strong gal
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 271
- 214
seald zipo sema chache.tena hata kwa wanaume wa age ya 24..sema shuleni ndo wale somasoma na wapole afu dini sana
Mimi naomba mnielimishe ni kweli sijui, faida za kumpata mwanamke bikra ni zipi labda? Mimi bado sielewi.
Kwa mtazamo wangu mwanamke aliyepitia mahusiano kadhaa lakini akaweza kujitunza huyo mimi ndio chaguo langu na siyo mimi nichukuwe mtoto nianze kugeuka mwalimu na nianze kumfundisha namna ya kuruka vihunzi vya wasanii.
Mi mwenyewe nilikutana na dem mmoja pale Tumaini alizingua saaanaa bt mwisho wa siku nilimkuta sealed!! Bado wapo bt inahitaji mahesabu makali kuwavumbua
Inakera sanaKatika utafiti wangu usio rasmi, nimegundua kua wasichana wengi wanakua wapole na kujidai kujituliza sana kusaka Mume wa Ndoa baada ya kubikiriwa na Mtu ambae hakua na malengo kabisa ya kumuoa na mpaka hapo wanakua wamesha mwagana na pengine kaachiwa na katoto juu.
Inawezekana pia kabla ya hapo, Kijana sahihi ambae alikua anampenda kwa dhati alimzingua akampelekea chekbob akammega na kuingia mitini.
Yaani kila unaekutana nae hakuna Seal. Why?
Hivi ni kwanini?
hahahahahaha! kwahiyo mkuu, wewe unapenda Used. Vizuri ufundishe mwenyewe. Kuna vingine wanafundishwa ni hatari. Halafu usipo tembelea mzee lazima arudishiwe fundi mhusika.
Gari zote tunazopeana hongera kwa kununuwa gari mpya ni used ila kwa macho huwezi kuamini mpaka usome odometer, sasa mimi bado hujanieleza nikuelewe ni kwa nini mimi nianze kazi ya ualimu wakati wapo wenye experience za maisha na wanayajuwa maisha na kama maumivu wameshayapitia na wanajuwa thamani ya mwanaume ilivyopanda?
Halafu mkuu ikawaje, ulimaliza ukachukua jumla au ukawaachia Goodboys kuja Kuoa?.
Hakuna ajuaye ya kesho na wala hakuna ajuaye moyo wa mtu mwingine......mi naamini hakuna mwanamke anayependa kuwa na msururu wa vidume ila inatokea tu unaangukia kwa mtu ambae hakupendi kwa dhati koz moyo wa mtu ni kiza kinene
Mmmmmmh......!?
Honey...how r u?
I'm doing well and good honey. How is you?
Am okey...ulikuwa wapi?
Kutafuta mikate mama, si unajua ukilemaa tu, watoto wazuri unakomea kuwaita shemeji...!? Kazi za office zili-tight kidogo. Vipi pande hizo?
Poa switie...mi niko poa
Furaha yangu imekamilika kusikia hivyo. Wakwe zangu wazima lakini?
Wazima wanakusalimia