo. Niliwahi kusema hivi karibuni kuhusu huo utafiti ambao sio mimi niliyeufanya, ule unaohusu MicroCCMs and degrees of foolishness. Si mimi niliyefanya, nilinukuu. Lakini haukuwa mchango wangu wa kwanza, huo ni wajuzi huzi wakati mimi niko hapa siku nyingi sana.

Halafu unasema nilimtukana Chinga, hebu sema ni wapi nilimtukana Chinga. Maana maneno yako yanaonyesha kwamba mimi ni mtu wa mitusi kweli kweli. Niombe radhi kwa kunishushia hadhi katika jamii. Letu hayo matusi niliyowahi kutoa humu kama ushahidi maana thread zangu zote zipo hapa. Mimi ninachojua ni kutoa mipasho tu aka kushushua, kutukana sio maadili yangu na wala imani yangu ya dini haijanifundisha hayo. Hebu toa mfano mmoja tu wa tusi nililowahi kutukana. Ama sivyo niombe radhi kwa kunisingizia

Asha
 
Nilifunga mjadala kati yangu na FMES lakini si wewe, umejileta tena.

Ndio maana huna madaraka kwa kuwa unapenda sana kukurupuka.

Sasa Mbona kuhupendekeza walisema kwamba Mpaka Kieweleke na Philemoni Michael ni Mbowe hukusema wafungiwe?

Halafu unajiita Fair Player huku kila wakati ukiandika michango yako unamalizia na kidumu chama cha mapinduzi!

You can't be neutral and at the same time have side.

Na wewe inaonyesha una muda sana wa kusoma bla bla bla!

Asha

Dada Asha,

Unlike FMES mie sitokupa umaarufu wa bure.

1. Unamtetea mtu ambaye yupo hapa na ambaye hajaomba kutetewa wala hajasema kaitwa yeye ni Mbowe. Huoni kuwa unatafuta sifa usiyokuwa nayo?, Unamtetea vipi MTU AMBAYE HAJATUHUMIWA WALA KUSHTAKIWA?!!!!!!!!, Bibie upo sawa huku juu kabisa ya mwili?

2. Unamsemea Mbowe pia wakati Mbowe ni mwanachama humu!, Amekutuma?, mbona kuna viongozi wengi wa Chadema humu na wanajenga hoja bila tuhuma kama zako?, Unataka ubunge wa kuteuliwa nini kwenye uchaguzi ujao?, nenda Uchagani, nenda kaoe au kaolewe au......

3. Shutuma dhidi ya members humu ambazo huwezi kuzithibitisha. Ni alama nyingine ya kukosa umakini kwako. Kwakuwa Kiongozi wenu anapenda watu wajikombe na uchagani (especially wale wasio competent) hapo umewin. Ila sijui utabadili jinsia?

Michango ya kujadili ID tuliifinga mapema sana toka enzi za BCS, miaka kama minne (4) imepita. Mika hiyo hata JK alikuwa hajakuwa Rais. Sasa wewe unaibukia leo kutaka ID sijui nani kamtaja nani. U must be crazy somehow!

Mi sikujibu bibie, acha niyoyome mitaani wiki end hii najua nitakuona sehemu.

OOOOHHH Yeah tunaipenda CCM, ingawa tuna/nina reservations zangu (kuna baadhi ya wana CCM wanaiharibu) but, ni bora CCM kuliko kujiunga na mtu kama wewe.

Hata hivyo naona kazi ya UANDISHI WA HABARI imekupenda.

Kazi njema

Fair Player
 
FMES

1. Kwa moyo mkunjufu nakuomba radhi kwa maneno yangu. Si kwa sababu nilichosema ni uwongo, maana mwenyewe kwa nukuu yako umeonyesha kwamba post yako ilionyesha kwamba unamjua Mpaka Kieleweke, na ukamwomba aache mambo hayo yafanyiwe na Katibu Mkuu badala ya yeye. Ila nakuomba radhi kwa kukuhusisha na mtu aliyesema baadaye kwamba Mpaka Kieleweke ni Mbowe.

