Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Duuuh kwa hiyo mi kila siku huwa naongea pumba
Hapana....huwa unaongea mahindi kabla hayajakobolewa.
Duuuh kwa hiyo mi kila siku huwa naongea pumba
hatimae kumekucha sasa
Duuuh kwa hiyo mi kila siku huwa naongea pumba
Katika utafiti wangu usio rasmi, nimegundua kua wasichana wengi wanakua wapole na kujidai kujituliza sana kusaka Mume wa Ndoa baada ya kubikiriwa na Mtu ambae hakua na malengo kabisa ya kumuoa na mpaka hapo wanakua wamesha mwagana na pengine kaachiwa na katoto juu.
Inawezekana pia kabla ya hapo, Kijana sahihi ambae alikua anampenda kwa dhati alimzingua akampelekea chekbob akammega na kuingia mitini.
Yaani kila unaekutana nae hakuna Seal. Why?.
Hivi ni kwanini???.
Katika utafiti wangu usio rasmi, nimegundua kua wasichana wengi wanakua wapole na kujidai kujituliza sana kusaka Mume wa Ndoa baada ya kubikiriwa na Mtu ambae hakua na malengo kabisa ya kumuoa na mpaka hapo wanakua wamesha mwagana na pengine kaachiwa na katoto juu.
Inawezekana pia kabla ya hapo, Kijana sahihi ambae alikua anampenda kwa dhati alimzingua akampelekea chekbob akammega na kuingia mitini.
Yaani kila unaekutana nae hakuna Seal. Why?.
Hivi ni kwanini???.
Hapana....huwa unaongea mahindi kabla hayajakobolewa.
Kila siku huwa unaongea point lakini leo umeongea point moja nzito sana tena kwa hisia kali sana........
Hakuna ajuaye ya kesho na wala hakuna ajuaye moyo wa mtu mwingine......mi naamini hakuna mwanamke anayependa kuwa na msururu wa vidume ila inatokea tu unaangukia kwa mtu ambae hakupendi kwa dhati koz moyo wa mtu ni kiza kinene
Duh mm pia yupo moja ameniganda kinyama anadai anataka ndoa af mwenzake ndo ata sina mpango, sijui nifyatuke vp yan.
Jikaze tu, wenani alikuambia ukune palipoacha kuwasha...!?
mkuu unatumia kinywaji gani??
Akangaika...endelea kuvuta muda bado unakusubiri....Ukifika miaka 40 ndio zaa halafu uwaachie watoto ndugu zako wakulelee wakati wewe ushastaafu
Itabidi mnikodishe nije niwatoe hizo bikra.....msihofu mimi natumia ganzi...mi dem wangu bikra na mi mwenyewe bikra 18yrs. na2na malengo ya kuoana and 2po chuo first year