MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,377
- Thread starter
- #81
Halafu kitu kingine hata wazazi wakiona kabinti kao kanazengewa na Checkbob wanatulia tu, ila wakiona Mtu wa Maana anafuatilia binti yao, basi hapo Hadi waandishi wa habari watatafutwa Mtu Mzima adhalilishwe pengine hata sie yeye aliefungua Duka rasmi.