Mkuu sihitaji haya kabisaa, nilichosema kipo wazi kule juu sina sababu ya kurudia, na kama nilivyosema mimi simaini kabisa in samahani au kuombana radhi hapana I do not play that umesema uliyosema ambyo ni uzushi nimekujibu na ukweli upo wazi mimi ni kusonga mbele na ishus zingine muhimu za taifa.

2. Ila naomba uniombe radhi kwa mara tatu kuonyesha kwamba mimi si Asha Abdala, na kwamba unajua ID yangu. Kwa kweli toka mara ya kwanza ulivyoanza ulini offend- ilikuwa ni muda mrefu sana. Kama ujuavyo sisi tuna tabia ya kuweka mambo rohoni. Wakati huo, nakumbuka nilikujibu kwa ukali na kukwambia usinitishe. Nakumbuka mara ya pili tena nikasema maneno makali. Kwa kweli, ni vyema ukaniomba radhi. Hii tabia yako ya unapobishana na watu kusema kwamba unawajua ID zao sio tabia nzuri. Ni tabia ya vitisho na ni aina fulani ya black mailing. Ndio maana mimi nikawaomba mods wakuruhusu unitaje. I stand on my words mpaka siku utakaponielewa na kunitaka radhi. Kubishana na wewe kuhusu CCM au hoja yangu yoyote sio sababu ya kusema unajua ID yangu or what ever, pamoja na ukali wangu wa maneno na mipasho wewe ndiye umeanzisha hii tisha tisha kuhusu ID yangu. Ukweli huu utabaki hata ukikataa kuomba radhi

Kukuomba radhi siwezi na wala haitakuja kutokea, ninamuombaje radhi the aggressor? Mkuu unaonekana kutuaona watu wote humu ndani ya forum kuwa hatuna akili wewe tu ndiye mwenye akili? maana ninaku-read betweeen the lines na ninakuelewa sana,

Ninarudia tena kuwa member yoyote anayenichokoza on the ID lines siku zote ninayo majibu tena very strong, kwa sababu kuna members wachache sana hapa wenye hiyo tabia ya kuchomekeza ID lines kwenye mijadala, wote ninawajua kwa sababu niliwafanyia kazi nzito sana kuwajua na wao wanajijua sana, na nirudie tena ni kwamba hata yako ninayo ukinigusa tu kwenye hizo line za ID, nitajibu kama kawaida, hilo siogopi na kwa kufanya hivyo sivunji sheria za Forum, na ninarudia tena kuwa knowing who is behind your jina la bandia, nasikia hata kutapika nikisoma haya maneno yako ya uzandiki na uzushi,

Mimi sijawahi kuwa kibaraka wa mtu yoyote, mimi ni mtu huru mwenye mawazo huru na huwa sina tatizo kuyasema, na siku zote sina tatizo na heshima na wananchi wengine, lakini kwa asiyetaka heshima kama wewe kwa kuanzisha topic na kuniweka jina langu la hapa na kunihusisha na ujinga ambao wala sihusiki nao, nina haki ya kujibu in any style ninayotaka, wewe umenichokoza kwa maneno ya uzushi na uongo, sasa huwezi kunipangia namna ya kukujibu,

Ninarudia tena kuwa huwa sitishiii kama unavyosema, hapana ukinochokoza kwenye ID lines, au ukinichokoza period bila sababu nitakujibu as I want, kuna watu hapa kama Kishoka, Mkandara, Kitila, Mtanzania, huwezi hata siku moja kunikuta ninawatisha on ID lines kwa sababu ni watu wanaojiheshimu na siku zote wanasimama kwenye lines za mijadala kisheria, na sijawahi kuwaona wakimrushia mtu hapa maneno ya kijinga jinga kama ya kuwa godoro la Kikwete,

Sasa wewe unisingizie maneno ya uongo na uzushi, halafu eti mimi nikuombe radhi wewe tena, mkuu ninafikri unaamini una akili sana labda tusubiri tuone kama ni kweli, yaani wewe unizushie maneno ya ujinga halafu eti wewe tena ndiye mwenye authority ya ku-dictate the outcome, sawa kijana nimeksuikia sana!

