ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,474
- 119,176
Kitulizeni basi. Hamuwezi kuishi bila ngono??Hakuna ajuaye ya kesho na wala hakuna ajuaye moyo wa mtu mwingine......mi naamini hakuna mwanamke anayependa kuwa na msururu wa vidume ila inatokea tu unaangukia kwa mtu ambae hakupendi kwa dhati koz moyo wa mtu ni kiza kinene