Mpaka iondolewe ndio wanatulia

Mpaka iondolewe ndio wanatulia

Wenyewe wakikusikia shauri yako!

Teheee kama noma na iwe noma tu. Unaulizia seal wakati we mwenyewe chuma chakavu?! Unagonga wadada ishirini kabla hujaoa siku ukitaka kuoa unaulizia bikra, na hao ishirini ulowatoboa anawaoa nani na washakatika hizo seal?!
 
hakuna msichana ambaye hajawahi kuwa na bikra kwahyo hata ukimkuta hana ujue tu umewahiwa na mwingne ila bikra alikuwa nayo na wengi wanaotoa bikra za wasichana hawaeleweki wachache sana ndo wanatambua thamani ya yule msichana waliyomkuta nayo ndo mana wasichana wengi tunawachukia wanaume waliotutoa bikra
 
Uko sahihi dada yangu. Kama mtu hupendi kupewa chungwa lililong'atwa ng'atwa na watu wengine.....vilevile na wao hawapendi kupewa soda iliyobaki nusu baada ya kunywewa na watu wengine.
 
Yan hapo ndo nawaonaga hawa viumbe wapuuzi kupita maelezo....sijui hawafikirii au ndo roho mbaya..??
 
He he! Kweli Leo umeamua kutusema..!!
 
Leo kazi ipo, Naona wenyewe wamejipanga upya, Wamekuja kivita sasa. Hapa naona wamevaa bukta, liwalo na liwe. Ila haya makonzi yao sio ya kitoto. Kuna ukweli flani hivi.

Lakini ndio nyote basi, sisi tunajaribu angalau kufikia mwisho hamsini, lakini kila unapogusa, tayari watu washapita, njia nyeupe. Sasa mnawahiwa saa ngapi. Na ni vipi vigezo vya kuwawahi basi?. Ili good boys angalau wa owe Sealed.
 
Leo kazi ipo, Naona wenyewe wamejipanga upya, Wamekuja kivita sasa. Hapa naona wamezaa bukta, liwalo na liwe. Ila haya makonzi yao sio ya kitoto. Kuna ukweli flani hivi.

Lakini ndio nyote basi, sisi tunajaribu angalau kufikia mwisho hamsini, lakini kila unapogusa, tayari watu washapita, njia nyeupe. Sasa mnawahiwa saa ngapi. Na ni vipi vigezo vya kuwawahi basi?. Ili good boys angalau wa owe Sealed.

Brother nitake radhi tafadhari, siyo kila aliecomment hapo ni Ke.
 
Xory xory, Kumbe wamekodisha wapiganaji, ahaaa! Duh! Maanake naona kibano kimeguka. Ila sio Mbaya, inawezekana Jibu la hili tukonalo sisi Wanaume wenyewe.

Hivi inakuaje tunawabikiri watoto wa Watu then tunawachaaa. Matokeo yake hata wanapoolewa, katika ndoa zao kunakua hakuna upendo wa dhati, hasa kidume kinawaza nani katoboa tundu hili?, na kwanini hakuliziba ameliwacha wazi?. Anaijiona Mjinga hasa yule mwanamke anazidisha mashauzi ya kijinga
 
Nipo mtumishi..unapotea hadi nakumisi...! Vipi baby �� hajambo??

Baby hajambo nashukuru Mungu mi nipo kaka. Huwa nakuona tu unavyowamisigi na wengine lol
 
Ha ha ha ha....imebidi nicheke..! �� Leo umeamua eeeh!!
 
Ni kwanini wanaume hawaoi wasichana waliowabikiri wanaoa waliobikiriwa na wenzao, labda tuambiane kuna siri gani hapo ukibikiri unaacha ukikuta aliebikiriwa ndio unaoa, kifupi kwa nini mnabikiriana?

Hilo nalo swaliii .....hahahaha mukuje mjibuuu #MEN
 
Back
Top Bottom