3. Kufungua kwangu hii thread hakuna uhisiano wowote na mchango wako kuhusu Rostam kwenda KKKT kama ulivyosema hapo juu. Sina uhusiano wowote na Rostam, i have declared him number one enemy of our republic. Kungua kwangu thread ni uamuzi binafsi baada ya kuona Mwenyekiti wangu wa chama anahusishwa na majina ya watu wengine hapa JF na hakuna anayekemea. Na kwa kweli ulichochewa na Jmushi ambaye kwenye michango yake mingi Mpaka Kieleweke akiandika hoja yeye badala ya kujibu hoja anaanza kwa kusema "Kama wewe ni Mbowe". Kwa hiyo uwe na amani kabisa, sikuwa naku-target kwa maana nyingine yoyote zaidi ya kuweka kumbukumbu sawa. Kama nimekuudhi narudia tena kukuomba radhi toka chini ya mtima wa moyo wangu

Baada ya post yangu Kieleweke alinitumia PM, na kuishia kunishukuru kwa ushauri wangu na yote niliyosema kwenye ile post, hakulalamika kuwa nimemsema kuwa ni Mbowe, sasa bado nashangaa sana na maneno yako ya uzushi na uongo, mimi sio Mushi, I have nothing to do na this,

Kilichokufanya ushindwe kumtaja Mushi kwenye topic yako ni kipi hasa? Sasa unajaribu kulazimisha ishu kuwa eti nimekutishia ID yako hivi ni kweli nilikurupuka tu nikaanza hayo?

Mkuu mimi ni mtu huru tena huru sana, sina ubia na mtu yoyote kwenye maisha wala siasa na sina huo mpango, Mbowe Free ninamfahamu long time ago sio jana wala juzi tu alipoanza kuwa mwenyekiti wa Chadema, sina sababu yoyote ya kuja kumchafua hapa bila ya sababu kama ninahisi kuwa ni yeye nitamfahamisha kwenye PM, lakini siwezi hata siku moja kufanya hayo uliyonizulia hapa, namba yake ya simu ninayo ninaweza kumpigia anytime, nisipompata yeye hata ndugu zake hakuna asiyenijua sasa what is this?

Kuheshimiana haina maana ya kuogopana, hizo ni tabia za niggers sio sisi wabongo, wewe ulikuwa na kila nafasi ya kuni-reach out kabla ya kuandika uongo, lakini kwa kujiamini kuwa una akili nyingi sana ukaamua kunitaja kwenye ishu zisizokuwa hata na msingi, mkuu I find this to be very childish, sasa hata unapowekewa ukweli bado unajaribu kunifanya mimi ni mtoto, kwamba nimekukosea na nikuombe radhi,

Ushauri nimempa Kieleweke toka last Sunday, sasa leo wewe unakuja kuni-accuse kuwa nimesema kuwa yeye ni Mbowe a week after? Halafu unataka niamini kuwa sababu iliyokufanya uniandike ni hiyo tu unayoisema?
 
Mkuu sihitaji haya kabisaa, nilichosema kipo wazi kule juu sina sababu ya kurudia, na kama nilivyosema mimi simaini kabisa in samahani au kuombana radhi hapana I do not play that umesema uliyosema ambyo ni uzushi nimekujibu na ukweli upo wazi mimi ni kusonga mbele na ishus zingine muhimu za taifa.

Kukuomba radhi siwezi na wala haitakuja kutokea, ninamuombaje radhi the aggressor? Mkuu unaonekana kutuaona watu wote humu ndani ya forum kuwa hatuna akili wewe tu ndiye mwenye akili? maana ninaku-read betweeen the lines na ninakuelewa sana,

