MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,377
- Thread starter
- #141
Ni kwanini wanaume hawaoi wasichana waliowabikiri wanaoa waliobikiriwa na wenzao, labda tuambiane kuna siri gani hapo ukibikiri unaacha ukikuta aliebikiriwa ndio unaoa, kifupi kwa nini mnabikiriana?
Nakwanini wanakubali kuondolewa bikra kabla ya ndoa?