William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,364
Wapo walioajiriwa humu mtandaoni kazi yao kujua nani kazungumza nini na wamjibuje? Hao ni kundi la kwanza. Wale ambao hawaoni umuhimu wa kutafuta hoja mtandaoni bali kutafuta nani kaandika nini nao hawatakosekana.
Unajua unapoandika maneno unahitaji kufikiri unachosema, kwa sababu hapa unajaribu kupotosha ukweli kwa makusudi, mimi kilichosemwa ni very simple kuwa hatutaki hoja za ID lines, lakini anayetaka hakuna tatizo ajaribu tu, haya unayosema sio kweli, kwa sababu yangekuwa kweli basi toka hii forum ianze tungesikia kuna waliokamatwa au kufungwa!
Endeleeni kutuchunguza tu!!!
Mliotumwa; Pelekeni habari zetu kwa mabwana zenu waliowatuma!!!!!!!!!
Mlikuja kushangaa: endeleeni kushangaa mpaka mchoke!!!!!!!!!!!!!
again sio kweli, ukweli ni kwamba labda unajichunguza mwenyewe na unawafahamisha mabwana zako, hapa hatutaki kuwatisha watu kuwa kuna watu wa kuchunguza wengine sio ukweli hata kidogo, kwamba eti kuna wakukushangaa sijui ni kwa hoja ipi hiyo?
Tunarudia tena kuwa tunataka kujadili ishu za taifa kwa kuheshimiana na asiyetaka, hakuna tatizo tutawajibu kwa lugha wanazo onekana kuzielewa vizuri, that is all hatushii mtu hapa wala hatutishani, ila tunaambiana ukweli.
Ahsante Mkuu!