Ninarudia tena kuwa member yoyote anayenichokoza on the ID lines siku zote ninayo majibu tena very strong, kwa sababu kuna members wachache sana hapa wenye hiyo tabia ya kuchomekeza ID lines kwenye mijadala, wote ninawajua kwa sababu niliwafanyia kazi nzito sana kuwajua na wao wanajijua sana, na nirudie tena ni kwamba hata yako ninayo ukinigusa tu kwenye hizo line za ID, nitajibu kama kawaida, hilo siogopi na kwa kufanya hivyo sivunji sheria za Forum, na ninarudia tena kuwa knowing who is behind your jina la bandia, nasikia hata kutapika nikisoma haya maneno yako ya uzandiki na uzushi,

Mimi sijawahi kuwa kibaraka wa mtu yoyote, mimi ni mtu huru mwenye mawazo huru na huwa sina tatizo kuyasema, na siku zote sina tatizo na heshima na wananchi wengine, lakini kwa asiyetaka heshima kama wewe kwa kuanzisha topic na kuniweka jina langu la hapa na kunihusisha na ujinga ambao wala sihusiki nao, nina haki ya kujibu in any style ninayotaka, wewe umenichokoza kwa maneno ya uzushi na uongo, sasa huwezi kunipangia namna ya kukujibu,

Ninarudia tena kuwa huwa sitishiii kama unavyosema, hapana ukinochokoza kwenye ID lines, au ukinichokoza period bila sababu nitakujibu as I want, kuna watu hapa kama Kishoka, Mkandara, Kitila, Mtanzania, huwezi hata siku moja kunikuta ninawatisha on ID lines kwa sababu ni watu wanaojiheshimu na siku zote wanasimama kwenye lines za mijadala kisheria, na sijawahi kuwaona wakimrushia mtu hapa maneno ya kijinga jinga kama ya kuwa godoro la Kikwete,

Sasa wewe unisingizie maneno ya uongo na uzushi, halafu eti mimi nikuombe radhi wewe tena, mkuu ninafikri unaamini una akili sana labda tusubiri tuone kama ni kweli, yaani wewe unizushie maneno ya ujinga halafu eti wewe tena ndiye mwenye authority ya ku-dictate the outcome, sawa kijana nimeksuikia sana!

Baada ya post yangu Kieleweke alinitumia PM, na kuishia kunishukuru kwa ushauri wangu na yote niliyosema kwenye ile post, hakulalamika kuwa nimemsema kuwa ni Mbowe, sasa bado nashangaa sana na maneno yako ya uzushi na uongo, mimi sio Mushi, I have nothing to do na this,

Kilichokufanya ushindwe kumtaja Mushi kwenye topic yako ni kipi hasa? Sasa unajaribu kulazimisha ishu kuwa eti nimekutishia ID yako hivi ni kweli nilikurupuka tu nikaanza hayo?

Mkuu mimi ni mtu huru tena huru sana, sina ubia na mtu yoyote kwenye maisha wala siasa na sina huo mpango, Mbowe Free ninamfahamu long time ago sio jana wala juzi tu alipoanza kuwa mwenyekiti wa Chadema, sina sababu yoyote ya kuja kumchafua hapa bila ya sababu kama ninahisi kuwa ni yeye nitamfahamisha kwenye PM, lakini siwezi hata siku moja kufanya hayo uliyonizulia hapa, namba yake ya simu ninayo ninaweza kumpigia anytime, nisipompata yeye hata ndugu zake hakuna asiyenijua sasa what is this?

Kuheshimiana haina maana ya kuogopana, hizo ni tabia za niggers sio sisi wabongo, wewe ulikuwa na kila nafasi ya kuni-reach out kabla ya kuandika uongo, lakini kwa kujiamini kuwa una akili nyingi sana ukaamua kunitaja kwenye ishu zisizokuwa hata na msingi, mkuu I find this to be very childish, sasa hata unapowekewa ukweli bado unajaribu kunifanya mimi ni mtoto, kwamba nimekukosea na nikuombe radhi,

Ushauri nimempa Kieleweke toka last Sunday, sasa leo wewe unakuja kuni-accuse kuwa nimesema kuwa yeye ni Mbowe a week after? Halafu unataka niamini kuwa sababu iliyokufanya uniandike ni hiyo tu unayoisema?

Maneno mengi bila kujibu hoja ni ishara ya kushibedua na kujihashua. Kama hukutaka kuomba radhi si ungesema tu neno moja badala ya kutujazia kurasa bila hoja yoyote ya ziada zaidi ya kuhalalisha kunitisha kwangu kuwa unajua ID yangu.

Nakwambia tena, wewe ndio ulianza kusema unajua ID yangu what ever! Na sasa narudia tena kukwambia, si unitaje ili uwongo wako ujulikane? Mods, mruhusuni huyu jamaa abashiri! Au ndio yale ya Chenge na tuhuma za Sitta za ushirikina bungeni?

Hayo ya uhusiano wako na Mpaka Kieleweke muendelee tu huko kwenye PM zenu lakini nijuacho mimi hapa ni Mwenyekiti Mbowe kuitwa Mpaka Kieleweke au Philemon Michael. Najua mjadala huu umesadia kuondoa huo uzushi. And I am very happy for that. Maneno yako na hayo ya Fair Player wala hayanisumbui mtima wangu baada ya pumba na mchele kutenganishwa!

Once again pole na nakuomba radhi but I dont mind kama hutaniomba radhi lakini najua moyoni umeomba radhi ndio maana umeandika maandishi mengi ya kujikosha. Nimekugusa kwa namna ambayo hujawahi kuguswa, kwenye akili lakini pia kwenye moyo wako wa huruma. Asante babaaa, nakutakia heri

Asha
 
Dada Asha,

Unlike FMES mie sitokupa umaarufu wa bure.

1. Unamtetea mtu ambaye yupo hapa na ambaye hajaomba kutetewa wala hajasema kaitwa yeye ni Mbowe. Huoni kuwa unatafuta sifa usiyokuwa nayo?, Unamtetea vipi MTU AMBAYE HAJATUHUMIWA WALA KUSHTAKIWA?!!!!!!!!, Bibie upo sawa huku juu kabisa ya mwili?

2. Unamsemea Mbowe pia wakati Mbowe ni mwanachama humu!, Amekutuma?, mbona kuna viongozi wengi wa Chadema humu na wanajenga hoja bila tuhuma kama zako?, Unataka ubunge wa kuteuliwa nini kwenye uchaguzi ujao?, nenda Uchagani, nenda kaoe au kaolewe au......

3. Shutuma dhidi ya members humu ambazo huwezi kuzithibitisha. Ni alama nyingine ya kukosa umakini kwako. Kwakuwa Kiongozi wenu anapenda watu wajikombe na uchagani (especially wale wasio competent) hapo umewin. Ila sijui utabadili jinsia?

Michango ya kujadili ID tuliifinga mapema sana toka enzi za BCS, miaka kama minne (4) imepita. Mika hiyo hata JK alikuwa hajakuwa Rais. Sasa wewe unaibukia leo kutaka ID sijui nani kamtaja nani. U must be crazy somehow!

Mi sikujibu bibie, acha niyoyome mitaani wiki end hii najua nitakuona sehemu.

OOOOHHH Yeah tunaipenda CCM, ingawa tuna/nina reservations zangu (kuna baadhi ya wana CCM wanaiharibu) but, ni bora CCM kuliko kujiunga na mtu kama wewe.

Hata hivyo naona kazi ya UANDISHI WA HABARI imekupenda.

Kazi njema

Fair Player

Kuna wimbo mmoja Lady JD aliwahi kuimba ulikuwa unaitwa WANAUME KAMA MABINTI, sijui nikuimbieeeeeeeee

Sasa umeonyesha rangi yako halisi FAIR player. Kumbe mipasho waijua, hayo ya uchaggani kumbe wa ndio unashadadia eeeh.

Asha
 
Maneno mengi bila kujibu hoja ni ishara ya kushibedua na kujihashua. Kama hukutaka kuomba radhi si ungesema tu neno moja badala ya kutujazia kurasa bila hoja yoyote ya ziada zaidi ya kuhalalisha kunitisha kwangu kuwa unajua ID yangu.

Mchokozi hapa ni wewe, ndiye uliyeanzisha vita kwa kunianzishia topic yenye maneno ya uzandiki na uongo, ukweli umewekwa wazi na umeonekana kuwa hakuna mahali nimesema kuwa Kieleweke ni Mbowe, hilo umenianzishia uongo tena ni uzushi,

Ni haki yangu kukujibu kwa silaha yoyote niliyonayo baada ya wewe kunianzishia vita ambayo sikuiomba, sasa huwezi kuanza kunichagulia silaha, na mimi ninasema tena na tena kuwa knowing aliyeko nyuma ya jina lako bado nimeshitushwa na huu mwenendo wako for the last two weeks, sikujua kuwa Chadema na Mbowe, ni muhimu kwako kiasi hiki kwamba uko radhi kunianzishia hata mtu kama this kind of uongo ili kubadili subject ya Wangwe na Chadema, ninasema that is pathetic and very sick, nashangaa kuiita hoja hiyo!

Nakwambia tena, wewe ndio ulianza kusema unajua ID yangu what ever! Na sasa narudia tena kukwambia, si unitaje ili uwongo wako ujulikane? Mods, mruhusuni huyu jamaa abashiri! Au ndio yale ya Chenge na tuhuma za Sitta za ushirikina bungeni?

Yes I did, nimesema kuwa knowing who is behind your jina la bandia ninasikitishwa sana na huu mwenendo wako in the last two weeks, yes I said it na ninaruida kusema tena kuwa ninashindwa kuamini, siwezi kukutaja kwa amri yako na bila ya sababu maalum, ukinichokoza kwenye lines za ID nitakujibu tena bila wasi wasi, unajua wewe unaamini kuwa una akili sana ni kweli unazo kama wengine lakini sio kama unavyojiamini!

Hayo ya uhusiano wako na Mpaka Kieleweke muendelee tu huko kwenye PM zenu lakini nijuacho mimi hapa ni Mwenyekiti Mbowe kuitwa Mpaka Kieleweke au Philemon Michael. Najua mjadala huu umesadia kuondoa huo uzushi. And I am very happy for that. Maneno yako na hayo ya Fair Player wala hayanisumbui mtima wangu baada ya pumba na mchele kutenganishwa!

Kama yameondoa au hayakuondoa it is none of my business, hiyo ni biashara yako, na sidhani kama watu ni wajinga hapa Jf kiasi unachofikiri, mimi sijamuita mtu yoyote hapa JF kuwa ni
Mbowe huo ni uzuzshi wako na ushahidi uko juu tena wazi kabisa kuwa wewe ni muongo, asiyesumbuliwa hunyamaza kimyaa huwa haombi radhi one minute halafu the next minute anajidai kuwa abunuwasi, binafsi I love this topic kwa sababu all my goals kwanza has been met na bado ninaendelea kupenyeza more! kwa sababu ni clear kuwa hii topic imeanzishwa on imagination na illusions, na the funny thing ni jinsi aliyeianzisha aanavyobanwa na kujaribu kurusha miguu huku na kule, siakuogopi hata kidogo wewe umekosa period sasa hata ukijaribu hizi nyepesi ni bure na zaidi ni kuendelea kujishusha hadhi tu!

Once again pole na nakuomba radhi but I dont mind kama hutaniomba radhi lakini najua moyoni umeomba radhi ndio maana umeandika maandishi mengi ya kujikosha. Nimekugusa kwa namna ambayo hujawahi kuguswa, kwenye akili lakini pia kwenye moyo wako wa huruma. Asante babaaa, nakutakia heri

Mimi ni politician, siguswi na nonesense kama hizi ila ni wajibu wangu kuzitumia this kind of opportunity kwa manufaa yangu and I did tena big time, kwa sababu kwa mara nyingine tena nimewahakikishia wananchi ahapa JF kuwa siku zote huwa niko kwenye ukweli, facts na dataz huwa ni kweli,

Umejaribu kunichafua jina langu bila sababu lakini unaona mwenyewe inavyokurudia kuwa hukuwa na ukweli, sasa unajaribu kulazimsha ishu mpya katika ishu ya uongo wako, kukuomba radhi kwa kutumia silaha zangu kujibu vita ulivyonianzishia siwezi hata siku moja, wewe huwezi kunirushia makombora halafu nikirudisha useme kuwa hayaruihusiwi, na kwamba nikuomba radhi hapana, tunaishi kwa sheria na kuheshimiana hatuzushiani tu kama wajinga hapa JF,

Wewe umeanzisha topic kwa kutumia maneno ya uongo, sasa unachoweza kua-ccomplish behind ti ni uongo tu nothing else! na wala sikuogopi au kukukimbia, wewe umekosa sasa uombe samahani usiombe siihitaji anyways, lakini ninashukuru kwa kunipa platform ya bure in the process ya kupitisha mawazo yangu huru kwa sababu mimi sio kibaraka!
 
the funny thing ni jinsi aliyeianzisha aanavyobanwa na kujaribu kurusha miguu huku na kule, siakuogopi hata kidogo wewe umekosa period sasa hata ukijaribu hizi nyepesi ni bure na zaidi ni kuendelea kujishusha hadhi tu!

!

Hehe heee eti nimekosa period. Unaijua period wewe!

1. Umesema kwamba post yangu ya kwanza humu nilitukana wanaCCM. Mwongo kabisa, na ushahidi uko humu humu. Bonyeza tu all my post uangalie post yangu ya kwanza.

2. Umesema mimi nimetoa matusi makubwa kwa Chinga na ameanza kuzungumzia oohh magoro ooh Kikwete ooh whatever, sasa vuta kumbukumbu humu uone ni nani alianza matusi kwa Chinga utakuta sio mimi. Uwongo mwingine.

3. Unakanusha kwamba wewe ndio hukuanza siku nyingi zilizopita nadhani kwenye mjadala wa ile thread ya Chama Cha Mafisadi au nyingine kuanza kusema kwamba unajua Asha Abdala ni nani. Uongo mwingine. Ukweli ni kuwa wewe ndiye uliyeanza na umefanya hivyo takribani mara tatu.

4. Umesema kwamba CHADEMA sio threat kabisa kwa CCM. Uongo mwingine

Kwa hiyo yanapokuja masuala ya Asha Abdala wewe ni muongo muongo tu. Unakuwa mkweli unapozungumzia dataz za mambo unayojua tu. Nakuheshimu katika michango yako mingine humu. Lakini katika hili unajaribu kurusha ngumi kwenye upepo!

Asha
 
Mwanitafuta? ...Ni mimi!

I know most of you in here by names and I will expose you all.

1. Kitila Mkumbo is Mbarouk Masauni from Zanzibar
2. Kuhani or Kuhani Mkuu is repoetr Charles Charles
3. FMES is Prince Bagenda
4. Mwanakijiji is Shyrose Bhanji
5. Rev. Kishoka is Christopher Mtikila
6. Nyani Ngabu is Hussein Mwinyi
7. Pundit is Makwaia Kuhenga
8. Bubu ataka Kusema is James Mbatia
9. JMushi is Lazaro Nyalandu
10. Nyama Choma is Rostam Aziz!

There I have exposed just a few that I know, je mnafurahi au mnataka kumjua Asha Abdallah who is Teddy Kasela Bantu na Mpaka Kieleweke ambaye ni Laurence Masha?

Who is next? Kichuguu, you mean John Magufuli or YourNameIsMine Johnson Lukaza?
 
Tehe tehe. Unawachokoza wenyewe, mi simo!

Asha
 
Kuna wimbo mmoja Lady JD aliwahi kuimba ulikuwa unaitwa WANAUME KAMA MABINTI, sijui nikuimbieeeeeeeee

Sasa umeonyesha rangi yako halisi FAIR player. Kumbe mipasho waijua, hayo ya uchaggani kumbe wa ndio unashadadia eeeh.

Asha

Thanks

I am over and out of this stupid debate of yours.!!!!!
 
Sorry guys I did not know that this is all about looking or jumping at some opportunities.... sikujua.

Ndoa isiyo rasmi njema jamani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom